Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

"Mama huyu mnyenyekevu sana na mwenye hofu ya Mungu" hivi eeh.
 
Halafu!!!

Mbona akili ndogo inapoambiwa ukweli kukimbilia udini?

Unadhani watu kukemea uovu wowote wa unaofanywa kimakosa viongozi ni kukemea dini yake?

Raisi wetu yupo hapo kwa sababu ni mtanzania na siyo yupo hapo kwa sababu ya Dini


Mitazamo hii ni ya kijinga sana, kudhani makosa yanayotokea yakikataliwa na watu ni udini?
 
JPM alipatwa na ugonjwa gani mungu wa mbinguni!

Saa100 alisimia yuko amelazwa kaenda Tanga? Jamani
 
Na

Na Vitu vingine tusimisingizie Mungu!! Mtu anapata ajari anapasuka ubongo then tunasema eti Mungu kapenda!! How?
Mungu ndio kaamua afe.
Angeamua aside aside kufa
Tafakari kisa cha Yona ambaye alikaa ndani ya tumbo la samaki bila kufa
 
Ww ni mjinga mkubwa
 
Shida ni uhalali wa mtoa hoja
Mungu alisema usiue ndiye yulyule aliyesema usiibe
Sasa viongozi wa kanisa wana double standard
 
ACHA UJINGA URAIS KAPEWA NA CCM LINI MUNGU ALIMTEUA? ACHENI KUMHUSISHA MUNGU KWENYE Ujinga wenu
 
tushajua mnachuki za kidini. sasa na sisi tumeanza kuwaambia waislamu wenzetu kuwa hili suala sio bandari kupewa mrwabu tatizo ni udini kama mbwai mbwaii. tumewachoka na chokochoko zenu pindipo rais akiwa muislamu
Vyovyote mtakavyofikiri as long as bandari inabaki mali ya Watanganyika you can do.
 
Mpaka inapanda hii ni kwa sababu dhima yao imejulikana
Hakuna haja ya kuficha
Penyewe kanisa linakosea wacha tuliseme

Yaani akili zako za Madirasa ndo leo uwe na uwezo wa kulisemea kanisa kuwa linakosea? Aisee kweli ukiwa Ustaadhi unaamini kila mwarabu ni mtume shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…