Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Ulisha sema kweli ya kusilimu , hasira inakujaa na unarudi kulipa kisasi
Aya mengine sio point ya msingi

Simple ni kwamba ukisilimu unakuwa possessed by the devil
 
Am proud Catholic na ninajivunia Imani yangu na viongozi wangu Dini.Una jengine?
 
Ulisha sema kweli ya kusilimu , hasira inakujaa na unarudi kulipa kisasi
Aya mengine sio point ya msingi

Simple ni kwamba ukisilimu unakuwa possessed by the devil

Ni kweli kwani shetani ameweza kumvunja mguu, mungu
 
Pia ulinzi wa haya makanisa hauleweki unakuta kanisa Lina thamani kubwa alafu linalindwa na vizee vyenye umri mrefu ingetakiwa yatumiwe makampuni ya ulinzi
 
Kwa mtazamo wangu haya Ni matokeo ya uchu wa madaraka na kutengeneza makundi ndani ya kanisa,sidhani Kama Imani ya pili imehusika hapa!
Miaka ya mwanzoni mwa 90,nikiwa mdogo nilishawahi shuhudia ngumi kanisani flani la Anglican kisa hawamtaki askofu mpya kwa kigezo Cha ukabila
 
Mbona umeanza kubabaika?
Am Proud Catholic na niko very proud na Mapadre na Viongozi wangu wa Imani.Huwezi kunidrag kwenye upuuzi wa kukashf imani za wengine,sikulelewa hivyo na misingi ya Iman yangu inanikataza.

Haya endelea na hao wengine mbagazane mpaka mshindi apatikane apewe trophy[emoji4]
 
Baada ya kupeana rikizo sasa mmeamua kukomoana wenyewe
 
Tatizo huwa wanakurupuka kwa sababu wanazozijua wao
Ni mkumbo au chuki tu
 
Migambo inaruka na kukanyagana yenyewe
 
Kuna sehemu nimesoma humu humu leo. Watu wasiojilikana wameiba sadaka huko kanisa katoliki Machame!!??
Huku tena kanisa limevamiwa. Tena kipindi hiki cha kwaresma!!??
Nafikiri kuna hali isiyo ya kawaida
Bora walioiba sadaka unaweza kusema ni njaa. Lakini hawa waliovunja vitu nadhani wana ugonvi na Mungu direct.
 
Maisha yanazidi kuwa magumu
Sadaka ziwafikie masikini kwa sana la sivyo hayataisha haya mambo
Pia waangalie kama kuna uadilifu baina yao
Kuna mengi ya kuangalia ila ukweli huwa unafichwa sana
 
Kamanda ETUGRUL BEY umeandika haqi kabisa....

Katika suratul baqara mwenyezi mungu asema laa ikra fii din yaani hakuna kulazimishana katika dini wala huwezi kumlazimisha mtu kuingia katika uislma au kumfosi muislam kufanya jambo flani la dini...

Hata enzi za mtume kama ulivyosema ilikuwa ni haram kumpiga na hadi sasa ni haram kumpiga mtu vita haliyakuwa yupo katika jumba lake la ibada

Watu wasiwe negative sana hata sie waislam misktini huwa twaibiwa mbona sema sisi majambo yetu maranyingi yaishia huko huko miskitini ni nadra kusikia lakini kwaibiwa haswa!

Tusiwe negative jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…