Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

Viongozi wetu hawako smart hata kidogo angalia tu hii inshu ndogo wanavyoihandle
 
Acha stori za vatikan. Mleteni mhalifu Gwajima, akaripoti Polisi. Hakuna aliye juu ya sheria, kama mnamficha, nanyi ni wahalifu, mtafuatwa tu.
Unaandika haya ukiwa unachezewa shanga? Intel yenu haijawasaidia kujua gwajiboy yuko wap
 
Viongozi wetu hawako smart hata kidogo angalia tu hii inshu ndogo wanavyoihandle
Unaijua hii issue. au unaota tu. Huna unachojua hapa.Mbona wakati ule wa madawa ya kulevya alikwenda kuripoti Polisi mwenyewe. Anachoogopa sasa hivi ni nini? Anajua alivyoyakoroga.
 
Unaijua hii issue. au unaota tu. Huna unachojua hapa.Mbona wakati ule wa madawa ya kulevya alikwenda kuripoti Polisi mwenyewe. Anachoogopa sasa hivi ni nini? Anajua alivyoyakoroga.
Kosa lao nini? Kama Gwajima mna shida naye sasa kanisa lenye matawi elfu 2 lina kosa gani? Si mngemfungulia kesi Gwajima. Mbona huko Katoliki mmemvamia kitima ila mkaliacha kanisa liendelee si mngemteka tu Gwajima kuliko kulitesa kanisa zima lenye malaki ya washirika.
 
Kataa wahuni
 
Hapo hamna suala la maana tatizo kubwa ni kukemea utekaji tu ,Gwajima alikuwa mtu wa maana kwenye mfumo mpaka siku alipozungumzia hayo mambo

Afu nawe unanipiga mkwara kwani viongozi wetu ujinga wao unajificha si kila mahali wanaboronga
Unaijua hii issue. au unaota tu. Huna unachojua hapa.Mbona wakati ule wa madawa ya kulevya alikwenda kuripoti Polisi mwenyewe. Anachoogopa sasa hivi ni nini?
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Nendeni tuone
Uhuni wao soon tutauona
 
Hongera sana Kanisa Katoliki kwa kuuishi ukristo. Kristo ni Pendo, na ukristo ni upendo. Na upendo wa kweli hudhihirika mwenzako akiwa katika shida. Tena mimi ningependa tuwapatie wautumie huo ukumbi bila ya malipo yoyote.
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Mtoto wa shule umeandaliwa uniform tayari??
 
Corrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!
Wewe kweli punguani usiyejitambua. Nani aliyekudanganya kuwa China hakuna kanisa Katoliki? Uwe unaishughulisha akili yako ili usibakie kwenye ujinga wa kudumu unaokufanya kuwa mp.umbavu.

The Catholic Church (Chinese: 天主教; pinyin: Tiānzhǔ jiào; lit. 'Religion of the Lord of Heaven', after the Chinese term for the Christian God) first appeared in China upon the arrival of John of Montecorvino in China proper during the Yuan dynasty; he was the first Catholic missionary in the country, and would become the first bishop of Khanbaliq (1271–1368).[1]

After the Chinese Communist Party (CCP) won the Chinese Civil War, Catholic and Protestant missionaries were expelled from the country. In 1957, the communist government established the Chinese Catholic Patriotic Association (CCPA) in Beijing,[2] which rejects the authority of the Holy See and appoints its own preferential bishops. In September 2018, China and the Holy See reached a provisional agreement giving the Pope the power to veto any bishop which the Chinese government recommends. The parties have extended the provisional agreement twice, most recently in October 2024.
 
Mtamleta wenyewe, hakuna haja ya kuhangaika. MAANA nyie amani mmeichoka.
Ukisikia ukichaa ndiyo huu!!

Hivi kuteka na kuua watu ndiyo amani?

Hivi anayeteka watu na kuua, na anayekemea utekaji na mauaji, ni nani anaharibu amani ya nchi?

Au damu za watu mlizozimwaga zimewaharibu hata akili ndogo mlizokuwa nazo?
 
Hata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Huwezi fungia RC kwani ukumbi wao ni mali binafsi wana hiali ya kumpangisha yeyote
 
RC wapo hadi Uarabuni ni kanisa lipo kona zote Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…