Chadema wanapaswa wafiche kadi zao, wasivae alama za chama chao, wakutane kwa siri wafanye mikutano yao ya ndani.
Hii itawapa nafasi kufanya siasa zao kama watanganyika walivyofanya wakati wa kudai uhuru wa nchi hii.
Vyama vilikuwepo lakini havikuwa na uniforms, walikytana kwa siri na kila kitu kilienda vizuri mbele ya macho ya mkoloni.
Kutokuvaa alama za vyama hakuiondoi chadema, wakifanya hivyo kila kitu kitakuwa sawa, hata hapo kanisani wange kuwa kama waumini na wasingebugudhiwa na yeyote.
Hizi ni nyakati ngumu, hii ni september, october iko kwenye kona inatakiwa akili kuishi na wajinga.