HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa ya wanakwaya unayaleta huku mkuu uko serious?
Mbona mengine mnayaleta huku? Watu wanaphilana unataka afiche? acha alete taarifa serikali ivamie hapo nakukamata mashoga wote! Maana ndipo wanapoanzia huko....
 
Mbona mengine mnayaleta huku? Watu wanaphilana unataka afiche? acha alete taarifa serikali ivamie hapo nakukamata mashoga wote! Maana ndipo wanapoanzia huko....
Serikali haiwezi kuingia hapo, ni taasisi yenyewe itashughulikia mambo yake
 
Serikali haiwezi kuingia hapo, ni taasisi yenyewe itashughulikia mambo yake
Una uhakika? Unajua kuna mtu kanisa la hapo sinza alikuwa anamlawiti mtoto na police ilimkamata na sasa yupo jela? Unasemaje serikali haiwezi kuingilia mambo ya kanisa hata kama kuna jinai? Yaani muachwe mphilane tu serikali iwaangalie?
 
Tofautisha ulawiti na huo ushoga ambao mtu anafanya kwa hiari yake, ingekuwa kweli hiyo serikali inashughulikia hayo mambo tungeona hatua zikichukuliwa kwa mashoga, wakianza na wao polisi
 
Jinai lazima iwekwe wazi mpuuzi wewe, Kitima kutwa anaisakama serikali mbona haukemei Zaidi ya kukenua tu na kudemka kwa furaha serikali ikichafuliwa? Mnajifanya wasafi sana wakati mnaphilana huko makanisani!
Kuphilana ni nini? Au huna meno
 
Back
Top Bottom