Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Zile za kushona unapaswa kuwa nazo nne kwenye mkoba. Unakua na kifuko cha safi na chafu. Ukishapata breakfast na kuvaa barakoa huigusi tena. Unaitoa kabla ya kula lunch, una nawa mkono na kula. Baada ya kula una nawa mikono na kutoa barakoa safi unavaa.Barakoa unafua?
Jioni ukirudi nyumbani unazifua zote na asubuhi unazipiga pasi.