ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Kunaanza kunoga ??!
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Hajui hata kusomaacha upotoshaji gentleman,
huyo mjamaa sio kanisa katoliki, tafadhali sana
Mufti anaitwa Dr hata F4 hajafika, mgeni rasmi ni Dr lakini hata masters hana na elimu ni ya kuunga unga, Askofu ni PhD holder lakini hajiiti Dr huoni shida inaanzia hapo?
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
WarakaTUsubiri Walaka wa Pasaka
Uliwahi kumchagua Ras? Yani Katibu tawala wa Mkoa uliwahi kumchagua?Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Jikite kwenye hoja mjinga weweacha upotoshaji gentleman,
huyo mjamaa sio kanisa katoliki, tafadhali sana
yes gentleman,Jikite kwenye hoja mjinga wewe
Watu wanaanza kujitambuaInasikitisha sana
Unafikir hadi waandamane ndo ujue wametoa maoniyes gentleman,
maoni ya mkristo moja sio maoni ya kanisa katoliki
Wana hamu ushungi atoke,wanasikia samaleko nyingi ofisi za umma tofauti na zamani!!?..wavumilie,TANU na harakati za uhuru samaleko zilikua nyingiUnafikir hadi waandamane ndo ujue wametoa maoni
HahahaUliwahi kumchagua Ras? Yani Katibu tawala wa Mkoa uliwahi kumchagua?
Anyway lini ukipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Chama chako Taifa na aligombea na nani hiyo nafasi? Punguza takataka kichwani yamkini ukajua kwamba katika democratic elections Kuna kanuni na norms ambazo zikiwa observed Haki inakua imetendeka!
Time tuliyonayo ni tume ya Mgombea Urais Kwa tiketi ya Ccm kamwe HAIWEZI kutenda Haki hata kidogo!
Kama katiba inatamka kwamba Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi! Ni lazima mawazo ya vyama vingine yasikikizwe hasa pale inapoonekana Haki haitendeki wazi wazi! Watumishi waandamizi wa serikali na wanachama wa Ccm kuwa sehemu ya uchaguzi ni kuminya Haki, watu kuuwawa kisa uchaguzi ni kunyima Haki! Punguza takataka kichwani kasome namna Gani tume za uchaguzi za nchi zilizokomaa Kidemokrasia zinaoatikana na zinavyofanya kazi!
Viongozi wa dini hawapaswi kunyamaza wanapoona mifumo iliyopo inaminya Haki m. Hatuwezi kuhubiri amani wakati hatuna mifumo rafiki ya kutenda Haki!
Mbona elimu wanazo?Ifike wakati waislamu na viongozi wao waone umuhimu wa elimu dunia na kuipa umuhimu katika Karia zao, hasa Bakwata.
Wachache sana(Bakwata), na uzuri wa elimu ya mtu huonekana tu pale anapo zungumza na kuchambua mambo.Mbona elimu wanazo?
π π πWachache sana(Bakwata), na uzuri wa elimu ya mtu huonekana tu pale anapo zungumza na kuchambua mambo.
Huna unachokijua Asante.Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Usijitoe ufahamu Kisa Bwana wako CCM!Usitumie makalio kufikiria Kisa BWANA WAKO CCM.Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
πHuna unachokijua Asante.
Aiseeee hivi ukiwa CCM hata kitu cha wazi kinakushinda kuelewa?Ukiwa CCM uwezo kufikiria hupungua?Ukiwa CCM unatumia MAKALIO KUFIKIRIA?acha upotoshaji gentleman,
huyo mjamaa sio kanisa katoliki, tafadhali sana