Abuu Ibraahiym Sibomana
Senior Member
- Jun 1, 2025
- 130
- 143
Hivi uchaguzi fake umeanza mwaka huu au miaka yote uchaguzi fake ulikuwepo?!Kumjuwa Mungu ni wakati wowote, wengine yaweza kuwa ndo siku yao. Si vyema kupoteza wokovu kwa ajiri ya uchaguzi fake wa CCM.
Kweli kabisa!.Dr. Hawezi kutibu ugonjwa usiyejulikana hivyo hivyo mwana usalama hawezi kukamata mhalifu asiyejulikana.
Kujitenga na siasa ni wenda wazimu ila kwa siasa za bongo na ccm ni mwenda wazimu tu asiyejitenga nayo ili nyinyi maccm muendeleeSiasa ni maisha ya watu
Mtu anayejitenga na siasa ni mpumbavu no 1
Serekali ya CCM inasema watekaji hawajulikani case closedKweli kabisa!.
Dokta hawezi kutibu ugonjwa usiojulikana na ndio maana kila hospitali inayo maabara kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali yanayoripotiwa hapo hospitali.
Mwana usalama pia hawezi kumkamata mhalifu asiyejulikana na kwa ajili hiyo yeye mwanausalama kabla hajafundishwa kukamata wahalifu kafundishwa kwanza namna ya kufanya upelelezi wa uhalifu mbalimbali na vyanzo vyake.
Tatizo letu tunataka wanausalama wetu wakurupuke na kuanza kukamata waliomo na wasiokuwemo bila kuchunguza aina ya uhalifu,vyanzo vya uhalifu na nguvu na ukubwa wa uhalifu husika.
Kwahiyo daktari hakurupuki kuanza kutoa dawa kwa mgonjwa ambaye hajampima kujua aina ya ugonjwa unaomsumbua na ugonjwa huo umemuathiri mgonjwa kwa kiasi gani!
Na mwanausalama pia hakurupuki na kuanza kukamata watu hivyo bila kufanya upelelezi wa kina ili kuweza kutokomeza uhalifu husika na mizizi yake!.
Kusema kwa sasa watekaji hawajulikani haimaanishi kwamba hakuna upelelezi unaofanywa kujua ni akina nani wanaofanya vitendo vya utekaji.Serekali ya CCM inasema watekaji hawajulikani case closed
Kudai una elimu ya dini ya kiislamu ni jambo moja na kuwa na hiyo elimu ya dini ni jambo jingine.Ndio maana nikakwambia punguza taarabu, go straight to the point.
Mimi nina elimu ya dini ya kiislam..
Haya sasa nenda kwenye point, ikiendana na comment yangu uliyoi"quote" pale,
"Mimi ostadh makaveli, nasimama na kanisa katoliki, imani yangu inanifundisha kusimama upande wa haki"
KARIBU
JIBU la kwamba, October 29 hakuna uchaguzi ni UONGO!Kujitenga na siasa ni wenda wazimu ila kwa siasa za bongo na ccm ni mwenda wazimu tu asiyejitenga nayo ili nyinyi maccm muendelee
Na wanaojitenga wapeni uhuru, na huo uhuru ndio unaokamilisha jibu la kwamba, October 29 hakuna uchaguzi
😄🤣😂 kwa hiyo wewe imekuuma mimi kusema ostadh makaveli nasimama upande wa haki kinachokuuma wewe ni hapo tu kujiita OSTADH 😄🤣😂Kudai una elimu ya dini ya kiislamu ni jambo moja na kuwa na hiyo elimu ya dini ni jambo jingine.
Kuna maostadhi wengi mitaani kwa sababu tu wanajua kuvaa kobadhi miguuni na baraghashia vichwani japo hawana lolote walijualo katika elimu ya dini yao.
Huku mitandaoni mtu unaweza kujiita OSTADH au Sheikh au hata Imam, sharifu au maulana kumbe hapo ulipo umevaa msalaba mkubwa wenye sanamu ya Yesu na maisha yako hata siku moja hujawahi kutamka SHAHADA MBILI.
Sasa Mimi Sikuulizi elimu yako ya dini UMEISOMA KATIKA CHUO GANI ,KWA SHEIKH GANI NA KWA LEVEL GANI? japo maswali haya yote ni MUHIMU lakini sipendi nionekane kama napoteza muda.!
Sasa mimi ninakuuliza maswali matatu yafuatayo kujiridhisha kuwa wewe una ELIMU YA DINI YA KIISLAMU na nataka majibu sahihi.
Swali la kwanza.
1️⃣Muislamu akienda kwa kadhi (jaji au hakimu katika mahakama ya kiislamu) na akalalamika kwamba kamfumania mkewe akifanya zinaa,
endapo mkewe atakataa kwamba hajafumaniwa wala hajafanya zinaa mwanaume huyu atatakiwa alete mashabidi wanne waliomuona mkewe akifanya zinaa au mwanaume huyu atakabiliwa na adhabu ya fimbo 80 kwa kosa la kumsingizia mkewe dhambi ya uzinifu.
Swali ni kwamba Je, ni jambo gani anapaswa kufanya mwanaume huyu ili kuthibitisha tuhuma zake za zinaa kwa mkewe na ili kunusurika na adhabu ya fimbo 80?
Swali la pili.
2️⃣ Hukumu ya kesi ya aina hii inapatikana katika sura gani ndani ya Qurani tukufu?
Swali la tatu.
3️⃣ Mtu yeyote akimtuhumu muislamu kuwa kafanya dhambi ya zinaa hata kama ni kweli kashuhudia zinaa hiyo kwa macho yake ,anawajibika kuleta mashahidi wanne waliomuona huyo mtuhumiwa akifanya zinaa kinyume na hivyo atakabiliwa na adhabu ya fimbo 80 kwa kosa la kumsingizia muislamu dhambi ya zinaa.
Swali ni kwamba je ni jambo gani lilitokea zama za mtume Muhammad
صلى الله عليه وآله و سلم
likawa sababu ya Allaah kuteremsha hukumu hii katika Quran tukufu?
Natamguliza shukrani.
Kila mtu afanye Uhuru wakeNdugu Ngara 23, mwiriwe, uraho neza ? Urakomeye ?
Ni kweli kabisa !
. Kanisa katoliki jimbo la Dar halijasema limeandaa warsha hiyo kuzuia uchaguzi kwa sababu kwanza wanajua kuwa huo ubavu wa kuzuia uchaguzi hawana!.
Lakini ukiangalia mtazamo wa aliyeleta Uzi huu na namna wachangiaji walivyoipokea habari hii kwa ushabiki ni kwamba wao wametafsiri ya kwamba kanisa limepanga warsha October 29 siku ya uchaguzi ili kuwaunga mkono wale wasemao NO REFORMS NO ELECTION.
Na Mimi humu ninawajibu hawa waliopokea habari hii kwa ushabiki wa kijinga wa kuona kwamba kwa warsha hii "KIMEUMANA!" wakati ni habari ya kawaida tu ambayo haikustahiki kupewa uzito wa namna hii, na Mimi humu jukwaani siwajibu viongozi wa kanisa katoliki la dar es salaam kwa sababu wao hawanijui na Mimi siwajui kwa ufupi MIMI NA KANISA HATUJUANI ila ninawajibu wale wenye ushabiki wa kijinga ndio ninawajibu kwamba pamoja na kwamba kanisa halina NIA ya kuzuia uchaguzi lakini halina UWEZO wa kuzuia uchaguzi usifanyike kwasababu wengi wanaogombea nafasi mbalimbali za urais , ubunge na udiwani kupitia vyama mbalimbali ni pamoja na wakatoliki ambao hawapo tayari kwa namna yoyote kubadili ratiba zao za kisiasa kuwaridhisha viongozi wa kanisa.
Niombe radhi Kwa kunikosea heshima kuniita me CCMKujitenga na siasa ni wenda wazimu ila kwa siasa za bongo na ccm ni mwenda wazimu tu asiyejitenga nayo ili nyinyi maccm muendelee
Na wanaojitenga wapeni uhuru, na huo uhuru ndio unaokamilisha jibu la kwamba, October 29 hakuna uchaguzi
Narudia, naijua Rwanda kama ninavyokijua kijanga changu. Take it or leave it.Umejibu kipumbavu sana ikiwa ni dalili ya kwamba una hasira nyingi au umechanganyikiwa!
Unachnganya changamoto za kiusalama , na changamoto za kiuchumi nk.
Ni kama vile hujui mada ya msingi iliyopo mezani ni ipi!
Unapodai kwamba wewe unaijua Rwanda na Kagame zaidi yangu hebu angalia jina langu la ukoo iweze kuelewa Mimi Rwanda ninaijua vizuri zaidi yako kwa 100%.
Madai ya Maxenzo Melo kutishiwa kuwa hayana ushahidi .
Wala yeye mwenyewe hajasema hizo habari za kutishiwa maisha ukizingatia kwamba hata kosa lililopelekea JF kufungiwa sio kubwa kihivyo na pia hakulifanya yeye mwenyewe bali limeganywa na baadhi ya watumiaji wa JF na yeye Melo kawajibika kama msimamizi.
Kufungiwa baadhi ya media na Kisha baadae kufungiliwa ni jambo halijaanza leo.
Makanisa ya Gwajima yamefungiwa baada ya Gwajima kuhubiri siasa na uchochezi akiwa ndani ya kanisa lililosajiliwa kuhubiri dini na uokovu.
Na aliambiwa kama hajaridhika na hatua iliyochukuliwa akate rufaa wizarani au aende mahakamani.
Sasa kama hajakata rufaa wala hajaenda mahakamani HILO NI TATIZO LAKE!.
Kwahiyo unataka watu wazid kushiriki uchaguz feki kisa huko nyuma walishirikkHivi uchaguzi fake umeanza mwaka huu au miaka yote uchaguzi fake ulikuwepo?!
Mbona wapinga uchaguzi wa 2025 wamewekeza nguvu kubwa sana ya kupinga uchaguzi ukilinganisha na chaguzi zilizotangulia miaka ya nyuma?!
Eti linajiita Katoliki wakati halijui Dr Slaa aliondokajeKuna mtu kahoji dini yako ama dhehebu lako ama unajiongelesha ili kushika attention za watu?. Kuna majitu bhana.
Hii iende majimbo yote ikibidi kila parokia kuwe na shughuli siku hiyo!!