Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Kwa hiyo wewe unavyoona rate ya vifo kule marekani ni sawa na ya hapa kwetu?

Kifo hakifichiki, siyo kwamba hakuna waliokufa, wapo ila si kwa wingi mnaotka kutuaminisha
Ulikimbia hesabu huwezi kuelewa nachoongea kabisaa...
 
DIWANI NA TIMU YAKO MPE HELA CHIZI YOTE AWAJIBU HAWA MAASKOFU WA RC. UNAWEZA KUMTUMIA HATA COMMANDO MASHIMO, RASHIDI GWAJIMA, BILA KUMSAHAU YULE KIJANA ALIYEENDA KUGOMBEA JIMBO LA KANGI LUGOLA.
 
Lisu ametoka wapi tena hapa wakati tuko kwenye maombi
Mungu hawezi kutekeleza maombi ya chuki, ila Mungu angekuwa Lisu hata jana Magu angeshaondoka.
 
Biblia inatamka wazi kuwa hukumu itaanzia nyumba ya Mungu sababu haimpi utukufu Mungu sasa hivi kwenye Corona wanasayansi ndio wanapewa utukufu na maaskofu masista wachungaji na mapadre tujiandae kuzika wengi zaidi ya hao kuanzia maaskofu mapadre wachungaji masista nk hawa waliokufa cha mtoto.

Narudia hukumu ya Mungu imeanza kanisani.Yeyote asiyekiri Mungu Kuwa Bwana na Mwokozi kwenye Corona ajiandae kuondoka na Corona.Watengeneze mambo yao saa yeyote wanaondoka
 
SASA huyu kiongozi wangu Anataka wasife au ??

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
We acha tu, nilikaa week mbili akili haina utulivu. Kwa sasa kidogo hata kazini napiga kazi kama kawaida. Kufiwa kusikie kwa mwenzio tu.
Pole sana mkuu, mi mwenyewe ndio hali imetengemaa sasa.
 
Hawa si kila siku wanavaa barakoa, na mwingine juzi kavaa Eye shield kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…