Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Inawezekana , labda ni wakristo wamesilimu baada ya kupata elimu ya kuwaonyesha ukweli ,walikasirishwa kwa kutapeliwa muda mrefu wakaona njia ya kulipiza ni kulifanyia uhuni kanisa

Jaribu kuwa na akili basi,
 
Tulionya kuwaachia huru wale jamaa,tusubiri mengi zaidi ya haya.
 
Mbona hawa wapo wengi tu pande zote? Anyway sinaga muda wa kuhangaika na madhaifu ya binadamu mwingine wakati na mimi nina yangu.

Kumbe unajuwa halafu unataka ushahidi wa kazi gani? Lakini katika Uislamu Hakuna ma Padri na wachungaji wala hatuongozwi na Roho Mtakatifu

Wengine hawa

Kizazi hiki hakina hofu ya Mungu tena,miaka yetu hata kupita Kanisani karibu tu unaogopa Kwa sababu ya ile heshima tu iliyokuwepo,hata kama Kanisa litakuwa wazi huwezi kuingia........ila kizazi hiki cha sasa hakina uoga wowote
 
Yesu kamvunja MGUU pia duuuh huyu mtu huyu
 
Wametupa kazi kweli imebidi tuanze kumchonga bikra Maria mwingine siku ya ibada isije kufika mama wa mungu hayupo
 
Alikuwa anajarbu kutafta mtoto , too risk jombaa
 
Sema hiyo picha sanamu limeangushwa chini na kuvunjwa imenifikirisha sana.
 
Kwa ili na pendekeza Samia ajengewe sanamu
 
Inawezekana , labda ni wakristo wamesilimu baada ya kupata elimu ya kuwaonyesha ukweli ,walikasirishwa kwa kutapeliwa muda mrefu wakaona njia ya kulipiza ni kulifanyia uhuni kanisa
Nilipo-bold!

Hiyo line umeiandika ukiwa timamu au?kwamba baada ya kuujua ukweli huo ukweli ukawaambia rudini mkalipize kisasi/mkafanye uhuni kwa wale waliowaibia!

KwaninI huo ukweli haukuwaambia wasamehe ili wazidi kuneemeka?
 
Amevamia kanisa kwa lengo gani nyuma ya pazia ,na katumwa na Nani?
 
Nilipo-bold!

Hiyo line umeiandika ukiwa timamu au?kwamba baada ya kuujua ukweli huo ukweli ukawaambia rudini mkalipize kisasi/mkafanye uhuni kwa wale waliowaibia!

KwaninI huo ukweli haukuwaambia wasamehe ili wazidi kuneemeka?
Mbona umeniongezea maneno ? Visasi wala waliowaibia ,sikusema usinipakazie
 
Nilipo-bold!

Hiyo line umeiandika ukiwa timamu au?kwamba baada ya kuujua ukweli huo ukweli ukawaambia rudini mkalipize kisasi/mkafanye uhuni kwa wale waliowaibia!

KwaninI huo ukweli haukuwaambia wasamehe ili wazidi kuneemeka?

Watu wanaficha unga kwenye sanamu la yesu na Maria

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…