In fact ni unafiki wa kiwango cha juu sana wa kanisa katoliki nchini,
hawakuwahi kuwaombea wafu wa MV Bukoba, MV Nyerere, hawakuwahi kutangaza kuwaombea wafu wa ajali mbaya zaidi ya Treni Dodoma, hawajawahi hata kumuombea marehemu albino alieuawa kikatili sana na Padre wa kanisa katoliki kwa sababu za kishirikina.
Si hivyo tu,
kanisa katoliki halikuawahi kuwaombea waathirika wa dhuluma za kingono hususani ulawiti, wanaofanyiwa vijana na ma padre wakatoliki, halafu leo kwa unafiki tu wanakuja eti ng'we ng'we ng'we kutakua na misa ng'we ng'we ng'we sijui ya nini huko. This is pure nonsense.