Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Poleni Jimbo la Rulenge, hii si kwa jimbo lenu tu bali ni kufuru kwa kanisa zima la Ulimwengu, maombezi ambayo niliombe Kanisa lote lifanye yawe udhihilisho watu hawa wapatikane na waeleze nia yao na watu walioko nyuma yao, dhihaka kwa matukufu yake Mungu hawezi kuivumilia, tunajua kisasi ni cha Bwana lakini tuna sehemu ya kumsihi Bwana atende jambo.
 
Watakua VIBARAKA wa mkoloni Samia na wajomba zake warabu, wameanza rasmi UGAIDI dhidi ya KANISA CATOLIKI. LIMKATABA LIBOVU linatetewa na JIHAD. CCM ni JANGA. MaCCM ni viumbe katili sana. Fikiria tu wameuza raslimali za Tanganyika kwa mbwembwe. Na bado wanaangamiza makanisa, yanayotetea urithi wa vizazi vyao usipotezwe na Samia. #OkoaBandariZetu
 
Huna akili. Kwahiyo umegeuka vyombo vyaa usalama sasa unatoa na ripoti kabisa
Huwa sijadili mambo ya maana na mtu punguani wa kiwango chako. Hutakiwi kuchangia hoja yangu. Najadiliana na watu wenye akili timamu tu.
 
Nilivyokusoma hapa nikashangaa, huyu bibi wa chuki kila siku, leo anajidai kubadilika?!Lakini nilipokuja kukusoma hapa, nikajua hamna kitu, bibi wa madrassa na chuki ni kama pete na kidole.
Huyo Faizafoxy, kauli zake na bila shaka matendo yake, yanaashiria ni uzao wa shetani. Yumkini ni yale majini, tunayosimliwa kuwa yanayochukua sura za wanadamu.

Hakuna mwanadamu mwenye Roho wa Mungu anayekuwa na chuki dhidi ya wanadamu wengine, kama alivyo huyu bibi.
 
Makanisa yafungwe CCTV cameras aisee. Shetani ni pumbavu kabisa na hana akili.
La Geita lilifungwa CCTV cameras za kutosha lakini jamaa walitumia utaalamu mkubwa kuziharibu zote na bado tukaambiwa aliyeharibu alikuwa kichaa. Kichaa gani anahatibu kamera kwanza na bado haonekani then anafanya uharibifu nyumba ya Ibadan?
By the way ile KESI ya Geita ilifikia wapi?
 
Kanisa tajiri ambalo ibada Moja Lina uwezo wa kukusanya sadaka ya milioni 5 , ambao kutokana na mabadiliko ya kidunia na matishio wa kiusalama ya Sasa wanashindwa kuweka angalau seti 5 za strong security camera ambazo DVR/ AVR zake zimefishwa sehemu tofauti ?
 


mkuu acha na mimi nikazie hapo, Wametumia hekima kubwa sana.

"Kwa kipindi hicho jamii nzima ya waumini katika Jimbo la Rulenge - Ngara inahimizwa kusali,kufunga, kufanya toba na malipizi kwa Mwenyenzi Mungu ili abadilishe mioyo ya watu wenye nia ovu kwa mambo matakatifu
 
 
Kuna harufu flani ya uGAIDI kutoka kwa "genge flani"
ILA ktk hii kufuru wanatakiwa kujua kuwa wamelaanika wao na kizazi chao.
RADI ya Mola iko njiani kushuka kwenda kutua ktk utosi wao.
 
Kanisa ni Mali ya Mungu na si binadamu, Mungu hujitetea mwenyewe. Wekeni kumbukumbu haya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…