Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

Mheshimiwa ametumia lugha ya kimombo kuwa kazi iendelee ingawa wasilisho la wataalamu mainjinia wa mradi wanaonesha kuna changamoto ...
Likipasuka atawaruka.......Biteko cheo chenyewe hakiko katiba....CV yako haieleweki unga unga nyingi saanaa ukituletea hasara utajuta kizazi hiki.....
 
Likipasuka atawaruka.......Biteko cheo chenyewe hakiko katiba....CV yako haieleweki unga unga nyingi saanaa ukituletea hasara utajuta kizazi hiki.....

msingi wa bwawa kuzuia maji kupenya ktk msingi / foundation kuzuia hatari kubwa :

Injinia akielezea changamoto iliyowakuta wakandarasi mainjinia bwawa la Aswan Dam nchini Misri na anafafanua njia ya kukabiliana na uwezekano wa bwawa kuvunjika kwa kutumia utaalamu wa kiuhandisi kuzuia hatari hivyo kwa mbinu ya ziada kuimarisha msingi na tuta kwa kufanya grout curtain kuziba nyufa zinazoweza kupenyeze / kuvuja maji chini ya msingi / foundation.

Grout curtain :
1704511627538.png

THE CONSTRUCTION CHALLENGES ASWAN HIGH DAM, EGYPT

View: https://m.youtube.com/watch?v=0VaCxQnrAFY
The designing of the Aswan High Dam faced many difficulties, for it has to be constructed on a pervious foundation in the lake of the existing Aswan Dam.

The whole extent of the main dam foundation will be covered with a layer of compacted dune sand about 82 feet deep.

The rockfill above this layer will have a clay core made of Nile silt. The dam will be protected against seepage by two lines of defence, a horizontal impervious blanket in the upstream part and a vertical grout curtain descending in the pervious bed of the river to a depth of 690 feet until it strikes natural bed rock.

This grout curtain will plug the voids in the layers of sedimentary materials underneath the dam.
 
Engineer wa shirika la reli Tanzania alinukuliwa akisema kufuata na utaalamu wake pia rasilima chache zilizopo ndiyo zinafanya hali halisi kuwa mtandao mzima wa reli ya SGR unaweza kuchukua miaka 15 kwa uchache kukamilika.

Soma kwa urefu uzi huu, upate picha kamili aliyosema engineer msomi anayesimamia makadirio ya utalaamu wake bila kupepesa macho mbele ya wanasiasa wa CCM :

Kuna kile kilicho ongelewa na bias llstening ya mwakilishi in relation to their misleading statements to the public.

Your whole argument is full of nonsense if you had listened to clip carefully.

Kwanza sehemu iliyoharibika kwa mvua ni reli ya MGR.

Wataalamu wa SGR kwa huruma na kutambua udhaifu wa njia hiyo walienda hapo kusaidia nje ya kazi zao na kushauri temporary measures.

Waturuki kwa utafiti wao wa eneo na risk za kutandaza reli ndio maana wakaamua kupita kwenye milima na kutandaza mahandaki ili wapate njia.

Wakandarasi wa SGR waliofika hapo sio shughuli yao ni huruma tu wa kuja kuisadia TRC kuboresha njia temporary.

Engineer amesema wao wanampango wa kuitumia hiyo njia iliyoharibika kwa miaka 15 hayo maamuzi hayana uhusiano na completion na njia za SGR.

Like seriously how stupid are you people kama amuwezi kuelewa straight forward explanation (decoding) straight forward explanations na kutungia ujinga wenu.

Binafsi nilikerekwa sana kuona 90% ya watanzania awaelewi IGA, utashinda kweli kesi ulaya.

Hata kesi waliyoshinda Sourh Africa ndege ilipishikwa ni mimi ndio niliowaambia hatuna bilateral treaty ya kukazia kesi na hiyo nchi za ndani hakina Ndumbaro hizo hoja walizitoa JF.

Just a pathetic country yaani watu mnasukumwa na ushambenga hata akili ya kusikiliza kinachojadiliwa hamna.

Wapi katika hiyo video engineer kasema SGR itachukua 15 years au kasema wao kuachana na MGR itachukua 15 years in their plans (but then that’s a different thing).

Indians anaenda kuchukua tsh 260 billlion kirahisi kwa ujinga wa watu kama nyie. Ile sio kesi ya kushindwa ni kielelezo cha ujinga wa wanasheria wetu kwenye issue za mikataba.

Such a pathetic county
 
Kuna kile kinachoongelewa na bias llstening ya mwakilishi and their misleading statements to public.

Your whole argument is full of nonsense if you listened to clip carefully.

Kwanza sehemu iliyoharibika kwa mvua ni reli ya MGR.

Wataalamu wa SGR kwa kutambua udhaifu wa njia hiyo na risk za kutandaza reli ndio maana wakaamua kupita kwenye milima na kutandaza mahandaki ili wapate njia.

Wakandarasi wa SGR waliofika hapo sio shughuli yao ni huruma tu wa kuja kuisadia TRC kuboresha njia temporary.

Engineer amesema wao wanampango wa kuitumia hiyo njia iliyoharibika kwa miaka 15 hayo maamuzi hayana uhusiano na completion ya njia za SGR.

Like seriously how stupid are you people kama amuwezi kuelewa straight forward explanation.

Binafsi nilikerekwa sana kuona 90% ya watanzania awaelewi IGA, utashinda kweli kesi ulaya.

Hata kesi waliyoshinda Sourh Africa ndege ilipishikwa ni mimi ndio niliowaambia hatuna bilateral treaty ya kukazia kesi na hiyo nchi za ndani hakina Ndumbaro hizo hoja walizitoa JF.

Just a pathetic country yaani watu mnasukumwa na ushambenga hata akili ya kusikiliza kinachojadiliwa hamna.

Wapi katika hiyo video engineer kasema SGR itachukua 15 years au kasema wao kuachana na MGR itachukua 15 years in their plans (but then that’s a different thing).

Indians anaenda kuchukua tsh 260 billlion kirahisi kwa ujinga wa watu kama nyie. Ile sio kesi ya kushindwa ni kielelezo cha ujinga wa wanasheria wetu kwenye issue za mikataba.

Such a pathetic county

Hivyo makadirio mengine kinyume na ya mhandisi huyu mkweli wa TRC kuwa ujenzi wa mtandao mzima wa reli mpya ya SGR kutoka DSM Tabora Kigoma / Mwanza utakamilika katika muda wa miaka mingapi?

Kutoka maktaba :

12 April 2017
Rais Magufuli aweka jiwe la msingi wa ujenzi wa reli ya kisasa

View: https://m.youtube.com/watch?v=qRlqjvyNet0
Ushahidi ukiwekwa na rais Magufuli kuwa mwaka 2017 ujenzi umeanza wa reli mpya ya kisasa ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea bara hadi ziwa Tanganyika na Ziwa Victoria.
1704513375591.png

Rais John Pombe Magufuli akiashiria mwanzo wa kazi ya ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR tarehe 12 April 2017.
 
Hivyo makadirio mengine kinyume na mhandisi huyu mkweli wa TRC kuwa ujenzi wa mtandao mzima wa reli mpya ya SGR kutoka DSM Tabora Kigoma / Mwanza utakamilika katika muda wa miaka mingapi tangu kilomita ya kwanza ya ujenzi iliooanza jijini Dar es Salaam kwenda bara mikoani?

Rais Magufuli aweka jiwe la msingi wa ujenzi wa reli ya kisasa
What is your point there exactly?

Usilete meaningless statements, ujibiwe?

Just because kuna wapuuzi wakuja kukupa likes kwa kupost upuuzi aina kila mtu ana muda wa ku entertain nonsense.

Hakuna facts hapo kwenye hiyo quote ya kujibu hoja.

Answer this:
What was quoted cost?
And what is the potential cost based on his estimate based na hiko kipande anacholalamikia.

The next question will be for you to justify the cost based on the project/activity

By know you should know, you have no evidence kwa ujinga unao jaribu kutetea.
 
Kuanzia mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ni miaka saba, hivyo makadirio ya mtaalamu mhandisi kuwa ujenzi kukamilika katika miaka 15 una mantiki ya kuaminiwa.

1704513502941.png

Picha : Rais Magufuli akifurahia mwanzo wa kazi ya ujenzi wa reli mpya ya kisasa hapo tarehe 12 April 2017.
1704513728415.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa kwenye mfano wa Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb)
1704513908707.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza

Habari Picha zote ni kwa hisani kubwa ya : Source : Ikulu Blog
 
Kuanzia mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ni miaka saba, hivyo makadirio ya mtaalamu mhandisi kuwa ujenzi kukamilika katika miaka 15 una mantiki ya kuaminiwa.

View attachment 2863185
Picha : Rais Magufuli akifurahia mwanzo wa kazi ya ujenzi wa reli mpya ya kisasa hapo tarehe 12 April 2017.
View attachment 2863188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa kwenye mfano wa Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb)
View attachment 2863190
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza

Picha zote kwa hisani kubwa ya :
Source : Ikulu Blog
Kaka mta-tandikwa usi force issues hii dunia ina kanuni and chronological processes of reasoning at every discipline.

Achana na mambo ya ushabiki ya maandazi. Nchi yenyewe ina viongozi wa hovyo na watu kama nyie mnapochangia kwenye ku-mislead jamii. Hamjui tu furaha za mabeberu.

Please stop it

Nikupongeze kwenye ufuatiliaji wako na ku expose yale ya kufuatilia hili jamii kujifunza hasa kesi za Tanzania dhidi ya mabeberu kama kesi ya mwisho it’s a joke kushinda kesi kama ile.

Good Morning
 
..Sgr ndio ulaji wake mkubwa wa Jpm na ndio maana haijakamilika mpaka leo.

..reli ya Tazara ilijengwa kwa miaka 5 ikaaanza kutumika.

..Kwanini Sgr haijakamilika hata Dar kwenda Morogoro pametushinda?
Kwani SGR ilitakiwa ikamilike lini?
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=PPE9TpxqC-0&pp=ygUVTWFoaXRhamkgeWEgdW1lbWUgU0dS

Msikilize huyo mhandisi kichwa kimoja cha train majaribio yake lazima kitembee 10,000 km. Umbali wa Dar Morogoro ni kama 193 km (we unadhani unahitaji miezi mingapi to cover those kilometres).

Mabehewa tasting ni 5000 km, mpaka sasa hayo majaribio hayajaanza kuvuta mabehewa ina maana testing ya vichwa aijafikia hata kilometer 5000.

Bado mziki wa umeme wa uhakika ili train iwe ya uhakika inabidi utenge si chini ya MW 150 za train Dar to Morogoro (huo umeme huko wapo) mind you average house hold usage Tanzania 100kwh per day.

Upeleke MW 150 kwenye train za uhakika huo mgao utakuwa mara dufu hasa Dar ambao ni mkoa wa kibiashara na uchumi.

Usifananishe line ya train ya umeme na train zingine kuna mambo luluki ya usalama kwenye train ya umeme.

Mpaka Magufuli anafariki umeme ulikuwa uhakika nchi nzima, line ya train ilikuwa ishatandazwa mpaka Morogoro, vituo vyote vilikuwa vimeisha isipokuwa cha Morogoro mjini ambacho kilishafika 60% percent.

Sasa hivi hata huo umeme wenyewe hakuna wa kuendesha hizo train, bila ya kuleta madhara makubwa ya uchumi 150MW inavuna kodi kubwa kwenye uzalishaji kuliko kuipeleka kwenye umeme.

Kila kitu kimearibika chini ya serikali ya ‘bi tozo’ baada ya kuleta ubunifu wake na kuacha barabara aliyoachiwa na the JPM.

Hiyo airport huko Mwanza wasahau kama barabara ya njia nne Dar-Kibaha imewashinda kumaliza wakati mpaka JPM anaondoka kaacha ujenzi 70% ya mradi umekamilika.

Uongo na porojo tupu, SGR unaweza kujenga hata ta km 70 na ikafanya kazi vizuri tu.
 
Mimi naona hali ya uchumi wa Tanzania na utekelezaji wa miradi ya kimkakati haviendani. Sasa hivi kuna mfumuko wa bei wa hatari sana. Hii ina maana huenda deni la taifa la ndani linakua na serikali kulipia miradi yake inabidi kuchapisha fedha. Pia kukopa huko nje kwa sababu ya kukomilisha hii miradi bila kujua tutalipaje. Mimi nafikiri tujikute kwenye maisha yetu ya kila siku kwa mwana nchi wa kawaida Badala ya kutekeleza miradi kwa pupa ambayo hatuna uhakika "return" yake itakuwaje!
Ilitakiwa SGR imalizike kabisa na ianze kufanya kazi kwanza kipande cha Dar-Dodoma kabla ya kurukia kujenga kwingine.
 
Uongo na porojo tupu, SGR unaweza kujenga hata ta km 70 na ikafanya kazi vizuri tu.
SGR inaweza tumiwa na diesel trains, as well as electricity train. Hoja hapa ni electricity trains. Vinginevyo kuna mantiki gani ya kununua train za umeme wakati diesel train zina uwezo wa kufikia speed hizo za 70 mph kirahisi tu be it at higher costs.

Embu fuatilia mantiki ya mjadala kwanza.
 
Ilitakiwa SGR imalizike kabisa na ianze kufanya kazi kwanza kipande cha Dar-Dodoma kabla ya kurukia kujenga kwingine.
Hii miradi mikubwa huwa inaulaji mkubwa hizi 10% ndio maana kila siku inaanzishwa mipya🤔
 
Kwani SGR ilitakiwa ikamilike lini?

..kuna hotuba ya Jpm nakumbuka alisema mradi unatakiwa kukamilika lini.

..nataka hiyo video izungumze na sio maneno yangu.

..kwa upande mwingine naamini miaka 6 na bado hatujasafiri kati ya Dar - Moro - Dom ni ucheleweshaji mkubwa.
 
3 February 2017

MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA AWAMU YA PILI KUTOKA MOROGORO HADI MAKUTUPORA WASAINIWA​

news title here

Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Nchini (RAHCO) imeingia mkataba na Kampuni ya Yapi Merkezi ya Uturuki kujenga kipande cha pili cha reli ya kisasa(SGR) kutoka Morogoro hadi Makutopora yenye urefu wa kilomita 336 za njia kuu na kilomita 86 za njia za kupishana treni na maeneo ya kupangia mabehewa jumla kilomita 422 kwa uzani wa tani 35 kwa ekseli.
Kandarasi hii itakuwa na thamani ya jumla TShs. Trilioni 4.3., mkataba umetiwa saini na Mtendaji Mkuu wa RAHCO na TRL Ndg. Masanja Kadogosa na Mwanasheria wake Ndg. Petro Mnyeshi na kwa upande wa Yapi Merkezi waliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Bodi wake Bwana Erdem na Mkuu wa Miradi ya Ethiopia na Tanzania Bwana Abdullah.

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa amesema utiaji sahihi wa kandarasi hii ya pili ni kuonesha dhamira isotetereka ya Serikali ya awamu ya 5 kuendeleza na kuimarisha miundombinu ya reli nchini kwa lengo la kuharakisha maendeleo ya kiuchumi nchini.

Amesema reli ya kisasa(SGR) italeta mabadiliko makubwa sana kiuchumi na kijamii na maendeleo kwa jumla. Kwanza zitaokoa uharibifu wa barabara zilizojengwa kwa gharama kubwa. Bidhaa zinazosafirishwa kwa masafa marefu zitafika kwa gharama ndogo hivyo walaji watazinunua kwa bei nafuu.
Hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ruaha katika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(JKNICC) ilihudhuriwa na kaimu balozi wa Uturuki nchini pamoja na Wawakiishi wa Kampuni ya Yapi Merkezi.

Wengine waliohudhuria ni Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakiongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho.

Mapema mwaka huu Februari 03, 2017, Yapi Merkezi na Mota Engil ya Ureno ziliingia mkataba na RAHCO wa kujenga kipande cha kwanza cha reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro urefu wa jumla wa Kilomita 303. Ujenzi wa kipande hicho ulitiwa jiwe la msingi na Rais wa Tanzania Dk John Magufuli hapo Aprili 12, 2017 katika hafla kubwa ya aina yake iliyofanyika katika kituo cha Reli cha Pugu nje ya jiji la Dar es salaam.
Source : Tovuti ya Shirika la Reli Tanzani

More info :
Ujenzi wa Reli ya kisasa ya kati (Standard Gauge) awamu ya kwanza inayoanzia Dar es Salaam hadi Morogoro yenye urefu wa Kilomita 205 unatarajiwa kukamilika 2019 na Serikali inaendelea na juhudi za kuhakikisha inapata fedha ya Ujenzi wa sehemu ya Morogoro-Dodoma.
Zaidi ya Kilomita 2600 za Reli ya Kisasa (Standard Gauge) ZINATARAJIWA kujengwa kutoka Dar es Salaam –Morogoro-Dodoma –Tabora-Isaka-Mwanza na Tabora –Kaliua-Kigoma ili kuiunganisha Tanzania nan chi jirani na hivyo kuboresha huduma za uchukuzi na biashara.
Imetolewa na kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

12 Aprili 2017
Pugu, Dar es Salaam

KIKOSI CHA KWANZA (FIRST ELEVEN) MAHIRI CHA TIMU YA TAIFA YA WAHANDISI MRADI WA SGR YATAJWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=jSYZAYAXGQ8
 
..alikuwa katili na hakujificha.

..kuanza kumsifia na kumtukuza kama mnavyofanya ni kuwa-abandon wale aliowadhulumu.
Sasa hii inahusika vp na ye kutotekeleza miradi on schedule? Kumbe ni kweli una issues binafsi na Magufuli
 
Sasa hii inahusika vp na ye kutotekeleza miradi on schedule? Kumbe ni kweli una issues binafsi na Magufuli

..hii inahusiana na namna alivyoongoza nchi yetu.

..je, mauaji, utekaji, na rushwa, wakati wa utawala wa Jpm hayatuhusu Watanzania?
 
..kuna hotuba ya Jpm nakumbuka alisema mradi unatakiwa kukamilika lini.

..nataka hiyo video izungumze na sio maneno yangu.

..kwa upande mwingine naamini miaka 6 na bado hatujasafiri kati ya Dar - Moro - Dom ni ucheleweshaji mkubwa.
Kweli. Lakini Rais kaishatoa ultimatum.
 
Kweli. Lakini Rais kaishatoa ultimatum.

..nadhani Sgr ikitumika kwa abiria na kati ya Dar na Moro haitaendeshwa kibiashara, na itakuwa ikiendeshwa kwa ruzuku.

..kwa mtizamo Sgr isipofika Isaka, Mwanza, na Kigoma, kwa ajili ya mizigo, serikali itabeba mzigo wa hasara.
 
Back
Top Bottom