Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa.
Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopitq. Je ni kwa sababu Rais Magufuli alikuwa Mktisto..? Je ni sababu Rais Samia ni Muislamu.
Metendo yenu yawe sawa kwa watu wote na tusibague kwa kuwa huyu sio wa kwetu la hasha tutakua tunatenda dhambi.
Mama huyu mnyenyekevu sana na mwenye hofu ya Mungu na heshima kwa Viongozi wa dini na wazee, wakati wote amejiepusha na ubaguzi wa kidini na kutoa upendeleo sawa kwa madhehebu yote ya dini bila kubagua.
Katika Jambo lolote ameshirikisha madhehebu yote na kuwapa uzito sawa.
Ni kweli suala la bandari linahitaji maboresho lakini sio kupinga moja kwa moja. Mathalani ishu ya ukomo wa mkatabaa ni muhimu na maeneo ya uwekezaji yanabaki mambo muhimu.
Tusisahau Rais Samia angeamua kusaini mkataba bila kuweka mkataba public je mngefanya nini. mikataba mingapi imesainiwa kimya kimya. Je kwanini huyu mama asipewe pongezi..?
Huyu Mama ambaye Mungu amempa kibali mwacheni atawale kwa muda wake.
Maumivu ya kanisa kwa Hayati Magufuli lazima tukubali ni mapenzi ya Mungu. Mungu ndio huamua awe hai hatakama wanadamu watahusika.

Ni nafasi yenu kurekebisha, hili Taifa linaaongozwa na Mkono wa Mungu.

AMEN
"Mama huyu mnyenyekevu sana na mwenye hofu ya Mungu" hivi eeh.
 
Halafu!!!

Mbona akili ndogo inapoambiwa ukweli kukimbilia udini?

Unadhani watu kukemea uovu wowote wa unaofanywa kimakosa viongozi ni kukemea dini yake?

Raisi wetu yupo hapo kwa sababu ni mtanzania na siyo yupo hapo kwa sababu ya Dini

Mitazamo hii ni ya kijinga sana, kudhani makosa yanayotokea yakikataliwa na watu ni udini?
 
JPM alipatwa na ugonjwa gani mungu wa mbinguni!

Saa100 alisimia yuko amelazwa kaenda Tanga? Jamani
 
Na

Na Vitu vingine tusimisingizie Mungu!! Mtu anapata ajari anapasuka ubongo then tunasema eti Mungu kapenda!! How?
Mungu ndio kaamua afe.
Angeamua aside aside kufa
Tafakari kisa cha Yona ambaye alikaa ndani ya tumbo la samaki bila kufa
 
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa.
Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopitq. Je ni kwa sababu Rais Magufuli alikuwa Mktisto..? Je ni sababu Rais Samia ni Muislamu.
Metendo yenu yawe sawa kwa watu wote na tusibague kwa kuwa huyu sio wa kwetu la hasha tutakua tunatenda dhambi.
Mama huyu mnyenyekevu sana na mwenye hofu ya Mungu na heshima kwa Viongozi wa dini na wazee, wakati wote amejiepusha na ubaguzi wa kidini na kutoa upendeleo sawa kwa madhehebu yote ya dini bila kubagua.
Katika Jambo lolote ameshirikisha madhehebu yote na kuwapa uzito sawa.
Ni kweli suala la bandari linahitaji maboresho lakini sio kupinga moja kwa moja. Mathalani ishu ya ukomo wa mkatabaa ni muhimu na maeneo ya uwekezaji yanabaki mambo muhimu.
Tusisahau Rais Samia angeamua kusaini mkataba bila kuweka mkataba public je mngefanya nini. mikataba mingapi imesainiwa kimya kimya. Je kwanini huyu mama asipewe pongezi..?
Huyu Mama ambaye Mungu amempa kibali mwacheni atawale kwa muda wake.
Maumivu ya kanisa kwa Hayati Magufuli lazima tukubali ni mapenzi ya Mungu. Mungu ndio huamua awe hai hatakama wanadamu watahusika.

Ni nafasi yenu kurekebisha, hili Taifa linaaongozwa na Mkono wa Mungu.

AMEN
Ww ni mjinga mkubwa
 
Halafu!!!

Mbona akili ndogo inapoambiwa ukweli kukimbilia udini?

Unadhani watu kukemea uovu wowote wa unaofanywa kimakosa viongozi ni kukemea dini yake?

Raisi wetu yupo hapo kwa sababu ni mtanzania na siyo yupo hapo kwa sababu ya Dini

Mitazamo hii ni ya kijinga sana, kudhani makosa yanayotokea yakikataliwa na watu ni udini?
Shida ni uhalali wa mtoa hoja
Mungu alisema usiue ndiye yulyule aliyesema usiibe
Sasa viongozi wa kanisa wana double standard
 
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa.
Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopitq. Je ni kwa sababu Rais Magufuli alikuwa Mktisto..? Je ni sababu Rais Samia ni Muislamu.
Metendo yenu yawe sawa kwa watu wote na tusibague kwa kuwa huyu sio wa kwetu la hasha tutakua tunatenda dhambi.
Mama huyu mnyenyekevu sana na mwenye hofu ya Mungu na heshima kwa Viongozi wa dini na wazee, wakati wote amejiepusha na ubaguzi wa kidini na kutoa upendeleo sawa kwa madhehebu yote ya dini bila kubagua.
Katika Jambo lolote ameshirikisha madhehebu yote na kuwapa uzito sawa.
Ni kweli suala la bandari linahitaji maboresho lakini sio kupinga moja kwa moja. Mathalani ishu ya ukomo wa mkatabaa ni muhimu na maeneo ya uwekezaji yanabaki mambo muhimu.
Tusisahau Rais Samia angeamua kusaini mkataba bila kuweka mkataba public je mngefanya nini. mikataba mingapi imesainiwa kimya kimya. Je kwanini huyu mama asipewe pongezi..?
Huyu Mama ambaye Mungu amempa kibali mwacheni atawale kwa muda wake.
Maumivu ya kanisa kwa Hayati Magufuli lazima tukubali ni mapenzi ya Mungu. Mungu ndio huamua awe hai hatakama wanadamu watahusika.

Ni nafasi yenu kurekebisha, hili Taifa linaaongozwa na Mkono wa Mungu.

AMEN
ACHA UJINGA URAIS KAPEWA NA CCM LINI MUNGU ALIMTEUA? ACHENI KUMHUSISHA MUNGU KWENYE Ujinga wenu
 
tushajua mnachuki za kidini. sasa na sisi tumeanza kuwaambia waislamu wenzetu kuwa hili suala sio bandari kupewa mrwabu tatizo ni udini kama mbwai mbwaii. tumewachoka na chokochoko zenu pindipo rais akiwa muislamu
Vyovyote mtakavyofikiri as long as bandari inabaki mali ya Watanganyika you can do.
 
Mpaka inapanda hii ni kwa sababu dhima yao imejulikana
Hakuna haja ya kuficha
Penyewe kanisa linakosea wacha tuliseme

Yaani akili zako za Madirasa ndo leo uwe na uwezo wa kulisemea kanisa kuwa linakosea? Aisee kweli ukiwa Ustaadhi unaamini kila mwarabu ni mtume shame on you
 
Back
Top Bottom