James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Elewa mada inazungumzwa michango kuwa mingi siyo mchango mmoja wa ujenzi. Kwani katoriki hawapeleki kukuTunaomba usi-generalize tafadhali! Kanisa Katoliki linajielewa! Kwa akina Mwamposa mkiagizwa kuku mweupe mnapeleka bila kuhoji! Wacha hizo mkuu! Sasa unataka nani aje akujengee Parokia yako?
Ukikaa wanakunyanyua au ninike aibu tuu???Hili suala miaka ya karibuni limewachosha waumini wengi, ndo maana imefika hatua hata waumini wengine kutopenda kwenda kanisani wala jumuiya,.
Siku hizi kama mtu huna sadaka huwezi kwenda kanisani, maana wananyanyua bench moja baada ya nyingine.
Uje penda kuzungumzia mambo ya Parokia yako na Paroko wako na viongozi wako uliowachagua.
Kila mtu ana parokia yake na jimbo lake. Hivyo jambo likifanyika kwenye parokia au kigango chako usianze kulihusisha kanisa zima Katoliki.
Kila Jimbo, Parokia au kigango kila utaratibu wake na uongozi wake.
Na unao Uhuru kamili wa kutoa maoni, mapendekezo, ushauri lipi baya halifai au lipi jema liendelee kupitia jumuiya yako, mikutano ya Kigango au Parokia yako ambapo wajumbe wa mikutano hiyo wanatokana na jumuiya.
Ila kama huwa husali jumuiya au kushiriki masuala yote ya kanisa unavizia matukio tuu, ubatizo, kipaimara, komunyo au ndoa na misiba hakika wacha mnyooshwee kisawa sawa.
Bosi hii umeandika na ukaisoma kweli? Huyo anaigiza ufukara ila siyo fukara. Halafu hatutakiwi kuwa fukara. Yesu alifanyika masikini ili tuwe matajiri. Umasikini siyo sifa. Ila huyu siyo fukaraNi fukara kweli brother, 2004 niliwahi kumtembelea kwenye makazi yake pale nanenane Morogoro, ndani kwao hakuna hata sahani, chakula kinaliwa kwenye sufuria ya kupikia glass za maji hamna, vitanda na magodoro yao ni duni mno, hawana nguo ama kanzu ya pili, kanzu yake ine jaa viraka kila sehemu, ikichanika wanashona kwa sindano ya mkono.
Usafiri alio nao ni baiskeli ambayo pia ni duni mno, na hio baiskeli hupanda pale anapo wahi ibada kanisa kuu st Patrick, au kipindi redio ukweli.
Vinginevyo anatembea kwa miguu safari nyingi.
Redio ukweli ilikuwa yake kabla haijamilikiwa na jimbo.
So ni fukara kweli japo ana hudumia miradi yenye thamani kubwa.
MariathonKwa sasa michango ni mingi mno, ukihoji unajiwa juu unaonekana kama unataka kuhama imani.
Kuna mchango wa
1. Zaka
2. Askofu
3. Mchango sala kwenye jumuiya.
4. Shukrani ya mavuno
5.
6.
Bado michango ya ujenzi na mingine mingi.
Kuna michango mingine adi unajiuliza hivi hawashtuki?Ni Kanisa lote. Hili halina Parokia wala Kigango.
Kanisa linatia aibu kwa michango holela.
noma sanaSawa ila huu unyanyasaji.
Kuna huo na mingine mingi mingi. Kero yangu kwenye kanisa katoliki ni kuwabeba wenye uwezo wa kifedha bila kujali ushiriki wao kwenye jumuiya n.kMariathon
Hamia huko wanakotoa sadaka za kujimaliza..!!!Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Mimi nimewachana live. Na huwa sina ushirika nao. Sitaki kuwa mnafiki aisee!Kuna michango mingine adi unajiuliza hivi hawashtuki?
Hahaha bora ivo asee, vitisho vyao ni usipotoa michango hutozikwa na padre.Mimi nimewachana live. Na huwa sina ushirika nao. Sitaki kuwa mnafiki aisee!
Angalia mkuu utatengwa mazima kuwa makiniMimi nimewachana live. Na huwa sina ushirika nao. Sitaki kuwa mnafiki aisee!
Hata wenye vitambi inawahusu,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Bora nyie sis Hk kwetu tunasadaka inaitwa kujimaliza…… watu tunajimaliza bila kupend
Hapana siku hizi zipo mpaka katoliki. kwetu huku bunju wanaiita zaka ya kujipukutisha. Mtu mpaka unaogopa kwenda kusali haya sio mafundisho tuliyopewa, yanaibuka tuHiyo kujimaliza kwa kinamwamposa
Kumbe watu wanajipukutisha na hawasemi watu mna siri😂😂Hapana siku hizi zipo mpaka katoliki.
Parking kwangu huku bunju wanaiita zaka ya kujipukutisha. Mtu mpaka unaogopa kwenda kusali haya sio mafundisho tuliyopewa, yanaibuka tu
Zamani tulikua tunawacheka walokole ila sasa wameyaleta na kwetu huku
Kwani asiponizika padre kubashida gani?Hahaha bora ivo asee, vitisho vyao ni usipotoa michango hutozikwa na padre.
Wanajipukutisha kama nungununguKumbe watu wanajipukutisha na hawasemi watu mna siri😂😂
TrueKuna huo na mingine mingi mingi. Kero yangu kwenye kanisa katoliki ni kuwabeba wenye uwezo wa kifedha bila kujali ushiriki wao kwenye jumuiya n.k