PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
😡
 
Hapo sasa ndo mmeyavagaa wataambia watu misikitini ni mfumo kristo vs Mama SSH
 
Hilo sio KKKT. Get your facts right. Msidhani watu wote wataendelea kufumbia macho chaguzi za kipuuzi ili ccm wakae madarakani kwa shuruti.
Labda nikuulize Dogo. Lini Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania liliishawahi ku dictate muenenendo wa Siasa za Tanzania? Nipe mfano mmoja tu.
 
Kanisa Katoliki lipi? Kwa utaratibu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume kila Jimbo linajitegemea na haliingiliani na Jimbo jengine kwenye maamuzi. Sasa; ni Kanisa Katoliki lipi lililotoa tamko?
Utaratibu upi kwa kanuni ipi weka facts..zako acha kuleta hoja kwa hisia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…