Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
U Kristo ni imani ya amani sana. Imani hii ndiyo imeleta amani duniani. Ni ustaarabutaratibu taratibu wakristo wameanza kuungana. atabaki mwamposa na maboya peke yao. ukiona hadi wakatoliki na walokole wanaungana ujue wamefikia mahali wakaamini adui yao ni mmoja. serikali inakotupeleka sio kuzuri. wafanyeje sasa manake maaskofu wa katoliki wanawindwa na kufuatilia hadi na magari, kwa sababu tu wamehubiri, mapadre wanavamiwa na kupigwa, hadi imefikia mahala siasa zimezuiwa, ila samia bado tu haelewi anakoipeleka nchi.
naomba niku assure ukiona muislam anachukia dini nyingine kwa kweli ujue hana elimu na unapaswa umuonee huruma.matatizo haya wala hayausiani na chuki ni mambo yao tu state machinery. unakumbuka hata aliyesain kulifuta ni Ima .during the reigns of Ottoman empire Christian were living freely in muslim state.na sio hivyo hata wakat wa Mtume wayahud na waksristo walikua wanaishi na wanalipa kodi na hakuna aliye waghasi. huwa napata tabu sana kuona mtu anaamin kwenye kulazimisha dini.so i assure you hata muslim wana majonz na wanaumia kuona waumin wa gwajima wanasumbuka.wewe ni mpumbavu kweli, huyo anayelifungia katoliki dunia nzima hajawahi kutokea. hata hivyo, mnafanya hayo kwa chuki dhidi ya ukristo, ndio shida yenu. mashetani wakubwa nyie.
endelea kubaki shule kama akili zako zilivyoHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Sina hakika kama una uwezo wa kuelewa. Kwa hiyo itatokea siku moja misikiti ikafungiwa!!Kikubwa kafungiwa na serikali ina mamlaka juu ya dini na sio dini kua na mamlaka juu ya serikali
Na mimi naliona ili soonNi suala la mda tu waumini wote wa Mwamposa watakuwa wa gwajima
Mungu akusaidie sana. Hivi wangapi wanakemea, si masuala ya utekaji tu Bali hata Samia mwenyewe wanamkemea waziwazi na hawajafungiwa?!!! Kuna jumapili yoyote au ijumaa imepita bila kukemea hayo mambo na mengine, iwe kwa serikali au kwa waumini tu?!!! Tuwe wakweli, kweli itatuweka huru.Sababu ya kufungiwa kwa kanisa la gwajima ni kukemea mauaji ,utekaji na ubakaji na ufiraji au wewe mwenzetu kuna sababu nyingine unaijua utuambie
Unaweza kutueleza kosa la Gwajima?Acha stori za vatikan. Mleteni mhalifu Gwajima, akaripoti Polisi. Hakuna aliye juu ya sheria, kama mnamficha, nanyi ni wahalifu, mtafuatwa tu.
Unakatwa na mwijakuHata huko watafukuzwa tu. Hao ni wahuni. Hawahitajiki Tanzania na Mbinguni. Na Kanisa Katoliki wakijifanya wajuaji na kuwapokea wahuni wa Gwajima nao watafungiwa!😡😡😡😡!!!!
Acha story twambie amefanya nini?Unaijua hii issue. au unaota tu. Huna unachojua hapa.Mbona wakati ule wa madawa ya kulevya alikwenda kuripoti Polisi mwenyewe. Anachoogopa sasa hivi ni nini? Anajua alivyoyakoroga.
Kosa lake ni nini sasa?nisaidie nilijueMungu akusaidie sana. Hivi wangapi wanakemea, si masuala ya utekaji tu Bali hata Samia mwenyewe wanamkemea waziwazi na hawajafungiwa?!!! Kuna jumapili yoyote au ijumaa imepita bila kukemea hayo mambo na mengine, iwe kwa serikali au kwa waumini tu?!!! Tuwe wakweli, kweli itatuweka huru.
Unafahamu Charistimatic?Vatican wanayajua hayo....maaskofu wanabadilisha Romani kuwa yakilokole. Kisa siasa🤣🤣🤣
Masikini ya Mungu, ujanja woteeeeeeeeeeee, kujidai koteeeeeeeeeeeee, hujui kuwa China kuna Katoliki? Beijing pekee (Yaani mjini Center) kuna makanisa zaidi ya 5. Na yana ukubwa zaidi ya St Joseph, Forodhani.Corrections! Halitafungiwa dunia nzima, bali linaweza kufungiwa Tanzania nzima. Kwani Kanisa Katoliki lipo China? Ahahahahaha!
Muhalifu wa kwanza ni yule anayeteka watu na kuwaua na kukataa asihojiwe, kwanza akamatwe yeye!!Acha stori za vatikan. Mleteni mhalifu Gwajima, akaripoti Polisi. Hakuna aliye juu ya sheria, kama mnamficha, nanyi ni wahalifu, mtafuatwa tu.
Umejaribu kuitafuta kwa waliomfungia hata kabla ya kuja Huku kushusha lawama na kuchochea udini?!!!Kosa lake ni nini sasa?nisaidie nilijue
naomba niku assure ukiona muislam anachukia dini nyingine kwa kweli ujue hana elimu na unapaswa umuonee huruma.matatizo haya wala hayausiani na chuki ni mambo yao tu state machinery. unakumbuka hata aliyesain kulifuta ni Ima .during the reigns of Ottoman empire Christian were living freely in muslim state.na sio hivyo hata wakat wa Mtume wayahud na waksristo walikua wanaishi na wanalipa kodi na hakuna aliye waghasi. huwa napata tabu sana kuona mtu anaamin kwenye kulazimisha dini.so i assure you hata muslim wana majonz na wanaumia kuona waumin wa gwajima wanasumbhatu
Hatuna majonzi yoyotenaomba niku assure ukiona muislam anachukia dini nyingine kwa kweli ujue hana elimu na unapaswa umuonee huruma.matatizo haya wala hayausiani na chuki ni mambo yao tu state machinery. unakumbuka hata aliyesain kulifuta ni Ima .during the reigns of Ottoman empire Christian were living freely in muslim state.na sio hivyo hata wakat wa Mtume wayahud na waksristo walikua wanaishi na wanalipa kodi na hakuna aliye waghasi. huwa napata tabu sana kuona mtu anaamin kwenye kulazimisha dini.so i assure you hata muslim wana majonz na wanaumia kuona waumin wa gwajima wanasumbuka.
Udini unaingiaje tena mkuu?mimi nimekuuliza tu sababu ya kufungiwa kanisa lake ni ipi?Umejaribu kuitafuta kwa waliomfungia hata kabla ya kuja Huku kushusha lawama na kuchochea udini?!!!