Kimsingi Fr Kitima anatumia kiti cha kuwa Katibu Mkuu wa TEC (Baraza la Maaskofu Tanzania) kueneza hisia zake za kisiasa. Mbona watangulizi wake kwenye hicho cheo hawakuwahi kuingia kwenye siasa kiasi hiki??kuna siku huyo binamu yake Lisu aliongoza ibada ya wanaume katoliki hapo kanisa la kristu mfalme tabata, sasa kuna mzee moja wa makamu alikua ameketi pembeni yangu, aliniuliza huyu padre anazungumzia nini mbona kama anafanya siasa madhabahuni?, ananikwaza.
Baada ya muda mfupi yule Mzee alinyanyuka kwenye kiti na kuondoka zake nyumbani kabla ya ibada.🐒
Rukwa ipi mkuu?Write your reply...unakuta kijiji au kata nzima kuna kanisa moja tu la rc lkn wao wanajifanya wengi mbeya kanisa lenye waumini wengi ni morovian.njombe luthelani songwe luthelan rukwa luthelani iringa othodoksi lutherani ruvuma roman catholic hiyo ndio nyanda za juu kusini. Rc msijifanye mpo wengi
"Man is a political being" philosophers say.Kimsingi Fr Kitima anatumia kiti cha kuwa Katibu Mkuu wa TEC (Baraza la Maaskofu Tanzania) kueneza hisia zake za kisiasa. Mbona watangulizi wake kwenye hicho cheo hawakuwahi kuingia kwenye siasa kiasi hiki??
Ingependeza sasa Fr Kitima avue kanzu ya Updre kama alivyofanya Dr Slaa na ajiunge kwenye majukwaa ya siasa rasmi.
Uwo ndo upentekosti...wenyewe wa Yesu Kristu.Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji na mambo mengine ya uhalifu na mamlaka zikiwepo.
Mshikamano huu umeimarisha umoja wa makanisa ya kikristo ambayo kwa muda mrefu yalikuwa hayaonekani kama kushikamana kutokana na utofauti wa itikadi kwenye madhehebu.
View: https://www.instagram.com/reel/DMnsj_OOVtH/?igsh=bTF4aHMzdHJ5bGt2
Alipotoka na huenda wao wamesamehe na kumuombea kwa Mungu.kwahiyo wamesahau gwajima alivyomtukana kardinali pengo?
Mkuu unge andika tu kataa wahuni ungeeelewekaKanisa Katoliki wamefanya vyema Sana. Huu ni uthibitisho wa wazi kabisa kwamba Kanisa Katoliki limekataa kabisa kuungana na Wadhalimu, Waovu na Wauaji. Kanisa Katoliki wamekataa kata kata kuunga mkono Udhalimu, Uhalifu, Utekaji, Ubakaji, Ulawiti wala Mauaji na wamekubali kuungana na Watu wengine wema wenye kukataa udhalimu wa aina hiyo.
Hii ni Wake up call kwa Watawala wa Nchi hii ambao Wanaunga mkono udhalimu na uhalifu, Watambue kwamba Umma wa Wapenda Haki hawako upande wao.
Kanisa Katoliki hapa 'limeongea kwa vitendo, limeongea kwa herufi kubwa' kwamba Watawala wadhalimu hawana kabisa nafasi ya kuweza kuwalazimisha Watu wema katika jamii wakubaliane na matakwa yao hata Kama Watu wema hao watawekewa mitutu ya bunduki vichwani mwao. Watawala wadhalimu na Waovu wamekataliwa 'na mambo yao yote kabisa.'
Uovu haukubaliki mahali popote pale, si duniani wala si mbinguni!
Kobazi katika mwendo wako.Km ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.
Nimeacha kusali Kkkt kwa ajili yake unafiki mwingiMbarikiwe sana TEC. Ngoja tuone kama malasusa wa KKKT atapinga.
Aisee uko na ujinga mwingi sanaanyway,
there is a priest within catholic church, who is a politician and member of Chadema. the priest is characterized by high voltage of hypocrisy, nepotism and trabalism. The priest is very bitter with country leaders who are not christian especially, the president 🐒
Waliyotoa ukumbi ni kanisa sio pengo,una kiwango gani cha elimu?kwahiyo wamesahau gwajima alivyomtukana kardinali pengo?
Kwahiyo pengo sio sehemu ya kanisa la katoliki? ama kuhusu elimu,sikuwahi kusoma hata darasa moja,nilijifunza ukubwani kusoma na kuandikaWaliyotoa ukumbi ni kanisa sio pengo,una kiwango gani cha elimu?
Kwa hiyo unakubali atumie kiti cha TEC kupigania CDM?"Man is a political being" philosophers say.
Let him actualize his fully realization patterning to his very nature.
Swali fikirishi.. ..Kama hawajasemehe na kusahau wataubiri nini juu ya msamaha?
Mpka sisi waumin wa kikatoriki ni makatili, ulisahau kututaja hapo. AhsanteKm ni kweli tuone huyo tapeli aende kubwabwaja na huko. Ht hivyo RC ni wauaji walisababisha mauaji ya halaiki Rwanda, nafikiri ile damu bado inawawasha wanataka damu ya watanzania, wakatoliki hawamjui Mungu wa kweli ni washirikina wa aina yake, hakuna Mungu pale, uliona wapi RC wanamwombea mgonjwa. Km ni ukatili hakuna taasisi katili km RC kuanzia masista, mapadre na maaskofu. Maaskofu wao tena wa makao makuu Vatican wana kashfa ya kuwalawiti vijana wadogo. Mashetani hayi kinachowawasha na kutaka kuleta chochoko ni ubaguzi wa kidini kwa kuwa Rais ni muislam. Serikali isicheke na kima, ashughulikiwe mbwa yyte anayetaka kuhatarisha amani utulivu na umoja wa nchi hii.
Of course, unaweza kuwa kati ya wale wanaolalamika why the sky and ocean look blue, the wind blows, the sun shines, the lion feeds on meat, grass is green, sand is coarse, and rain falls...makasisi wa kikatoliki ni vinara wa kupachika mimba vibinti na kutekeleza watoto mitaani. Ni wavunjanji wakubwa wa ndoa za waamini wao na sasa wamechoka habari ya kuhubiri neno la Mungu wamegeukia siasa za chuki, migawanyiko na ukabila kama huyo Kitima wa chadema 🐒
HEARAKIA ndio umempoteza kabisa. Wengine ni kuwaacha bilakuwajibu.Hivi wanadhani Katibu wa TEC ana mamlaka ndani ya majimbo? Au anafanya chochote bila ya maaskofu kukaa na kuamu.
Ikiwa nje utaliona Kanisa katoliki Kwa macho ya makengeza, lakini utendaji wake ni ki hearakia. Sio shamba la bibi watu wapo serious aisee