Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logic ni Tatizo kubwa Sana kwa wengi....Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Hii ni akili nyingine mbovu. Kumbuka neno: "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
Ni ukweli mtupu,wala siyo upotoshaji.Uache kupotosha watu kwamba kuna mtu anaitwa jiwe na watu wana kufa kwasababu yake
Ka
Aiseee sasa Kama Mungu si hirizi kwa nini mapadre na maaskofu katoliki husisitiza watu kumuomba Mungu wakati yeye si hirizi? au kinga au msaada unaoonekana tele wakati wa Mateso yawe ya Corona au vinginevyo?
kanisa katoliki matapeli waumini wanaenda jumapili kufanya nini kanisani kila dominika wakati Mungu sio kinga yao na si hirizi? mkatoliki shituka .ina maana lengo watoe sadaka tu na kuondoka wakati huyo Mungu mnayesema mpe sadaka hana msaada kwao wala sio kinga yao?
Wakatoliki mnapeliwa .Hili tamko alilotoa ni la kipagani Mungu wetu ni kama hirizi ni kinga yetu mateso yasitupate yawe corona au majanga yeyote .Zaburi inatamka wazi kuwa Mungu wetu ni kimbilio na nguvu na msaafa wetu unaoonekana tele wakati wa mateso.Ni kimbilio letu iwe kwenye corona nk ndiye hirizi yetu.
Kwangu mimi Mungu ndiye hirizi yangu
Kwahiyo sisi vifo tuko sawa na USA?@Crimea Bila takwimu utajua Tanzania imeshapoteza watu wangapi ??!!!. Hivi tumelaaniwa na kurogwa na nani ?! SIASA ?
Crimea unazungumzia dawa !! . Anayegomea chanjo ni nani ?!Kuna mtu kakwambia jiachie?
Ninacho mananisha hapa ni watu kama nyie kumlaumu mtu kama vile kawashikia akili au ana dawa kakataa kuwapa, wakati hili ni janga la kimataifa. Na hata huko kwa wenzetu ndio wamekufa wengi zaidi.
Wizara husika ya Afya tayari imeishatoa muongozo wa namna bora ya kukabili corona!Jiwe ameshindwa kabisa kuukubali ukweli.
Nani kakwambia barakoa inazuia corona?Hasa Ma-ccm hayasikii!!! M/kiti wao aliwabeza watawa waliokuwa wamevaa barakoa kujikinga na maambukizi.
Marekani wapo wangapi na idadi yetu tupo wangapi unaona sawa kufananisha huku idadi ya watu mkiwa tofauti wengine hata takwimu hamna kabisa...Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?
Yaani hizi ndo think tank za Kijani-Muurumie tu mkuu manake hamna kitu hapoAcha kutuchonganisha na viongozi wetu wa kiroho kwa ushirikina wako! Kama ingekuwa swala la Imani.....basi tusingekuwa na hospitali....wala magereza wala kufuata sheria za barabarani...maana Mungu angefanya kila kitu.
Vijana wa siku hizi siasa zimewafukarisha akili.
Mungu siyo lisu wala amsterdam...Ee mwenyezi Mungu mtenda miujiza nakuomba unichukulie huyu mwanasiasa anayewadanganya wananchi kuwa hakuna janga huku wanaendelea kufa tu.
Mchukue hata akawe mfagia choo huko.
Amen.
Mungu siyo Lissu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji3589]
Amen!
Endeeleni na kujifanya kila mtu mtaalamu wa corona...Nani kakwambia barakoa inazuia corona?
Ana dawa kakataa kukupa?Ni ukweli mtupu,wala siyo upotoshaji.
Kwani hajui dawa zinapatikana wapi? Amuulize rafiki yake mseven atamsaidia jinsi ya kuzipataAna dawa kakataa kukupa?
Kwa hiyo wewe unavyoona rate ya vifo kule marekani ni sawa na ya hapa kwetu?Marekani wapo wangapi na idadi yetu tupo wangapi unaona sawa kufananisha huku idadi ya watu mkiwa tofauti wengine hata takwimu hamna kabisa...
Mungu siyo Lisu