View: https://m.youtube.com/watch?v=PPE9TpxqC-0&pp=ygUVTWFoaXRhamkgeWEgdW1lbWUgU0dS
Msikilize huyo mhandisi kichwa kimoja cha train majaribio yake lazima kitembee 10,000 km. Umbali wa Dar Morogoro ni kama 193 km (we unadhani unahitaji miezi mingapi to cover those kilometres).
Mabehewa tasting ni 5000 km, mpaka sasa hayo majaribio hayajaanza kuvuta mabehewa ina maana testing ya vichwa aijafikia hata kilometer 5000.
Bado mziki wa umeme wa uhakika ili train iwe ya uhakika inabidi utenge si chini ya MW 150 za train Dar to Morogoro (huo umeme huko wapo) mind you average house hold usage Tanzania 100kwh per day.
Upeleke MW 150 kwenye train za uhakika huo mgao utakuwa mara dufu hasa Dar ambao ni mkoa wa kibiashara na uchumi.
Usifananishe line ya train ya umeme na train zingine kuna mambo luluki ya usalama kwenye train ya umeme.
Mpaka Magufuli anafariki umeme ulikuwa uhakika nchi nzima, line ya train ilikuwa ishatandazwa mpaka Morogoro, vituo vyote vilikuwa vimeisha isipokuwa cha Morogoro mjini ambacho kilishafika 60% percent.
Sasa hivi hata huo umeme wenyewe hakuna wa kuendesha hizo train, bila ya kuleta madhara makubwa ya uchumi 150MW inavuna kodi kubwa kwenye uzalishaji kuliko kuipeleka kwenye umeme.
Kila kitu kimearibika chini ya serikali ya ‘bi tozo’ baada ya kuleta ubunifu wake na kuacha barabara aliyoachiwa na the JPM.
Hiyo airport huko Mwanza wasahau kama barabara ya njia nne Dar-Kibaha imewashinda kumaliza wakati mpaka JPM anaondoka kaacha ujenzi 70% ya mradi umekamilika.