Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
papa ni padre, padre aliitwa akiwa mtu wa kawaida akaenda kwenye upadre akapanda ngazi kwa namna mbalimbali hadi kufika hapoMaandiko kwenye Biblia yanaonyesha viongozi hawakuchaguliwa bali waliitwa na bwana kwa nyakati tofauti. Hii ya Vatican naona haina tofauti na michakato ya nafasi za kisiasa au ile ya katibu mkuu wa UN.
Hongera kwake.All d best ma popeee
SioPopeeeee wetuu huyooo
Papa hajatokeaAmeombaa muavhe DHAMBI za Dunia
Robert fraancis
Tayari unaangalia tbc nnPapa hajatokea
Huyo ni kadinal kamtangaza papa.Tayari unaangalia tbc nn