Kaniambia ana ujauzito wangu wakati sijawai kulala nae

Hata kichwa hujawahi kuingiza? Bac ngoja mtoto azaliwe tukapime DNA ndio utapata majibu kamili...
 
Habarini

Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.

Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa

Naombeni ushauri wenu

Yaani leo nilikuwa sijacheka aisee, JF is very interesting!
 
Habarini

Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.

Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa

Naombeni ushauri wenu
osmosis mkuu
 
Itakuwa, eti yuko makini kwenye kupiga katerero!
Im sure hii mimba ni yake, huyu jamaa alikuwa anampiga huyu mwanamke katerero na kummwagia na bibie kama alikuwa kwenye siku za hatari laZima mimba ishike, angekuwa amegawa nje asingemtafuta jamaa
 
Habarini

Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.

Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa

Naombeni ushauri wenu
Hahaha... Bao la kisirisiri..... Pole hiyo ni wall unit.... Iliandaliwa juu ya meza. Vumilia chalii.
 
acha uzoba! unataka ushauri gan ss, wewe endelea kushika pembe wenzio wakamue
Hahahahahaha inachekesha kweli. Anatutangazia kuwa yeye mshika pembe wengine wanakamua sasa anataka kulea matunda ya wengine.
 
kwenye hlo suala nko makin sana na yy pia anakuwa makin kunikumbusha
Hahaha we utakuwa unapiga mzigo kawaida ila unachomoa na kumwanga nje ndio maana unasema huwa anakusisitiza na kuwa mwangalifu. Kama ni hivyo mimba ni yako.
 
Habarini

Nimekuja kuomba ushauri kwenu wana jamvi wenzangu.

Nimekua kwenye uhusiano na binti mmoja kwa miaka miwili sasa na sijawai kumuingilia kimwili kwasababu alisema hawezi hadi tufunge ndoa.Lakini nashangaa jana ananipigia simu na kuniambia anajihisi ni mjamzito.
Mimi nimemwambia amwambie aliempa hiyo mimba akajibu mimi ndio niliempa

Naombeni ushauri wenu
Muulize ulimpaje kwa bluetooth au ??
 
Hizi story zenu za kutunga mnatuzingua nazo. Sasa hapo tukushauri nini sisi??

Anyway mimba ni yako,ikubali.
 
Lea mimba acha ubwege eti hujawahi kulala nae sasa hio katerero mlikuwa mnapiga wima? Na katerero si ndo kugonga kwenyewe?? Au ulitaka ulalenae vipi? Bogus kabisa wewe.... Nmekudharau, sikuheshimu tena mimi
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom