zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani alikudanganya Samia anahitaji kura za wananchi kubaki madarakani? CCM haijawahi tegemea kura yako ili ikae madarakaniKura ziko nyingi sana kwenye maeneo haya siyo ya kufanyia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikudanganya Samia anahitaji kura za wananchi kubaki madarakani? CCM haijawahi tegemea kura yako ili ikae madarakaniKura ziko nyingi sana kwenye maeneo haya siyo ya kufanyia
Mwenye akili atakuelewa!Siungi mkono hoja hii kwasababu uwanja wa ndege sio hitaji la walio wengi Mwanza. Usafiri wa ndege ni hitaji la few matajiri wachache wapanda ndege. Kanda ya Ziwa bado ni Kanda primitive, hivyo wananchi waliowengi bado wanatumia primitive means of transport, usafiri wetu mkuu kutembea kwa miguu vichochoroni, na barabarani, baada ya miguu ni baiskeli, boda boda, bajaji na magari. Kwa sasa Busisi barabara inakwenda kukamilika. Kwa wale wahitaji kuruka, zile ndege zetu za asili za kupaa zipo!.
Msitishie kuhusu kura 2025 ni kura bwelele!. Tayari tumepewa Doto Biteko huyo ndiye Waziri Mkuu ajaye, Makonda huyo anakuja kuingia Bungeni kuwa Waziri. Luhaga Mpina huyo kwa sasa anapiga sana kelele, soon atatupiwa fupa lenye bonge la nyama, atanyamaza!. 2025 kura zote Kanda ya Ziwa ni kule kule kwa siku zote!.
Mnataka tupewe nini tena wakati nchi yote ni yetu!.
P
Ukisema Kanda ya ziwa ni primitive na wanatumia primitive means, hawahitaji uwanja wa ndege hayo ni matusi. Kwani uliopo una kazi gani, ufungwe basi hata siku moja uone au ule wa Msalato unajengwa wa nini basi?.Sisi tunazungumzia maendeleo na mchango wa uwanja huo kwenye pato la taifa wewe unaleta utani na mzaha.Please be serious!Mwenye akili atakuelewa!
Mkuu hujamwelewa paschal mayala, ametumia lugha ya picha hapo, kasema kinyume, anamaanisha serikali inatuona watu wa kanda ya ziwa ni jamii primitive, isiyokuwa kuwa na uwezo wa kupanda ndege, ndege zetu ni kuruka na nyungo, serikali inaona kuwa uwanja wa ndege hauna maana kanda ya ziwa, kwa hiyo paschal naye anaumia kwa jamii ya kanda ya ziwa kudharaulika na kuonekana ni jamii primitive.Ukisema Kanda ya ziwa ni primitive na wanatumia primitive means, hawahitaji uwanja wa ndege hayo ni matusi. Kwani uliopo una kazi gani, ufungwe basi hata siku moja uone au ule wa Msalato unajengwa wa nini basi?.Sisi tunazungumzia maendeleo na mchango wa uwanja huo kwenye pato la taifa wewe unaleta utani na mzaha.Please be serious!
Ulitakiwa kumwelewa paschal ww umesoma juu juu tu, mimi ndio mdau wa Mwanza kama hunijui siwezi kuipondea hata siku moja.Ukisema Kanda ya ziwa ni primitive na wanatumia primitive means, hawahitaji uwanja wa ndege hayo ni matusi. Kwani uliopo una kazi gani, ufungwe basi hata siku moja uone au ule wa Msalato unajengwa wa nini basi?.Sisi tunazungumzia maendeleo na mchango wa uwanja huo kwenye pato la taifa wewe unaleta utani na mzaha.Please be serious!
Walizoea kudekezwa na mwendazake wakadhani nchi ni mali yao peke yao...Mpwa hawa jamaa wa kanda maalumu ni wabinafsi kweli, ni aibu kulilia viwanja vya ndege wakati maeneo mengine hata stendi za mabasi ni ishu...
Wanajifanya kujitoa ufahamu...Wakati tunashauri kujenga chato ni upotevu wa hela na tulisema zile hela mlizojengea chato mngeboresha uwanja wa Mwanza mlikuja na kauli za kibabe sana. Mlitudhihaki kwa maneno makali sana. Huu uwanja ulikuwepo na ulikuwa very strategic na tulisema sana juu ya hili.
Shida mnajiziba masikio mnatawaliwa na ukanda.
Uliona wapi katika nchi zetu za kimaskini hizi kukawa na International Airports 2 kwa utofauti wa 127km (Air line)??
Ooh Nimemwelewa Paschal ameongea kwa fallacy. sawa yeye inshomileUlitakiwa kumwelewa paschal ww umesoma juu juu tu, mimi ndio mdau wa Mwanza kama hunijui siwezi kuipondea hata siku moja.
Jambo jema lakini hawa wanasiasa nao si wa kuwaaamni asilimia zote.Makonda umenena vizuri leo 12.11.2023 pale Mwanza kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza,tumemsikia Prof Mbarawa akiahidi kuwa ndani ya wiki 2 mkataba utasainiwa ili uboreshaji ufanyike ndani ya mwaka mmoja ili ifikapo 2024 lianze kutumika. Tunangojea kuona utekelezaji huo ambapo uwanja huo utakuwa wa kimataifa na kuchangia pato la taifa. Tumechelewa sana. Tusipigwe danadana tena kwa hili tena.
Mkandarasi bado hajatoa rushwaTuliaminishwa mara kadhaa na wana siasa kuwa kuna mkataba unakamilishwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza kiwango cha kimataifa na kuwa ungesainiwa katikati ya mwezi wa Dec 2023, mpaka leo kimya. Tuambieni kulikoni?
Amos Makala anaufuatilia sana, utasainiwa hivi karibuni, hela za kujenga airport ya Mwanza na Bukoba, Mwendazake alizimega n kuzipeleka Chato.
Pia tumshukuru Malima kwa kupiga kelele mpaka sasa ujenzi umekabidhiwa mamlaka ya viwanja vya ndege, na tuhela twa Manispaa ya Ilemela na jiji walizoweka hapo wamerudishiwa.
Pale jiwe alikuwa anajenga godown kubwa akiaminisha watu kwamba ni jengo la abiria uwanja wa ndege
Na za kujenga SGR alimega akapeleka wapi
Taja mradi mmoja uliokuwa behind schedule wakati uhai wake JPM...Sgr ndio ulaji wake mkubwa wa Jpm na ndio maana haijakamilika mpaka leo.
..reli ya Tazara ilijengwa kwa miaka 5 ikaaanza kutumika.
..Kwanini Sgr haijakamilika hata Dar kwenda Morogoro pametushinda?
Taja mradi mmoja uliokuwa behind schedule wakati uhai wake JPM.
Hata hilo daraja la salender, fly over ya Mfugale na TAZARA zingekuwa schedule zake za kuisha kabla ya mungu kumchukua mpaka leo zingekuwa azijaisha.
Uzembe wafanye wengine, lawama umpe mtu mwingine.
Hiyo airport wasahau serikali aina hela ya miradi, ina hela ya kulipa madaktari bingwa tsh 650 billion kufundisha manesi. We umeona wapi hiyo duniani zaidi ya ufisadi tu hapo.
Chaka la ufisadi wa juu limetoka TANESCO limeamia Afya. Hiyo inayoendelea huko afya shida sio Ummy bali kuziba mianya ya watu.
..Sgr ilikuwa behind schedule toka wakati Jpm akiwa hai.
..Na kwenda kujenga Isaka to Mwanza kabla ya vipande vya Makutopora-Tabora-Isaka likuwa ni wendawazimu unaochangiwa na ulaji rushwa.
..jitu lenu lilikuwa jizi na katili.