Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

Sanamu la Yesu na Mama yake walikuwa wapi mpaka Sakrameti inaibiwa
 
Watu wakiwa katika malumbano basi panatokea kidudu mtu kinafanya jambo kama hili la hovyo ...Ili mradi kuongeza chuki baina ya watu .

Wamtafute washughulikie ni hatari sana .!
 
Hili sasa kanisa la pili kusikia linanajisiwa mikoa ya magharibi, kulikoni?

Tujiulize, kiwa kanisa linashutuma, dunia nzima, kwa mapadri na maaskofu kunajisiana mpaka na watoto wadogo, itaacha kupelekea watu kutoliheshImu na kuIinajisi?

Mapdri na maaskofu wachunguzwe,wanajuwa fika, vyanzo vya huu ushenzi ni wao wenyewe.
 
Padre Mwenge unaliaibisha kanisa; hatuna waumini wakatoriki, tuna waumini wakatoliki.
 
Binafsi ni Muislam lakini jambo la kishenzi kama hili sikubaliani nalo kabisa.

Aliyefanya/ Waliofanya watafutwe na kupewa adhabu kali sana.
Nilivyokusoma hapa nikashangaa, huyu bibi wa chuki kila siku, leo anajidai kubadilika?!
Hili sasa kanisa la pili kusikia linanajisiwa mikoa ya magharibi, kulikoni?

Tujiulize, kiwa kanisa linashutuma, dunia nzima, kwa mapadri na maaskofu kunajisiana mpaka na watoto wadogo, itaacha kupelekea watu kutoliheshImu na kuIinajisi?

Mapdri na maaskofu wachunguzwe,wanajuwa fika, vyanzo vya huu ushenzi ni wao wenyewe.
Lakini nilipokuja kukusoma hapa, nikajua hamna kitu, bibi wa madrassa na chuki ni kama pete na kidole.
 
Nyei mnaosema kijani imehusika je mnaukakika na mkiitwa mahakamani mnao ushahidi pasipo shaka?

Tuliachie kazi jeshi la polisi,pia ni wakati sasa makanisa yaweke walinzi pamoja na cctv camera.
Una imani na mahakama na jeshi la polisi hadi useme hivyo?
 
Nilivyokusoma hapa nikashangaa, huyu bibi wa chuki kila siku, leo anajidai kubadilika?!Lakini nilipokuja kukusoma hapa, nikajua hamna kitu, bibi wa madrassa na chuki ni kama pete na kidole.
Kuna lipi la uongo au la kkuzusha hapo, nikupe ushahidi wake.

Ukweli ni mchungu, utaupata kwa wanaokutakia mema tu. anaekuchukia hakwambii ukweli hata siku moja, kumbuka hilo.
 
Hili sasa kanisa la pili kusikia linanajisiwa mikoa ya magharibi, kulikoni?

Tujiulize, kiwa kanisa linashutuma, dunia nzima, kwa mapadri na maaskofu kunajisiana mpaka na watoto wadogo, itaacha kupelekea watu kutoliheshImu na kuIinajisi?

Mapdri na maaskofu wachunguzwe,wanajuwa fika, vyanzo vya huu ushenzi ni wao wenyewe.
Wewe kahaba mzee koma kabisa kulikashifu Kanisa. Ukahaba wako huko huna adabu kabisa.
 
Habari wana jamvi.
Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.

View attachment 2737212
Sakramenti ya Ekaristi imeliwa !.Kwanini wakainyemelea usiku kihivyo itakuwa ni njaa tu hiyo.Kuanzia sasa isiwe inafungiwa kwenye masanduku wapewe wanyonge mchana kila Jumapili wakishamaliza ibada.
Haya mambo ya kuficha vitu vya tunu ndani ya kanisa hayafai kabisa.
 
Back
Top Bottom