PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
THEY ARE SOME PEOPLE WHO ENJOY MISLEADING THE LEADERS OF THE NATION FOR THEIR OWN INTERESTS. HATA YALIYOTOKEA 29 OCT NA MATOKEO YA KUWAMISLIDI VIONGOZI
In fact we,
as united youths and patriots of this nation,
are determined to defend and protect the government in place, the leaders in administration and the great people of this beautiful country with all our hearts and energy.

And no body can stop us from performing that patriotic duty, and we don't need permission from anybody in defending our nation :NoGodNo:
 
uko sahihi gentleman,
hata kauli na matamko ya kitima wakati ule yaliashiria na kuthibitisha kwamba kanisa katoliki liko nyuma ya ghasia zile kutumia vijana wake wanaoitwa VIWAWA kufanya fujo, uharibifu na maafa yaliyotokea.

In fact,
naunga mkono kwamba kanisa katoliki ndio msingi na chimbulo la machafuko na maafa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mauaji ya halaiki Rwanda:NoGodNo:
Mosi, Mimi sio Mkristo, ila nadhani kinachofanywa na kanisa kipo sahihi kabisa.

Pili, Kama una huo ushahidi wa kanisa kushiriki katika zile vurugu, vyombo husika vipo. Peleka malalamiko yako na ushahidi.

Tatu, lazima tukubali hata kama hatutokubaliana, wale waliofariki sio kuku na kusema wasifanyiwe ibada ama kukumbukwa.
 
In fact we,
as united youths and patriots of this nation,
are determined to defend and protect the government in place, the leaders in administration and the great people of this beautiful country with all our hearts and energy.

And no body can stop us from performing that patriotic duty, and we don't need permission from anybody in defending our nation :NoGodNo:
Hivi huwa unajiona kisogoni? moyo wa mwanadamu huwa ni mdanganyifu.unaweza kusema kuwa unatetea taifa kumbe ndio unaharibu kabisa.hivi kama kweli tuna usalama wa taifa mahiri tulishindwaje kung'amua kwamba kuna watu wanaandaa mapinduzi tarehe ile 29 oct?hafu tunakuja na ngojera eti walioandaa mapinduzi walikuwa mita kadhaa kutoka kituo cha police? tangia ile slogan ya no reform no election inatoka tulishindwaje kujua kwamba hii inaweza kuleta shida kama tusipoifanyiakazi .tatizo la mtanzania anawaza ya leo na siyo ya miaka 50 au 100 ijao.huwa unajiuliza kwamba kwa mwenendo wangu huu watoto wangu wataishije pindi sipo? wajukuu zangu wataishije pindi mimi sipo.what about vitukuu vyangu?

gadafi alijifanya mwamba sana leo yuko wapi? Ayatolah khomenei ajiona mungu mtu ,leo yuko mavumbini na NETANYAU NA TRUMP wanadunda. jambo la kheri ni kuishi na watu vizuri.
 
uko sahihi gentleman,
hata kauli na matamko ya kitima wakati ule yaliashiria na kuthibitisha kwamba kanisa katoliki liko nyuma ya ghasia zile kutumia vijana wake wanaoitwa VIWAWA kufanya fujo, uharibifu na maafa yaliyotokea.

In fact,
naunga mkono kwamba kanisa katoliki ndio msingi na chimbulo la machafuko na maafa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mauaji ya halaiki Rwanda:NoGodNo:
inategemeana na tafsiri yako. kanisa liko kwa ajiri ya kukemea maovu.sasa linapokemea maovu kuna watu wanapata kujua kuwa kumbe kuna maovu yanatendeka.the reaction of those who discover that kuna maovu yanatendeka ndio inakuwa shida,.how to handle the situation.kanisa haliambii watu kwamba nendeni mkauane au mkafanye vurugu.

na kwa reference ya jenocide ya rwanda ,ni kwamba serikali ya habyariamana iliwanyanyasa sana watusi wakina kagame,.wakimbizi wakitutsi walijaa tanzania ,rwanda ,drc etc.so kanisa kama lilikuwa linakemea maovu ya serikali ilikuwa sawa kabisa.shida ni namna ya kuhandle situation bila kuvunja amani.na genocide ile ilisababishwa na uhuni wa kagame na siyo kanisa
 
CHUKI ZA KANISA KATOLIKI dhidi ya serikali ya Samia imekita mizizi zaidi Mara baada ya DP World kuwafungia kabisa mianya ya kupitisha Magendo na bidhaa zao ZA dezo dezo pale bandarini
Kule wanatumia ubongo, siyo hisia kama wewe
Btw .....jikumbushe nyuzi zako za gesi ya ntwara enzi za jk.
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
Labda hufaham kanisa catholic lilifanya misa hiyo , na ni utamaduni wa kuanzishwa kwa kanisa hilo kuwaombe wanaopatwa na majanga mbali mbali. Kanywe chai kwanza pumbav
 
CHUKI ZA KANISA KATOLIKI dhidi ya serikali ya Samia imekita mizizi zaidi Mara baada ya DP World kuwafungia kabisa mianya ya kupitisha Magendo na bidhaa zao ZA dezo dezo pale bandarini

Wewe ni mpumbavu mdini sana tena natamani aingie Rais mwingine abadilishe katiba hakuna kobazi kua Rais tena katika Tanganyika akitaka anaenda Zanzimbar kugombea
 
Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?
Cha ajabu katika haya mauaji mashekhe hawakufunga wala kuqunut
 
Nakumbuka wakati mkapa akiwa rais aliuwa wazanzibar wengi huko zanzibar lakini hakukuwa na misa ya kuwaombea kwa sababu mkapa alikuwa mwenzao.

Hivi hii dini ni ya Mungu kweli au ni ulaji na upigaji tu kwa mwavuli wa dini.

Kinachomcost huyu mama ni baada ya kuboiresha hodpili nchi nzima zote zina MRI na zinatoa hiduma bora kitu ambacho ni threat kwa hospital za kanisa kama bugando nk.

Mama baada ya kuajiri walimu kibao na waliokuwa wakifunfisha kwenye mashule ya kanisa wote kuondola serikali pia ni threat kwa kanisa mana walikuwa wanayanyaswa sana na malipo kiduchu pia na kulazimishwa kuabudu masanamu.

Wawekezaji wanazidi kuonhezeka kila kukicha ambapo ni threat kwa kanisa mana upigaji wao unakomeshwa daily.

Mama kamatia hapo hapo kaisa linaisha mdogo mdogo
 
In fact we,
as united youths and patriots of this nation,
are determined to defend and protect the government in place, the leaders in administration and the great people of this beautiful country with all our hearts and energy.

And no body can stop us from performing that patriotic duty, and we don't need permission from anybody in defending our nation :NoGodNo:

I think you are confusing the goverment and the country, defending the goverment no matter their screw ups its called nationalism not patriotism
 
CHUKI ZA KANISA KATOLIKI dhidi ya serikali ya Samia imekita mizizi zaidi Mara baada ya DP World kuwafungia kabisa mianya ya kupitisha Magendo na bidhaa zao ZA dezo dezo pale bandarini
Ulivyo mjinga umeanzisha mada na kutaka kuwa wa kwanza kuchangia kupitia ID yako nyingine ili kuvutia members wengine! Ona sasa umeishia kuumbuka kwa kujikuta umetumia ID yako hii hii ya Big Fool
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.
Mn
Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
Nakukaribisha Ibadani. Karibu sana
 
Ila vijana WA CCM ni hasara.
Tutasahau vipi lile tukio
 

Attachments

  • FB_IMG_1762454352881.jpg
    FB_IMG_1762454352881.jpg
    76.6 KB · Views: 6
I think you are confusing the goverment and the country, defending the goverment no matter their screw ups its called nationalism not patriotism



Gentleman,
let me confirm to you without any fear of contradictions once again,

As youth of this country,
will fight tooth and nail to defend and protect our country, regardless of any misconceptions regarding the readiness and patriotism of Tanzanian youths to safeguard their nation. :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom