Hata usipokuwa wazi, utaenda kupinga wapi..?As i said before! Kanisa ni mali yetu waumini. Kwa hiyo ni sisi wenyewe ndiyo tutakao lijenga.
Kuhusu kutoa sadaka kwa kunyanyuka benchi moja baada ya jingine; kwa upande wangu sioni kama kuna shida! Tena Parokiani kwangu huwa wanasema kama huna hiyo sadaka, unaenda pia kule mbele na waumini wenzako kumshukuru Mungu ili wiki ijayo akupatie kipato cha kutoa kama wengine.
Mkuu siku hizi wanataka kuwa kama Waheshimiwa Wabunge, wakati wanajua kabisa kuwa hawana Vote (kasma)Hizi dini biashara tu sikuhz,
Zamani watumishi wa Mungu walikua wanaishi kifukara lkn sikuhizi nao wanataka kwenda na trends za maisha ndo maana michango juu
This is a criminal offence, HUMAN TRAFFICKINGMnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Halafu akitoka hapo anakwenda kukopa fedha ya chakula cha nyumbaniBora nyie sis Hk kwetu tunasadaka inaitwa kujimaliza…… watu tunajimaliza bila kupend
Parokia/Kigango cha wapi mkuu?Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Mkuu misaada haijapungua sana ila hawz wandungu wanatamani hata V8 wakati wale mapadre wakizungu hawakuwa na matumizi ya anasa hivyo.Zamani wazungu walikua wanahudumia kila kitu, sahivi misaada imepungua gap la wazungu inabidi waumini walizibe
Vatican imefilisika ,,,,,katoliki ya ujerumani ndo yenye pesa kwa sasa na ndo hao wanaolazimisha mambo ya ushoga,,,....hawa wa huku wameachiwa majukumu mapema kabla hawajajipanga na wao wanaendekeza tena ubinafsi, kila padri anataka ndinga na kula goodlife kwa migongo ya wauminiMkuu misaada haijapungua sana ila hawz wandungu wanatamani hata V8 wakati wale mapadre wakizungu hawakuwa na matumizi ya anasa hivyo.
Ni fukara kweli brother, 2004 niliwahi kumtembelea kwenye makazi yake pale nanenane Morogoro, ndani kwao hakuna hata sahani, chakula kinaliwa kwenye sufuria ya kupikia glass za maji hamna, vitanda na magodoro yao ni duni mno, hawana nguo ama kanzu ya pili, kanzu yake ine jaa viraka kila sehemu, ikichanika wanashona kwa sindano ya mkono.Unaujua ufukara lakn kiongozi 😃 huyo anaigiza ufukara
Kwa sasa wanaenda kukopa benki baadae mnaambiwa waumini mrejeshe mkopo, kinachoumiza zaidi ni kuona maduka ya biashara yaliyoshamiri mjini yakiendeshwa na wadada wanaosadikika ni wake wa ma-fr.Me catholics wanachonikwaza ni pale tunapochanga kwenye jumuia kujenga buildings for social welfares kama Dispensary, ukumbi or whatever alau ukishakamilika hawa wanajumuia wa chini kabisa huku, waliojinyima kujenga hivyo vitega uchumi, hawapati incentives yeyote kwenye matumizi ya vitu walivyojenga kwa gharama zao. Inaumiza sana maana hatuombi iwe for free lakini unaweza sema kwa mwaka kila mwana jumuia hai apewe angalau discount charges ya hata 15% kila mara anapoenda ku seek huduma ambayo alichangia kwenye uanzishaji wake.
Hii kuna siku nitaiandikia uzi ila naamini JF wataifuta as in hawataki shida na TEC.Kwa sasa wanaenda kukopa benki baadae mnaambiwa waumini mrejeshe mkopo, kinachoumiza zaidi ni kuona maduka ya biashara yaliyoshamiri mjini yakiendeshwa na wadada wanaosadikika ni wake wa ma-fr.
Hicho ndicho kilichopo kwenye parokia yetu kwa sasa,wamechukua mkopo bank, waumini ndo tunaulipa sasaKwa sasa wanaenda kukopa benki baadae mnaambiwa waumini mrejeshe mkopo,
Huko tuendako mfumo wa maisha utawaondoa tu, japo itachukua miaka mingi, nchi zilizoendelea wameishashuhudia hayo imebaki huku afrika kwa wajinga wajinga.Hicho ndicho kilichopo kwenye parokia yetu kwa sasa,wamechukua mkopo bank, waumini ndo tunaulipa sasa
Hizi unaandika nadharia tu na wewe, huna uhalisia, kuna baadhi ya mambo yakiishapitishwa na paroka na baraza la walei..wewe huku kwenye jumuiya ni kutekeleza tu huwezi kupinga.Hakuna hiyo demokrasia kwenye kanisa katoliki..michango mingi kwa ngazi ya chini huwa ni taarifa tu..nyie mnatekeleza..sio kuanza kuhojiUje penda kuzungumzia mambo ya Parokia yako na Paroko wako na viongozi wako uliowachagua.
Kila mtu ana parokia yake na jimbo lake. Hivyo jambo likifanyika kwenye parokia au kigango chako usianze kulihusisha kanisa zima Katoliki.
Kila Jimbo, Parokia au kigango kila utaratibu wake na uongozi wake.
Na unao Uhuru kamili wa kutoa maoni, mapendekezo, ushauri lipi baya halifai au lipi jema liendelee kupitia jumuiya yako, mikutano ya Kigango au Parokia yako ambapo wajumbe wa mikutano hiyo wanatokana na jumuiya.
Ila kama huwa husali jumuiya au kushiriki masuala yote ya kanisa unavizia matukio tuu, ubatizo, kipaimara, komunyo au ndoa na misiba hakika wacha mnyooshwee kisawa sawa.
Kumbe bado unaenda kanisaniMnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Huyu si kama mpoto tu. Anatembea peku lakini anausafiri.Wapo ndugu yangu kuna huyu padre mwitaliano anaye hudumu Morogoro anaishi kifukara kwa uhalisia japo milioni milioni hizi kwake ni kama mia View attachment 3006791
Hayo makanisa ya kiroho hayambani muumini kikubwa ni zaka. Ila katoriki wanakubana hata ktk shughuli nyingine za kijamiicatholic imeshaingia rasmi kwenye mfumo wa haya makanisa ya mfukoni (hawa wanaojiita makanisa ya kiroho) labda kwa sababu waumini wengi wa catholic wamekuwa wakichepukia kwenye hayo makanisa ya mifukoni.
ni kama inashindana nao. yaani wamejisahau kama wale wenzao wapo kibiashara na kimaslahi zaidi.
kuna mambo mengi wanaiga kutoka huko hata haya ya mambo ya michango lukuki ya kila uchao wameyatoa huko na ukikuta kamati tendaji ni oyaoya ndo waumini mtakoma.
Zamani michango mikubwa ilikuwa michache sana na sanasana ni zaka na sadaka tu lakini saivi kuna mchango lukuki tena mingine isiyo na kichwa na wala miguu. Jamaa wanabuni mradi tu hata haueleweki wakijua waumini watachangia tu.
Wanachojua ni kutafuta jina la mradi tu hata km ni simba na yanga na kuweka kisonjo pale mbele wanajua watu watatoa pesa tu.
kanisa lina miradi kibao tena inayojiendesha kibiashara na kupata faida lakini unakuta hela za kutoka kwenye miradi hazirudi kuwa mbegu kwa miradi mipya. badala yake mradi mpya lazima uchangiwe na waumini na ndo shida iko apo.