PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huko Zanzibar hakuna waisilamu wa kuanza hiki unachotaka kianze kwa RC? RC wametimiza wajibu wao sasa. Hawana kosa lolote la kutokufanya ulichotaka ww wafanye. Una lingine kwa msaada zaidi?
Kumbe Zanzibar sio Tanzania vile?
 
CHUKI ZA KANISA KATOLIKI dhidi ya serikali ya Samia imekita mizizi zaidi Mara baada ya DP World kuwafungia kabisa mianya ya kupitisha Magendo na bidhaa zao ZA dezo dezo pale bandarini
Unajamba baada ya kula kitimoto makinge kilo, ndizi nne na Castle lite 4 za baridi
 
Hivi maombezi Kwa watu waliouwawa Yana Shida gani?Ninachokiona mnatamani sana kilichotokea oct 29 kisahaulike na mnaona maombezi haya ni kama kukumbushia kilichotokea!
Tatizo uchawa umekuwa mwingi na machawa hawawezi kuishauri serikali jinsi ya kwenda na hii Hali!
Ningekuwa mtawala,Wala nisingesukuma machawa kuja kulishambulia kanisa,badala yake ningetoa baraka zote kwa maombezi hayo lakini pia ningeagiza viongozi wa serikali kushiriki Katika kuwakumbuka watanzania waliopoteza maisha!
Nisingeishia hapo,ningetangaza siku hiyo itakuwa ya mapumziko!
Hii tension yote ingeisha na watu wakafanya Ibada na maisha yakaendelea!
 
In fact ni unafiki wa kiwango cha juu sana wa kanisa katoliki nchini,

hawakuwahi kuwaombea wafu wa MV Bukoba, MV Nyerere, hawakuwahi kutangaza kuwaombea wafu wa ajali mbaya zaidi ya Treni Dodoma, hawajawahi hata kumuombea marehemu albino alieuawa kikatili sana na Padre wa kanisa katoliki kwa sababu za kishirikina.

Si hivyo tu,
kanisa katoliki halikuawahi kuwaombea waathirika wa dhuluma za kingono hususani ulawiti, wanaofanyiwa vijana na ma padre wakatoliki, halafu leo kwa unafiki tu wanakuja eti ng'we ng'we ng'we kutakua na misa ng'we ng'we ng'we sijui ya nini huko. This is pure nonsense.

Hiki kinachofanywa sasa hivi na pisa na kitima ni unafiki wa kiwango cha juu zaidi cha kishetani.
Ni muhimu zaidi kua makini na makuwadi hawa wa shetani waliojificha madhabahuni 🐒

Tuliza ng’weng’we kanisa huwa na utaratibu wa kuombea marehemu. Acha chuki by the way tukutane kijiwe chetu cha Kitimoto leo haina mafuta mengi kama juzi
 
Hiki kinachofanywa sasa hivi na pisa na kitima ni unafiki wa kiwango cha juu zaidi cha kishetani.
Ni muhimu zaidi kua makini na makuwadi hawa wa shetani waliojificha madhabahuni
Hivi mashetani ni nani kati ya wauaji walioua maelfu ya Watanganyika na waumini wa dini wanaopanga kuwaombea marehemu waliouliwa bila hatia ???

Pia, mbona Muhammad swa alifariki miaka karibia elfu imepita lakini kila mwaka mnaadhimisha kumbukumbu yake??

Na Nyerere day ya kila mwaka ni ya nini??

Mauaji ya halaki ya maelfu ya Watanganyika hayawezi kufunikwa na wauaji kirahisi hivyo
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
Linda Mgongo wako we mwehu
 
Kumbe Zanzibar sio Tanzania vile?
Wana katiba yao, kama huamini nenda Zanzibar ukiwa mtanganyika kama unaruhusiwa kumiliki ardhi, ama kuwa kiongozi. Kama unaweza hayo uje tuendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom