PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Zama zimabadilika sana, inabidi waende wa wakati. Siku hizi hakuna anayeshtuka na vioja vyao. Waacheni wajifurahishe tu wengi tumeshawadharau.
 
Huenda waisilamu wote wanaamini Samia alipata kura 31m, hivyo ikitokea watu wanataka kufanya ibada ya kuwakumbuka alioagiza wauwawe, inawaumiza waisilamu.

Hizo ni fikra zako lakini mbona hamkuanza na hawa waliouliwa kwa maelfu na nyerere pamoja na mkapa wake huku zanzibar ???
 
Kongole RC, dini zingine zinapigania haki hadi raha

Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje?

Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi wakati wa utawala wa Mkatoliki Benjamin Mkapa, wajua pia Benjamini Mkapa aliua mamia Pemba baada ya kuwapora Uchaguzi na akawasingizoa "uasi"?

Hao hata mahakamani hawakupelekwa walimalizwa pale pale na polisi Hawahawa!

Hawa wadai haki wa leo wanakumbuka haya?

Wariyoba anajifanya kusahau jinsi Uchaguzi ulivyokuwa unachezewa Zanzibar na hata kubadilisha matokea yakiwa tayari!

Mbona wadai haki mlifumbia macho hayo?

Ndio maana naona harakati hizi za leo ni upuuzi mtupu simply kwa sababu asiyetokana na nyinyi ndiyo yupo, baada ya 2030 hatutasikia tena haya! Ndugu mwananchi, tunza nafsi yako, Kuna mengi ya kuona huko mbeleni!

Click to expand...

Amejibiwa na huyu anayejiita , Kashishi yetu

Yalikuwa ni halali Yao kuuliwa.

Kwanini wakabomoe bucha??????
 
Naliomba Kanisa langu Katoloki/ viongozi wangu wa dini wote Kamwe msikubali kutumiwa na genge la wahuni- CHADEMA.
CHADEMA inalitumia Kanisa KATOLIKI ili kuhalalisha uovu wao dhidi ya Serikali.
Rc imekuwepo kabla ya chadema!
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
Watu wanaombea ndugu zào waliouawa nyie inawauma nini? Wawe Majambazi au vibaka ni ndugu zetu tunawakunbuka. Wewe kaadhimishe Mwembe Yanga ay Mwembe Togwa Hakuna aliyekuzuia.
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
Tumwaambia mara nyingi kuwa zingatieni sana elimu ya watoto wenu, vinginevyo tutaendelea kuwa na jamii ya wajinga wengi kama wewe
 
Hoja za wanaopinga kanisa langu katoliki kufanya ibada maalumu ya kuwaombea waliotangulia mbele za haki ni hoja gushi zilizojaa unafiki na upendeleo na zinafaa kutupiliwa mbali, hazinw mashiko.
Tukio la oktoba 29 ndio tukio la hatari la liliuwa watu wengi zaidi katika historia ya vurugu nchini. Sioni ubaya..
Kuna sababu nyingi sana za kuunga mkono ibada hii takatifu itakayofanyika nchi nzima
.
 
Pesa inahitaji retirement

Mlipeni wants receipts za matumizi

This was not unexpected
 
Hakuna mkatoliki mpumbavu anayeshabikia mauaji na maujingajinga mengine.Wewe ni mpagani unayejibanza kwenye ukatoliki.
Wacha kusema hivyo ndugu,
Ninacho kipinga hapa ni KANISA LETU kutumiwa na wahuni wa CHADEMA kuchochea chuki na kuvunja amani ya nchi yetu.
Kanisa lqzima liwe makini na kuepuka kujiingiza kwenye mambo yanayo pelekea kuligawa Taifa.
 
Kwa hiyo misa za kuombea marehemu zimeombwa na CHADEMA?
 
toka lini maombi yakasubiri anniversary?
1792934863851.png
 
Wrong qoute. Kama akili yako ni ndogo usichangie kwenye mada ya watu wenye akili kubwa utadhalilisha ukoo wako.
Wrong quote kwa vipi ? Kwani niliandika Mimi? Si nyinyi wakristo mkiona sawa tu waislamu kuuliwa.
 
Wrong quote again. Mimi nalipongeza kanisa katoliki wewe na yeye mnajadili vitu viwili tofauti. give me a break
 
Hizo ni fikra zako lakini mbona hamkuanza na hawa waliouliwa kwa maelfu na nyerere pamoja na mkapa wake huku zanzibar ???
Huko Zanzibar hakuna waisilamu wa kuanza hiki unachotaka kianze kwa RC? RC wametimiza wajibu wao sasa. Hawana kosa lolote la kutokufanya ulichotaka ww wafanye. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
THE BIG SHOW "IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??"

Ndugu yangu, saini (signature) yako kila siku inahimiza watu kutumia miguu yao kwenda kwenye sala ili wafike Paradiso.

Sasa inakuwaje leo hii unawazuia na kuwapangia watu wasitumie miguu yao kwenda kanisani kwenye Misa (Sala) tarehe 29 October? Huoni kwamba unajipinga mwenyewe?

Waache watu watumie miguu yao kwenda kusali na kuliombea Taifa lao, kwani kila mtu ana utaratibu wake wa kumtafuta Mungu na hiyo Paradiso
 
Your signature speaks of prayer and paradise, yet you are here discouraging people from attending a prayer service. It seriously makes me wonder.

Are you in your right mind?
 
THE BIG SHOW "IF YOUR LEGS CAN'T TAKE YOU TO PRAYER,THEN HOW DO YOU EXPECT THEM TO CARRY YOU TO PARADISE??"

Ndugu yangu, saini (signature) yako kila siku inahimiza watu kutumia miguu yao kwenda kwenye sala ili wafike Paradiso.

Sasa inakuwaje leo hii unawazuia na kuwapangia watu wasitumie miguu yao kwenda kanisani kwenye Misa (Sala) tarehe 29 October? Huoni kwamba unajipinga mwenyewe?

Waache watu watumie miguu yao kwenda kusali na kuliombea Taifa lao, kwani kila mtu ana utaratibu wake wa kumtafuta Mungu na hiyo Paradiso
Hajui anahitaji nini maishani.
 
Back
Top Bottom