Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Si walisema msimu wa kampeni huu?
Kwani Chadema wakiadhimisha hiyo siku yao Jk, RA, sa100, policcm, mbogamboga na wenzao wengine wanapata hasara gani?Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo.
Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.
View attachment 3467299
Ukisikia kazi za kishenzi ndo hizo sasa.Polisi hawana namna, viapo vyao vinawataka kutii amri
Io kanisani. Ni ukumbi wa kanisa. Kama ilivyo pale msimbazi center. Kuna kumbi kama nne hivi zinamilikiwa na kanisa.Kwanini mkutano ufanyike kanisani ?
Hivi sasa ni bora mtu akutwe na gunia la cocaine kuliko kuongelea chadema
Huwezi kuelewa, hata ukielezwa mara mia, kwa sababu akili yako ulisha ielekeza huko kwa sababu unazo zijuwa mwenyewe, na siyo kwa sababu ni jambo gumu kuelewa.Bado sijaelewa
Ukumbi wa kanisa ni kanisani
Sijawahi kuona NCCR au CUF wakifanya mkutano ukumbi au uwanja msikitini au kanisani
Kunani
Hata kama,haijakaa sawaKatolik Wana kumbi huwa wanakodisha sio kanisa!
Na ni hawa hawa watakao wasaidia waTanzania kuielekeza mitutu hiyo hiyo, wakati mwafaka, kwa wastahiki, wanaotoa amri za kuwakandamiza waTanzania.sasa watafanyaje? nafikiri kulaumu polisi siyo sawa hasa hawa wa chini, wao wanapokea tu amri hawawezi kukataa au hata kuhoji tu hairuhusiwi, kesho wakiamrishwa wakamtie pingu rostamu au hata dula watatii pia na kumtia pingu …
Alikipewa amri amuue Mzazi wake atatekeleza kwasababu ni Amri?sasa watafanyaje? nafikiri kulaumu polisi siyo sawa hasa hawa wa chini, wao wanapokea tu amri hawawezi kukataa au hata kuhoji tu hairuhusiwi, kesho wakiamrishwa wakamtie pingu rostamu au hata dula watatii pia na kumtia pingu …
Nasemaje? Sisi polisi hatupendi kabisa tunavyoagiza kuwipiga loba na gwala nyie raia wenzetu ambao tunanunuliana vinywaji mitaani. Ila shida ni maelekezo. Sisi tunafundishwa kutii maagizo bila kuhoji. Asante
Maccm yana hoja za ******* sanaWanaohoji eti kwa nini mkutano ufanyikie kwenye ukumbi wa Kanisa Katoliki, nadhani kichwani hawana kitu.
Ukumbi unaomilikiwa na Kanisa, hauwi Kanisa, yeyote anaweza kuukodi.
Shule inayomilikiwa na Kanisa, siyo Kanisa. Mwanafunzi yeyote anaweza kwenda kusoma.
Hospitali inayomilikiwa na Kanisa, haiwi Kanisa, ndiyo maana hata asiye muumini anaweza kwenda kutibiwa.
Boat inayomilikiwa na Kanisa, haiwi kanisa. Yeyote anaweza kuwa abiria wake.
Umeme unaomilikiwa na Kanisa, hauwi kanisa, ndiyo maana watu wote wanaweza kuunganishwa nao.
Maji yanayomilikiwa na Kanisa, hayawi Kanisa, ndiyo maana yeyote anaunganishiwa.
Kama hujui jambo kaa kimya..Bado sijaelewa
Ukumbi wa kanisa ni kanisani
Sijawahi kuona NCCR au CUF wakifanya mkutano ukumbi au uwanja msikitini au kanisani
Kunani
Waambie waende watapokelewa Bora wawe na fedha. Hakuna ukumbi wa bureBado sijaelewa
Ukumbi wa kanisa ni kanisani
Sijawahi kuona NCCR au CUF wakifanya mkutano ukumbi au uwanja msikitini au kanisani
Kunani
Unajua Chadema huwa wanashinda Uchaguzi Mkuu ila wanaibiwaGA kura. Sasa leo nilitarajia wale wapiga kura wengi wa Chadema leo wangekinukisha nchi nzima maana ilikuwa siku yao muhimu sana! Sasa wako wapi? Au walikuwa Kanisani!? Ahahahahaha!!!!Minaona vyama vya upinzani vifutwe tu ili wawe huru kufanya wanavyo taka
Wew ***** unawashwaTime gani wewe keybord worrior?
Fvck Polisi TanzaniaJeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo.
Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.
View attachment 3467299