Huko wamekufa kwa corona, sasa hapa kwetu hakuna corona ni nini kinawaua ?Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Ungekuwa unafuatilia ungejua kuwa pamoja na kufa wengi bado wanapambana sana,yaani hakuna kujibweteka na kusema hatujui cha kufanya.na kwa sasa wameshapewa chanjo na wanaanza kuondoa lockdown pole pole.makadilio yao ni kuwa june mambo yatakuwa mswano na kurudi hali ya kawaida.Marekani wamekufa, Italia wamekufa, wazungu wengi wamekufa na wanaendelea kufa. Hawa ndiyo wataalamu na wanasayansi wa dunia, wanajua kujihami kuliko sisi, na watu makini na wenye maendeleo kuliko sisi. Hawa watu wameweka lockdown lakini korona imewafuata mpaka majumbani, hata viongozi wa nchi zao wamepatwa na huu ugonjwa. Swali ni Je? Nini unaweza kuwa utatuzi? Tusaidiane kutafakari tusiache misimamo ya kisiasa itutawale.
Utuletee ushauri wenye una faida au ututengenezee chanjo ya uhakika Shadow7Kwaiyo unatushaurije?
😂 😂 😂 🙏🙏🙏❣️Utuletee ushauri wenye una faida au ututengenezee chanjo ya uhakika Shadow7
Lawama bila suluhu ni kelele tuu
Hakuna cha kuisha kwa Corona wimbi la kwanza wala wimbi la pili. Corona imeendelea kuwepo hapa nchini tangu Desemba 2019 hadi leo. Mtanzania mwenye kuamini 'ushirikina' wa Magufuli kuhusu kukabiliana na janga la Corona atakuwa mjinga tu.Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani
Mkuu kwa mawazo kama haya, kama kweli ulienda shule, basi it is a loss to humanity.Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani
Kwahiyo unataka na sisi tujiachie tu kwa vile Marekani wanakufa.Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?
... hali sio nzuri kabisa! Ukiona hadi juu kule wamepigwa ujue sisi akina sisimizi tunasagwasagwa na tembo hakuna anayetusemea.Hapo utajua kiasi gani waumini wamekufa pia.mapadri 25 na hao masister 60 wamekutana na wakristo wangapi katika kutoa huduma.
Pole mkuuKati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
... pole sana Mkuu! Pole sana ndugu yangu naona machungu uliyo nayo!Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Nichangamoto ya upumuajiHuko wamekufa kwa corona, sasa hapa kwetu hakuna corona ni nini kinawaua ?
Aiseee sasa Kama Mungu si hirizi kwa nini mapadre na maaskofu katoliki husisitiza watu kumuomba Mungu wakati yeye si hirizi? au kinga au msaada unaoonekana tele wakati wa Mateso yawe ya Corona au vinginevyo?Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima
We acha tu, nilikaa week mbili akili haina utulivu. Kwa sasa kidogo hata kazini napiga kazi kama kawaida. Kufiwa kusikie kwa mwenzio tu.... pole sana Mkuu! Pole sana ndugu yangu naona machungu uliyo nayo!