PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

PostGE2025 Kanisa Katoliki kupanga misa ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29 ni muendelezo wa uchochezi wenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aulizwe huo mfumo Kristu ulianza Lini,alianzisha nani,kwa sababu zipi na uliishia mwaka gani?
Mkuu,huyo asipewe anachokitafuta,hana hoja,anatoa maneno hayo makusudi ili kukera watu na kutaka watu waingie kwenye kutukana Waislamu /Wakristo,halafu wao wanazidi faidika na mgawanyiko wanaoutengeneza..Tukishazifahamu hizi mbinu zao na kuzikataa huo ndio utakuwa mwisho wao,huyo hana tofauti na wale Waislamu fake/au Yule Bishop fake mwenye extreme views,Wapuuzwe..CCM imeiteka Bakwata kama ilivyoteka kina Mwamposa,Bakwata huru ingefanya Dua kuwaombea Wahanga wote wa October 29 sema hiiBakwata ya sasa inamilikiwa na CCM,Shehe Ponda na wenzake wameshinda kesi Mahakamani for a reason Mkuu..Tusiwape umuhimu hawa watu
 
Hapo wamejidhihirisha walihusika na kuchochea vurugu sasa wanakuja kujikosha kwa kuwa hawakuamini macho yao kilichotokea walidhani bado baba yao nyerere yupo atawatetea
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
Tangu lini tarehe ya ibada na ukumbusho wa mauaji yakutisha?
 
Huyo dini yake inamfundisha chuki, mauaji, kujilipua na matakataka yote.

Furaha yake ni kuona damu,, hasa za watu wa imani nyingine zikimwagika,, anaenda kufanya sherehe.

Unapoteza muda kumjibu.
Sema mlikipata cha moto baada ya kutaka kufanya mlichikifanya Rwanda na hio dini yenu ya kishoga

1792957720661.png
 
Wana katiba yao, kama huamini nenda Zanzibar ukiwa mtanganyika kama unaruhusiwa kumiliki ardhi, ama kuwa kiongozi. Kama unaweza hayo uje tuendelee na mjadala.
Vyombo vya ulinzi mpaka majeshi aliyoyakodi Magufuli kutoka Burundi waliokuja kuuwa watu huku Zanzibar wote ni Wazanzibari?
 
Vyombo vya ulinzi mpaka majeshi aliyoyakodi Magufuli kutoka Burundi waliokuja kuuwa watu huku Zanzibar wote ni Wazanzibari?
Mimi sio msemaji wa dhalimu Magufuli, kwani hao aliowakodi walikuja kumiliki ardhi ama kuwa viongozi? Ama umekwepa nilichokuambia?
 
Mimi sio msemaji wa dhalimu Magufuli, kwani hao aliowakodi walikuja kumiliki ardhi ama kuwa viongozi? Ama umekwepa nilichokuambia?
Nilifikiri utakuwa na akili ya kutafakari nilichokuandikia ?
 
In fact ni unafiki wa kiwango cha juu sana wa kanisa katoliki nchini,

hawakuwahi kuwaombea wafu wa MV Bukoba, MV Nyerere, hawakuwahi kutangaza kuwaombea wafu wa ajali mbaya zaidi ya Treni Dodoma, hawajawahi hata kumuombea marehemu albino alieuawa kikatili sana na Padre wa kanisa katoliki kwa sababu za kishirikina.

Si hivyo tu,
kanisa katoliki halikuawahi kuwaombea waathirika wa dhuluma za kingono hususani ulawiti, wanaofanyiwa vijana na ma padre wakatoliki, halafu leo kwa unafiki tu wanakuja eti ng'we ng'we ng'we kutakua na misa ng'we ng'we ng'we sijui ya nini huko. This is pure nonsense.

Hiki kinachofanywa sasa hivi na pisa na kitima ni unafiki wa kiwango cha juu zaidi cha kishetani.
Ni muhimu zaidi kua makini na makuwadi hawa wa shetani waliojificha madhabahuni 🐒
TOfautisha kati ya kifo cha God will na human will...hapo binadamu anaamua kumuua mwenzake makusudi kabisa kisa cheo
 
Hao waliouawa ni mbuzi mpaka wasikumbukwe!? Kule sharpville Afrika Kusini waliouawa watu 60 tu na askari kwenye maandamano mpaka leo wanakumbukwa na vitabu vya historia vimeandika. Sasa wewe watu zaidi ya 500 unaona sawa tu kuuliwa na askari. Ndio maana wazungu wanatuona waafrika bado hatujamaaliza circle ya ustaarabu wa binadamu. Kuna sehemu ya uhayawani haujatutoka bado.
Mbona waliouawa Pemba na mwembechai hawawakumbuki?..tena mwembechai Padre camillus lwambano ndiye aliyeenda kulia serikalini yesu anatukanwa mwembechai na serikali inatazama tu
 
Qma, chawa usiye na akili mtegemea kulamba mataqo ya viongozi wajinga waliofeli sekondari!!.
Mimi sina akili kwa sababu Watanganyika wenzako waliniulia ndugu na wazee wangu hiyo ni sawa , wacha karma iwatese vibaya sana na nakuona unavyotukana bora katafute padri akuweke sawa
 
Friends and our enemies,

KANISA Siyo Taasisi ngeni Katika Ushirika wake wa mambo mbali mbali ya uhamasishaji wa vurugu na umwagaji wa damu,refer Ushirika wake katika rwandan genocide.

KANISA ni hodari wa kuchochea na kujifanya wana play victim.

Mnataka Kufanya misa ya kuazimisha vifo Kama siyo wehu ni nin!?toka lini maombi yakasubiri anniversary?

Huo ni uthibitisho wa Yale yanayosemwa kwamba katika zile Fujo na vurugu KANISA lilikuwa na Mkono wake.

Hayo maazimisho ni mwendelezo wa Chuki yenu dhidi ya serikali ya Samia na ni Kwa Kuwa tuh ni muislam

Mauaji ya watu Zanzibar,mauaji ya mwembechai yalifanyika na Rais Mkatoliki na hutukuwahi kuskia misa wala vipaimara kwani wale waliofariki walikuwa ni Kuku wale?

KANISA KATOLIKI MTAMBUE ZAMA ZA MFUMO KRISTO ZILISHAPITA
123017.jpg
 
Back
Top Bottom