Ni ukumbi wa kanisa sio wanamosaliKwanini mkutano ufanyike kanisani ?
Nasubiria majibu.Lakini na Samia alizindua kampeini Kwa Mwamposa
Mapolisi nayo ...yana poor living standards mkuu wao ni fisadi yet yanapelekeshwa kama misukule.
Kama walikuwa wanafanya kanisani chadema watakuwa hawakufanya fair, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi
Wanaohoji eti kwa nini mkutano ufanyikie kwenye ukumbi wa Kanisa Katoliki, nadhani kichwani hawana kitu.Katolik Wana kumbi huwa wanakodisha sio kanisa!
Tofautisha kanisani na ukumbi unaomilikiwa na kanisaKama walikuwa wanafanya kanisani chadema watakuwa hawakufanya fair, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi
Mkuu hizo ni kumbi hadi harusi zinafanyika, kama kumbi za jeshi pia, polisi, magereza n.k hakuna kosa hapo business as usualHapa walikosea aisee
Tupe katiba hiyo mkuu na sisi tupitie au wapi hilo katazo limeandikwa ili tujifunzeSijapinga ila siyo kwa kila shughuli, hawakodishi bila kuzingatia katiba ya Kanisa na mipaka ya usajili.
ccm wakifanya mikutano kwa mwamposa hamna kwele ila kwasababu ni chadema siyo haki au kwamposa hapakuwa na waumini milengo tofautiKanisa, misikiti, hekalu, jamatini vikae nje ya siasa kabisa sababu waumini wao wako kwenye milengo tofauti ya kisiasa
Hata kuwaweka viongozi wa dini kwenye nyadhifa za siasa si kitu kizuri.
Hayo mafisadi ya juu ndio yanatoa amri kwenda chiniMapolisi nayo ...yana poor living standards mkuu wao ni fisadi yet yanapelekeshwa kama misukule.
Ipo mipaka MkubwaMkuu hizo ni kumbi hadi harusi zinafanyika, kama kumbi za jeshi pia, polisi, magereza n.k hakuna kosa hapo business as usual
Misikiti pia huwa ina kumbi za kukodisha? 🤔Bora hata wangefanyia kwenye ukumbi wa msikiti wangeachwa