Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Ni ajabu kulaumiana kwa vifo vya watawa huku historia ya Rome 2020 ikijulikana. Kwangu mimi kila mtu anatakiwa kuchukua tahadhari, kula vizuri, mazoezi na kumwomba Mungu sana
Watanzania wengi hawachukui tahadhari ndugu yangu. Sijui Kama umeshaona usafiri wa imma ulivyo, nenda kwenye maeneo Kama kariakoo, tandika ilala, sokoni Hakuna anayejali watu wanesongamana bila kuchukua tahadhari yoyote.
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Pole Sana Mkuu. Halafu bado Kuna watu wanafanya masihara. Inauma!
 
Watanzania wengi hawachukui tahadhari ndugu yangu. Sijui Kama umeshaona usafiri wa imma ulivyo, nenda kwenye maeneo Kama kariakoo, tandika ilala, sokoni Hakuna anayejali watu wanesongamana bila kuchukua tahadhari yoyote.
Hakuna binadamu asiyeogopa kifo, ukiona masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote.... kuna la ziada
Haiwezekani jirani zako wacoronewe kila siku halafu uendelee kuisogelea corona
 
Kuna kitu usichokifahamu.

Pale mwanzo, March/April 2020, hakuna ambaye alidharau waliyotangaziwa na serikali wayafanye. Watu walivaa barakoa na mikono walisafisha.

Unaweza kueleza ni kipi kilibadilika hadi kufikia leo watu hao hao wanaona sio muhimu tena kuchukua kinga?

Ukiwa muungwana, utaliwazia hili kwa makini na kupata jibu sahihi.

Kilichobaki sasa ili watu hao hao wafuate yote ya kujikinga bila ya shurti ni kama baadhi yao wakianza kudondoka humo humo Kariakoo na kwingineko wanakobanana. Hutawaona tena wakidharau hata bila kuhimizwa na hao wenye wajibu wa kuwahimiza.

Nisome taratibu, sitaki ubishi.
 
Usipanic basi...
 
Fanya utafiti uje na majibu kwanini masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote....
Haiwezekani jirani zako wacoronewe kila siku halafu uendelee kuisogelea corona
 
Fanya utafiti uje na majibu kwanini masoko ya kariakoo, tandika ilala yamejaa na hakuna anayejali msongamana wala kuchukua tahadhari yoyote....
Haiwezekani jirani zako wacoronewe kila siku halafu uendelee kuisogelea corona
Sasa unadhani wewe ni mjanja na kukwepa hoja rahisi tu niliyokutupia; au unataka nkuchukulie kuwa kilaza?

Kwa nini nifanye utafiti na sababu yenyewe inajulikana. Unadhani unapofumba akili usikubali kuiona sababu hiyo ndivyo na wengine watakuwa hawana akili kama wewe?

Nilikupa nafasi utumie akili, lakini naona akili zimenyofolewa na kumkabidhi huyo unayedhani yeye hawezi kufanya makosa; tena makosa ya maksudi kabisa kwa sababu ya kiburi tu!

Na huku watu wanapoteza maisha, nyinyi ni kama mnashangilia!

Bure kabisa
 
Ungekua na akili nzuri ungekuja na takwimu hapa utuambie msongamano katika masoko ya kariakoo, tandika na ilala umepelekea maambukizi kiasi gani na vifo kiasi gani.

Yaani kwa akili zako ndogo unataka kulazimisha kwamba watu huko masokoni wanakufa sana sana lakini wenzao kila siku wanaenda tena bila tahadhari ili na wao wafe?

Kuandikaandika tuu bila kuwa na takwimu ni sawa na kuimba taarabu tuu, na mtu yoyote mwenye akili nzuri zaidi atachukulia maneno yako kama umbea na majungu yaliyojaa chuki kwa maslahi yako binafsi.

Chukua tahadhari, kula vizuri, fanya mazoezi, mwombe Mungu sana sana kama wanavyofanya wenzio
 
Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.

Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.

Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Nashangaa sana kanisa linapotuhumu "watu kusali bila kuchukua tahadhari". Mbona rais na serikali wanasisitiza "watu kusali na kuchukua tahadhari". Anyway, makanisa yenyewe hakuna hata moja lililoachwa na kristo. Yote ni kazi ya binadamu. Acha wafanye kazi yao. Walianza kwa kusambaza hofu. Sasa ugonjwa unapotea wanataka kurejesha hofu tena! Magufuli anapata taabu sana. Maadui kila upande, mpaka kanisa.
 
Na bado wanaoukutika
 
Iv serikal hawa muliki JF maana nyuzi hii imekiuka lile tamko la Abasi (Phd)
 
Akifanikiwa utasikia ni Mungu wao, lakini wakati wa kumtumainia anakuwa si Mungu wao, wanye wakwao yule kwenye sinema za weupe...Taabu kweli kweli
 
Nimejiuliza sana kuhusu hivi vifo vya mapadre na masista.
Kwa nini corona ipige kanisa la Catholic kwa namna hii, je huduma yao ndo chanzo kwa maana ya kwamba wanakutana na watu wengi zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mimi nimepata hisia inawezekana tendo la ngono lina uhusiano na corona.
Hawa watumishi hili tendo hawalifanyi au wanalifanya kwa wizi.
Wanafariki kwa mengi hawa watumishi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…