peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Tetesi: Mkuu wa Wilaya Hai uteuzi wake, Kutenguliwa Kuinusuru CCM kuangukia pua Jimbo la Hai.
Mkuu wa wilaya Hai, Mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, ameonyesha wazi kutokubaliana na mbunge wa Jimbo hilo, Saashisha Mafue, ambaye ameteuliwa kugombea tena ubunge. Kutengua uteuzi huu unakuja wakati ambapo Bomboko, ambaye pia ni Kamisaa wa chama na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya wilaya...