Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kuna watu humu ni wepesi Sana WA kujaji mambo,Yani kitu cha Kwanza ni lawama Kwa waislamu, je Una uhakika gani kwamba sio tukio la kiuhalifu?

Pili kama waislamu ndio wamefanya hivyo basi waadhibiwe Kwa mujibu wa sheria kwasababu Uislamu unachukia Sana mambo kama hayo.

Enzi za Mtume wasio waislamu waliachwa kuabudu katika nyumba za ibada Bila matatizo yoyote, kwani Uislamu uko wazi hakuna kulazimisha mtu kuingia katika Dini.

Na hata enzi za Mtume vile vile pale waislamu waliookuwa wanateswa na washirikina WA makka, Mtume aliwaambia nendeni Ethiopia kuna Mfalme ambaye ni mkristo lakini anapenda haki na wala hawadhulumu watu,kwahiyo hii inaonyesha ni kiasi
gani Uislamu upo Kati Kwa Kati na hauna fikra potofu na siku zote unasimamia katika haki.
 
Kwa nini ni makanisa tu? Haijawahi kutokea kuna wahalifu wameingia katika yale masinagogi au yale mahekalu na kufanya uharibifu. Washenzi hao wakidekezwa na kufichwafichwa kisiasa wataendeleza ushetani wao kwa kuingia kwenye makanisa mengine
Povu linakutoka kweli yani emu kunywa maji kidogo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tumia akili kidogo uliyobarikiwa kabla ya kukomenti, adui wa mtu ni mtu mwenyewe.

Acha vyombo husika viliishughulikie kwanza
Unachofanya ni kuchochea tatizo tu.
Narudia tena kuandika, hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kwenda kwenye kanisa la wengine kufanya uharibifu na haiwezekani mshirika wa mahali anaposali anayeweza kuchukua hatua za kuharibu vitu vya kanisani anakosali labda awe na akili mbovu.

Hata wavuta bangi na walevi wanapaogopa sana kanisani. Kwa asili kanisa ni nyumba ya kuabudia Mungu hakuna aliyeweza kufanya uhuni ndani yake, na kama walifanikiwa kufanya uhuni cha moto walikipata bila mikonn ya wanadamu.

Kibaka au jambazi gani lisilo na hofu za kuingia kwenye nyumba za ibada za wengine kufanya ukora? Washirikina tu wenyewe wanapaogopa kama moto. Hawa watakuwa ni wahuni
 
narudia tena kuandika, hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kwenda kwenye kanisa la wengine kufanya uharibifu na haiwezekani mshirika wa mahali anaposali anayeweza kuchukua hatua za kuharibu vitu vya kanisani anakosali labda awe na akili mbovu. Hata wavuta bangi na walevi wanapaogopa sana kanisani. Kwa asili kanisa ni nyumba ya kuabudia Mungu hakuna aliyeweza kufanya uhuni ndani yake, na kama walifanikiwa kufanya uhuni cha moto walikipata bila mikonn ya wanadamu. Kibaka au jambazi gani lisilo na hofu za kuingia kwenye nyumba za ibada za wengine kufanya ukora? Washirikina tu wenyewe wanapaogopa kama moto. Hawa watakuwa ni wahuni wale wanaona wana mungu wao wa machafuko

Roho Mtakatifu alilala?
 
Back
Top Bottom