Ni matokeo ya waraka wa TECHabari wana jamvi.
Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.
View attachment 2737212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matokeo ya waraka wa TECHabari wana jamvi.
Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.
View attachment 2737212
Kituo gani??Ipo nenda kituoni utapewa
Dodoma centralKituo gani??
Nilivyokusoma hapa nikashangaa, huyu bibi wa chuki kila siku, leo anajidai kubadilika?!Binafsi ni Muislam lakini jambo la kishenzi kama hili sikubaliani nalo kabisa.
Aliyefanya/ Waliofanya watafutwe na kupewa adhabu kali sana.
Lakini nilipokuja kukusoma hapa, nikajua hamna kitu, bibi wa madrassa na chuki ni kama pete na kidole.Hili sasa kanisa la pili kusikia linanajisiwa mikoa ya magharibi, kulikoni?
Tujiulize, kiwa kanisa linashutuma, dunia nzima, kwa mapadri na maaskofu kunajisiana mpaka na watoto wadogo, itaacha kupelekea watu kutoliheshImu na kuIinajisi?
Mapdri na maaskofu wachunguzwe,wanajuwa fika, vyanzo vya huu ushenzi ni wao wenyewe.
Una imani na mahakama na jeshi la polisi hadi useme hivyo?Nyei mnaosema kijani imehusika je mnaukakika na mkiitwa mahakamani mnao ushahidi pasipo shaka?
Tuliachie kazi jeshi la polisi,pia ni wakati sasa makanisa yaweke walinzi pamoja na cctv camera.
Sasa hivi vyombo vya usalama ni sehemu ya kuficha uhalifu.Huna akili. Kwahiyo umegeuka vyombo vyaa usalama sasa unatoa na ripoti kabisa
CCM inaingiaje hapo ugonjwaPoleni sana kanisa katoliki ngara
Nb; katoliki mnailea sana CCM ebu ikataeni sasa
Nyumbu hao CDMCCM hao
Kuna lipi la uongo au la kkuzusha hapo, nikupe ushahidi wake.Nilivyokusoma hapa nikashangaa, huyu bibi wa chuki kila siku, leo anajidai kubadilika?!Lakini nilipokuja kukusoma hapa, nikajua hamna kitu, bibi wa madrassa na chuki ni kama pete na kidole.
Wewe kahaba mzee koma kabisa kulikashifu Kanisa. Ukahaba wako huko huna adabu kabisa.Hili sasa kanisa la pili kusikia linanajisiwa mikoa ya magharibi, kulikoni?
Tujiulize, kiwa kanisa linashutuma, dunia nzima, kwa mapadri na maaskofu kunajisiana mpaka na watoto wadogo, itaacha kupelekea watu kutoliheshImu na kuIinajisi?
Mapdri na maaskofu wachunguzwe,wanajuwa fika, vyanzo vya huu ushenzi ni wao wenyewe.
Sakramenti ya Ekaristi imeliwa !.Kwanini wakainyemelea usiku kihivyo itakuwa ni njaa tu hiyo.Kuanzia sasa isiwe inafungiwa kwenye masanduku wapewe wanyonge mchana kila Jumapili wakishamaliza ibada.Habari wana jamvi.
Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.
View attachment 2737212
Watafutwe na nan labda?Wahusika watafutwe ni jambo baya kuharibu nyumba za ibada.