Tatizo linakuja namna ya kutengua kauli ama msimamo wa mwanzo kwamba Corona haipo sababu ilishamalizwa na maombi.Jiwe ameshindwa kabisa kuukubali ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo linakuja namna ya kutengua kauli ama msimamo wa mwanzo kwamba Corona haipo sababu ilishamalizwa na maombi.Jiwe ameshindwa kabisa kuukubali ukweli
Mithali 1:32 "Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza." Sasa usichukue hatua tegemea Mungu atakujia hapo ulipo kukuokoa au lala ndani usali tu mwaka mzima usiende kufanya kazi wala kutafuta chakula Mungu atakuletea chakula. Mungu huwa hajaribiwiHuyo padri atueleze kazi ya sala nini? mtu anasali rozali mpaka anakaribia kuzimia kwa kurudia rudia akisali Salamu Maria anasali nini wakati Mungu sio Hirizi au kinga? si aache ?
Kuna watu wanasubiria vifo kwenye ule umati wa mazishi ya Maalim vile wengi hawakuvaa barakoaMasista na mapadre hawachanganyiki sana na watu watakuwa Corona wanapeana wenyewe sababu wai huenda sana Roma italia kwa papa
Corona ingekuwa ipo wabanana kwenye daladala na mwendo kasi na masokoni na mikutano ya kisiasa wangekufa kama kuku lakini hakuna mitaani uswahilini hali shwari ndicho kitu cha ajabu.Wanakufa mapadre na masisita wanaoishi maisha ya kujifungia na kukaa mbali na watu wakizingatia social distance kati yao waitwa na Yesu na watu wa kawaida!!!!
Hiyo kauli yake itaondoka na watanzania wengi sanatatizo linakuja namna ya kutengua kauli ama msimamo wa mwanzo kwamba Corona haipo sababu ilishamalizwa na maombi.
Ingekuwa rahisi hvyo hata YESU angekubali ushauri wa shetani na kujirusha kwenye ile minara ya Yerusalemu maana shetani alimwambia YESU kwamba MUNGU angemwokoa asipate madhara,Ila YESU alimjibu shetani kwamba usimjaribu bwana MUNGU wako,na hilo likawa pigo kwa shetani.MUNGU hajaribiwiNiseme wazi kipindi hiki ni kila muumini asimame na imani yake asitegemee Askofu,padre,mchungaji wala sista wengi wametelekeza Mungu kama hana maana wala msaada kipindi hiki cha corona
KAMA WEWE UJAKUTWA NA MSIBA WA CORONA MSHUKURU MUNGU KISHA KAA KIMYA, WENYEWE WANAISHI HUKU KILIMANJARO HASWA MAENEO YA KARIBU NA HOSPITAL, WALIJIONEA WENYEWE HASWA MWEZI WA PILI WATU TUMEHUDHURIA MAZIKO MPAKA TUKACHOKA.Masista na mapadre hawachanganyiki sana na watu watakuwa Corona wanapeana wenyewe sababu wai huenda sana Roma italia kwa papa
Corona ingekuwa ipo wabanana kwenye daladala na mwendo kasi na masokoni na mikutano ya kisiasa wangekufa kama kuku lakini hakuna mitaani uswahilini hali shwari ndicho kitu cha ajabu.Wanakufa mapadre na masisita wanaoishi maisha ya kujifungia na kukaa mbali na watu wakizingatia social distance kati yao waitwa na Yesu na watu wa kawaida!!!!
Kuna mtu kakwambia jiachie?Kwahiyo unataka na sisi tujiachie tu kwa vile Marekani wanakufa.
Mwenyezi MUNGU ampitishe kwenye machungu wanayopitia wengine,ili utu na uelewa umwingie.KAMA WEWE UJAKUTWA NA MSIBA WA CORONA MSHUKURU MUNGU KISHA KAA KIMYA, WENYEWE WANAISHI HUKU KILIMANJARO HASWA MAENEO YA KARIBU NA HOSPITAL, WALIJIONEA WENYEWE HASWA MWEZI WA PILI WATU TUMEHUDHURIA MAZIKO MPAKA TUKACHOKA.
MIMI MWENYEWE BINAFSI NILIFIWA NA BABA MKUBWA KWA TATIZO HILO HILO NA WALITANGAZA KABISA MSIBANI.
Kuna muda unafika unapata majibu kwamba sisi watanzania wengi wetu ni wajinga wajinga- reasoning yetu ina mashaka makubwaHiyo kauli yake itaondoka na watanzania wengi sana
Uache kupotosha watu kwamba kuna mtu anaitwa jiwe na watu wana kufa kwasababu yakeKwaiyo unatushaurije?
@Crimea Bila takwimu utajua Tanzania imeshapoteza watu wangapi ??!!!. Hivi tumelaaniwa na kurogwa na nani ?! SIASA ?Hao ni pamoja na kwamba walichukua tahadhali,
Kwa sisi ambao hatukuchua tahadhali tungetegemea sasa hivi vifo viwe mara tano ya hivyo?
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima amesema kuwa ndani ya miezi miwili iliyopita zaidi ya mapadri 25, masista na manesi 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
Ameongeza kuwa vifo vinaendelea na kuwataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari na kuacha mzaha katika katika suala zima la Corona.
Huyu Mungu si hirizi, anataka kila binadamu awajibike na atumie uwezo wake kufikiri. Corona ipo, unaambiwa chukua tahadhari unasema mimi nasali. Mungu wetu anataka watu wawajibike, si kusema tu, tunasali - Ameongeza Padri Charles Kitima
Tatizo ni wanaotuongoza wana akili kama za nyumbu they can't on the right pathkuna muda unafika unapata majibu kwamba sisi watanzania wengi wetu ni wajinga wajinga- reasoning yetu ina mashaka makubwa
Jiwe ameshindwa kabisa kuukubali ukweli.
Stand on the right path even if you have to walk aloneUache kupotosha watu kwamba kuna mtu anaitwa jiwe na watu wana kufa kwasababu yake
🙏 🙏 🙏 ❣️Ee mwenyezi Mungu mtenda miujiza nakuomba unichukulie huyu mwanasiasa anayewadanganya wananchi kuwa hakuna janga huku wanaendelea kufa tu.
Mchukue hata akawe mfagia choo huko.
Amen.
Na wameshaanza kumchanganya kweli kweli jamaa wa magogoniKatoliki wameanza kumpa za uso mwana Kondoo wao!
Sasa hivi nimeamini Sasa, kwamba Katoliki wameona liwalo na liwe! Enzi za Jakaya kama ndiyo ingekua hivi,nasema kabisa Katoliki wangekua wamefoka kweli kweli! Wangeishutumu sana Serikali ya Kikwete! Tena huyu Kitima ndiyo basi kabisa! Alikua anaponda sana Serikali ya Kikwete! Pengo pia,Kilaini akamtetea kwamba Jakaya ni chaguo la Mungu,wakamtupa Bukoba huko! Warumi noma sana