Kanisa Katoliki Kirumba lazingirwa na Polisi kisa Mkutano wa CHADEMA, baadhi ya watu wamekamatwa

Kanisa Katoliki Kirumba lazingirwa na Polisi kisa Mkutano wa CHADEMA, baadhi ya watu wamekamatwa

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo.

Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.

1000437358.jpg
 
Kama walikuwa wanafanya kanisani chadema watakuwa hawakufanya fair, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi
 
Bado sijaelewa
Ukumbi wa kanisa ni kanisani
Sijawahi kuona NCCR au CUF wakifanya mkutano ukumbi au uwanja msikitini au kanisani
Kunani
Mimi naona misikitini wanalaza magari tu,huko Kuna space za kupark magari na bodaboda.

Au wewe umewahi kuona Kuna msikiti(kama taasisi) wanamiliki kumbi za sherehe na mikutano na kukodisha kwa wahitaji kama ilivyo kwa kanisa?
 
Back
Top Bottom