Abuu Ibraahiym Sibomana
Senior Member
- Jun 1, 2025
- 130
- 143
Wewe umejiita "ostadh makaveli" nataka utuambie hilo neno "ostadh" maana yake ni nini?!Unataka kusema nini, acha taarab.
Mungu anajulikana kwa siku moja?!Shime kwa majimbo mengine wajifunze dar, waandae activities tofauti tofauti siku hiyo.
Hao waumini wenye ndugu wagombea niwatie moyo kuwa ndugu zao wagombea tayari matokeo ya kinachoitwa uchaguzi wanayo hata kabla ya kupiga kura. Hivyo wajikite zaidi kwenye kumjuwa Mungu wao, kwa kuzingatia ratiba itakayowekwa na viongozi wao wa kiroho.
Ibada haina kikomoMungu anajulikana kwa siku moja?!
Kuna watu wapo ndani ya ukatoliki zaidi ya miaka 30.
Kama mtu hajamjua mungu miaka yote hiyo ndio ataenda kumjua mungu kwenye warsha ya siku moja October 29 ?!
Tanzania ina wakazi wasiopungua milioni 64.Mpaka atekwe, unafahamu kwamba hii JF unayoituma hapa ilivamiwa na bahati nzuri ofisi ya Tanzania ni administration block tu watekaji wameshindwa kupata kitu, unafahamu kama Melo ametishiwa kutekwa na kuuawa goodness yuko nje ya nchi na waziwazi wamemwambia kuwa watamuua na atasahaulika stupidly unamuuliza mtu mbona haujatekwa?
Unajua huko TZ watu wanaingia JF kiharamu kwani imefungiwa, au na hilo utauliza mbona wana-comment kama imefungiwa.
Nimekuelewa vizuri sana!.Kwakuwa siumwi na ninayo afya, basi hakuna magonjwa. Tanzania bado ni nchi isiyo na magonjwa
(Si lazima kunielewa)
Umejibu kipumbavu sana ikiwa ni dalili ya kwamba una hasira nyingi au umechanganyikiwa!Kwanza umeonyesha kiwango chako cha umbumbumbu wa hali ya juu kujibu post kwa assumptions, eti wakati mwingine mtoke nje. You don't have slightest idea, au unadhani kila mtu humu anaishi kajamba nani huko TZ kama unavyoishi wewe.
Back to the topic:
Serikali unayoizungumzi sadly ni kama hauifahamu, hii ndiyo serikali ambayo kila anayekuwa na mawazo mbadala anatekwa na either atateswa sana au atauawa au kupotezwa asijulikane alipo na ndiyo hatasikika tena.
Serikali hii unayoizungumzia imeifungia hii forum na mlioko TZ mnaingia kiharamu kwa kutumia VPN bila kibali cha TCRA lakini mmejazana humu bila hata haya mkitumia forum ambayo serikali imeifungia.
Hii serikali wametishia kumuua Melo ambaye ni founder na owner wa huu mtandao wakimwambia waziwazi tutakuua na watu watapiga kelele lakini ndani ya mwezi utasahaulika lakini hapohapo unaona ni serikali credible na responsible kwa raia na institutions. All these proves ni serikali kandamizi, ya kibaguzi na iliyojaa unyama hivyo hata kanisa la Gwajiboy halikuwa na kosa na kama walikuwa na shida na Gwajiboy wange-deal naye na si institution ya kidini yenye waumini wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Wakafungia matawi yote nchi nzima, wakawakataza hata kusalia kwenye viwanja sasa mbona walivyopewa premises na Catholic wakashindwa kwenda kuwazuia kama kweli kulikuwa na justifications.
Umetoa mfano wa Rwanda, nchi ambayo hauifahamu hata 1% ya ninavyoifahamu. Hebu tuzungumzie Rwanda kwenye sectors zote, Kagame alishasema angekuwa na bandari kama Dar nchi isingekuwa na madeni ya nje na bandari ndiyo ingekuwa driving force ya uchumi, serikali yenu imeigawa kwa Waarabu kwa dubious and secretive contracts.
Unaona TRA wanaficha receipts za mtoto wa rais waziwazi kulinda uhujumu uchumi na ufisadi ndiyo bila haya unaweza kufanya comparison ya TZ na Rwanda.
Utawala wa Bongo hauna credibility kabisa, Kagame anapofungia institutions kwa kuwa anajulikana misimano yake kwenye rushwa, wizi, ulaghai na ubadhilifu hakuna anayetia shaka siyo kiongozi mpuuzi anayesema waziwazi kila mfanyakazi pale alipo ale kwa urefu wa kamba yake(literally ameruhusu wizi na corruption waziwazi).
Kuwa na akili japo kidogo.
Kama unajua kiswahili vizuri ukweli upo hivyo, warsha ni kitu kingine na kongamano ni kitu kingine!.Jipe moyo
Weka tofauti kati ya kongamano na warsha
Wakatoliki wa Dar eas salaam mnaenda kwenye warsha.Ibada haina kikomo
Mafundisho ya biblia na kuhusu Mungu sio shule ati mtu anahitimu
Ndo maana hata wasomi na wanazuoni hawaachi kwenda kanisani na miskitini kusali na kupata maarifa.
Acha CCM wakafanye uharamu wao, sisi wakatoliki tushiriki hiyo warsha na kongamano
Kwani kwenye tangazo lao wamesema wanafanya hiyo warsha ili kuzuia uchaguzi?Wakatoliki wa Dar eas salaam mnaenda kwenye warsha.
Wakatoliki wa mikoani wanapenda kupiga kura.
Hata hapo Dar wakatoliki wengi wamejitokeza kugombea nafasi za ubunge na udiwani kwahiyo wao na wafuasi wao wataenda kupiga kura.
Hiyo warsha ya wakatoliki wa Dar itakuwa na watu kidogo sana kwa sababu ni kwambie mbele ya wanaccm wengi ni CHAMA KWANZA UKATOLIKI BAADAE.
Naposema wakatoliki namaanisha watu kama Dr Philip Mpango, Dr Tulia Akson , Paul Makonda, Stephen Wasira, Mizengo Pinda, Albert Chalamila, Amos Makala nk.
Hawa ni watu wa CCM KWANZA UKATOLIKI BAADAE.
Kuna sehemu Kanisa Katoliki limezuia wameumini wake(Wakatoliki) KUPIGA kura?Wao sio wakatoliki?!
Ostadh ama ustadh (أستاذ),Wewe umejiita "ostadh makaveli" nataka utuambie hilo neno "ostadh" maana yake ni nini?!
Hilo ni swali la kwanza ukilijibu kwa usahihi kuna maswali mengine mawili ya msingi sana.
Ha ha ha ha !!Waanzilishi wa ukoloni, utumwa, inquisition, crusader wars, Masonic and corrupt church, Utakatishaji wa fedha, (ESCROW, Banco Ambrosiano scandal) ulawiti wa watoto na mauaji ya kimbari Rwanda na Yugoslavia, etc
Ndugu Ngara 23, mwiriwe, uraho neza ? Urakomeye ?Kwani kwenye tangazo lao wamesema wanafanya hiyo warsha ili kuzuia uchaguzi?
Au ni wewe na mtazamo wako?
Hata isingekuwa uchaguzi hilo tukio lingefanyika vizuri tu
Yaani kanisa lifate ratiba zake kisa uchaguzi wa utapeli
Haihitaji dini kuvijua hivyo, ni sehemu ya historia ya duniaHa ha ha ha !!
Bila shaka wewe ni Msabato
Sawa kabisa.Ostadh ama ustadh (أستاذ),
1.Mwalimu au mfundishaji
2. Mtu mwenye maarifa ya dini au elimu fulani kubwa
Ndio maana nikakwambia punguza taarabu, go straight to the point.Sawa kabisa.
Ustaadh .
1.Mwalimu au mfundishaji.
2.Mtu mwenye maarifa makubwa ya dini au elimu yoyote nyingine kubwa.
Katika kamusi ya Arabic English dictionary neno أستاذ wanatafsiri kuwa maana ya أستاذ ni TEACHER ,
PROFESSOR .
Inajulikana kuwa mtu hawezi kuwa mwalimu au mfundishaji kama hana elimu yoyote inayolingana na kiwango anachofundisha kama ni primary,secondary, A level au chuo kikuu.
Sasa swali langu kwako Ostadh makaveli wewe ni ostadh wa elimu ya dini,kilimo,uvuvi,udaktari, uhandisi au ni ostadh wa elimu gani?!
Kama wewe ni ostadh wa elimu ya dini tafadhali bainisha wewe ni ostadh mwenye elimu ya dini ya kiyahudi,kikristo, kiislamu au dini yoyote nyingine ambayo kwa hapa Tanzania haijajulikana sana?!
Dr. Hawezi kutibu ugonjwa usiyejulikana hivyo hivyo mwana usalama hawezi kukamata mhalifu asiyejulikana.Nimekuelewa vizuri sana!.
Tanzania wagonjwa wapo na pia madaktari na wauguzi wapo.
Tuwaache madaktari na wauguzi wafanye kazi yao ya kupambana na magonjwa na tusiwaingilie kuwafundisha namna ya kufanya kazi ambayo sisi hatujaisomea.
Siku wewe ukiumwa nenda kwa daktari umueleze ugonjwa wako ili akusaidie kulingana na aina ya ugonjwa unaokusumbua.!.
Lakini pia Tanzania UHALIFU UPO NA PIA VYOMBO VYA KUPAMBANA NA UHALIFU KAMA POLISI,MAGEREZA NA USALAMA WA TAIFA WAPO!
Lakini pia tunayo MAHAKAMA KWA AJILI YA KUSIMAMIA HAKI.
Sisi raia hatutakiwi kuvifundisha vyombo vya kupambana na kudhibiti UHALIFU na kusimamia haki namna ya kufanya kazi ambayo sisi hatujaisomea.
Siku ukifanyiwa uhalifu au ndugu yako akifanyiwa UHALIFU katoe taarifa kwenye vyombo vya kupambana na UHALIFU na kusimamia haki ili haki yako au hali ya ndugu yako iweze kupatikana lakini uwe na SUBIRA muda ambao vyombo hivyo vinashughulikia tatizo lako kwasababu HATA UNAPOENDA HOSPITALI HUWEZI KUMLAZIMISHA DAKTARI AKUPONYESHE UGONJWA WAKO NDANI YA MUDA UNAOTAKA WEWE bali atakupima na kukutibu kulingana na misingi ya taaluma yake ya udaktari na IKITOKEA HAUJAPONA UGONJWA WAKO HAIMAANISHI KUWA DAKTARI HAJAFANYA KAZI YAKE BALI NI CHANGAMOTO AMBAYO IPO NJE YA UWEZO WAKE.
(Kazi ya mungu Haina makosa)
Kumjuwa Mungu ni wakati wowote, wengine yaweza kuwa ndo siku yao. Si vyema kupoteza wokovu kwa ajiri ya uchaguzi fake wa CCM.Mungu anajulikana kwa siku moja?!
Kuna watu wapo ndani ya ukatoliki zaidi ya miaka 30.
Kama mtu hajamjua mungu miaka yote hiyo ndio ataenda kumjua mungu kwenye warsha ya siku moja October 29 ?!