Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

Bora walilie Chuo kikuu cha serikali ambacho hakuna kanda yote
 
Kanda ya ziwa waombe Chuo Kikuu cha serikali
 

"Songwe umejengwa, Arusha, Tanga,Dodoma,Tabora, Kigoma"

Ukiacha Msalato, viwanja vya:

  • Tanga
  • Tabora
  • Kigoma
  • Arusha

Sio vizuri na havina facilities nzuri kama uwanja wa Mwanza, and none of them are international.

Sasa sijui argument yako ni nini? Kiwanja pekee ambacho recently kimejengwa international ni Msalato.

Hivi unajua Tanzania kuna viwanja vi 3 tu internafional?

  • Dar es salaam
  • Kilimanjaro
  • Zanzibar

?????????????????

Halafu mlivyo wajinga mnasema kabisa, eti Makonda kupewa cheo na waziri Mkuu msaidizi ambao wanatoka kanda ya ziwa, haitoshi?

Kwani kanda ya ziwa wanapewa vyeo kwa sababu labda wanabembelezwa kitu gani? Wanaombwa nini hao watu wa kanda ya ziwa?

Si muende mkakichomoe cha chato mkllete Mwanza kama. Mna uitaji. Kwa nini mlikipeleka huko chato kikaanikie Mahindi na mbaazi?
 
Na vyote hivi vilijengwa kistrategia Kilimanjaro langu kuu la watalii, Julius Nyerere Lango kuu la kibiashara, Zanzibar lango kuu la utalii zanzibar na mdau wa muungano. Wasukuma acheni ukabila hii nchi ni ya wotee
 
Na vyote hivi vilijengwa kistrategia Kilimanjaro langu kuu la watalii, Julius Nyerere Lango kuu la kibiashara, Zanzibar lango kuu la utalii zanzibar na mdau wa muungano. Wasukuma acheni ukabila hii nchi ni ya wotee


Hao jamaa ni wajinga sijawahi kuona, na vyote vilijengwa akiwa Rais wa Kanda yao Nyerere!

Toka Nyerere avijenge, Kiwanja pekee international kimejengwa ni:

  • Chato 'kanda ya ziwa'
  • Msalato - wazo ma Magufuli kanda ya ziwa.

Sasa huyu tutusa analalamika nini?
 
ukabila haujawahi kumwacha mtu salama, ila mama ana akili mingi atawaweka sawa tu
 
Halafu yule mwehu anatumia Tsh 54 Bilion kujenga white elephant Chato. Bado Watanzania wanamuita mzalendo. Kweli ujinga Tanzania ni tatizo kubwa kuliko umaskini.


Imagine kama ile hela ya Chato angeiweka hapo Mwanza, ingekuwa ndiyo Airport kubwa kuzunguka majiji yaliyo pembezoni mwa lake Victoria
 
Mpwa hawa jamaa wa kanda maalumu ni wabinafsi kweli, ni aibu kulilia viwanja vya ndege wakati maeneo mengine hata stendi za mabasi ni ishu...
hawa jamaa wanatia hasira kweli, mkoa wa mwanza tu unazo stendi kubwa za kisasa mbili na huku mikoa mingine stendi ni barabarani
 
ukabila na ubinafsi ni adui mkubwa wa maendeleo
 
Mlifanya ufala na huyo magufuli kwenda kujenga uwanja maporini. Hizo hela si angejenga dude hapo Mwanza au Geita
 
U can't eat your cake and have it,
30b zingeelekezwa mwanza airport zingefanya makubwa sana.
Na msukuma ajue kwamba chato ni Kanda ya ziwa pia.
Halafu Kanda ya ziwa mnajikuta nani kwani, amini Ccm itashinda bila hta kama mtachagua vyama vinginevyo
 
Ni hivi, lazima kuwe na compelling factors zinazotakisha uwanja ujengwe kwa kiwango hicho mnachokiota. Huo uliopo ndicho mnachostahili, mazingira yakibadilika naturally itawalazimu wajenge uwanja wenye hadhi stahiki Wenye kuelewa wameelewa.
 
Mahitaji ya uwanja Mwanza ni takwa la kiuchumi, fikiria strategic position ya Mwanza na mchango wa jiji na uwanja huo kwenye uchumi na Pato la Taifa kwa nini usiboreshwe kuwa uwanja wa kimataifa kulingana Ilani ya Uchaguzi ya CCM inavyoelekeza. Hapa tusiingize hoja mfu tuzingatie maslahi mapana ya nchi. Angalia Kisumu intern airport wenzetu majirani wametupiku. Museveni alishauri uwanja wa Mwanza uboreshwe ili biashara katì ya Uganda,Kenya,Rwanda, Burundi na Tanzania -Mwanza ikiwa kama kitovu cha biashara EAC iweze kufanyika kwa manufaa zaidi kwa ukanda huo. Wenzetu wanaona mbali sisi tunapotezea. Mwanza airport iko karibu na Serengeti na pengine ndicho kinachoponza.Eneo hili lisikomolowe sababu ya uwanja wa Chatto vinginevyo mbona Arusha na kilimanjaro kuna viwanja vya Kia na Arusha airport km 200 tu, na Moshi airport kuna kiwanja km 100 na maeneo mengine ,comparison hii ya Chatto na Mwanza haina mashiko. Uwanja wa Chatto siyo hadhi kimataifa ni cha hadhi ya mkoa kwa Geita na ulijengwa kutokana na Ilani na Mpango wa Taifa. Hapa Tunazungumzia Mwanza airport kwa sura ya kitaifa. Kwa namna yoyote tusiingize siasa na ukabila kwenye masuala ya kitaifa, uwanja wa Mwanza ni suala la kiuchumi alisema Adam Malima RC wakati ule, Unatumika na watu wote nchini walioko,Arusha, Tanga, Mtwara, dar, Zanzibar, Iringa na wengine wote wanaotembelea eneo la kanda ya ziwa. tuache kupotosha. wote ni wanufaika km ilvyo kwingine. Mwanza airport isiadhibiwe sababu ya Chatto havina uhusiano kimantiki na kimipango. Tayari serikali ilikwisha wekeza hapo Mwanza wamalizie kwa kuzingatia Value for money tuache longolongo. kuacha ilivyo ni kufuja pesa pia na wanaopinga ni kama wanapingana na Ilani ya CCM. Ni wapinga maendeleo. Kitila Mkumbo una haja ya kuuweka kwenye Mpango wa Taifa ili kwendana na Ilani kama ulivyoshauriwa na Bunge.
 
viwanja vya arusha na moshi ni vidogo kaka ni kwa ajili ya shughuli ndogondogo tu, tatizo lako wewe huna taarifa; ukiondoa kia, dar, msalato na zanzibar, uwanja unaofuata kwa ukubwa ni mwanza bila kuusahau international airport ya chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…