Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Hii laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama usivyokosekana wewe 😜😜😜😜😜😜duh! We na yule jamaa yako nilijua tu hamtakosekana kwenye uzi huu
Kibaka na mwizi huwa wanaenda kuiba , humo ndani wamevunja tuu bila kuchukua chochote , means huyo mtu alikuwa na lengo lake tuu, ni kweli hakuna mkristo wala mpagani anayeweza fanya hv ,Narudia tena kuandika hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kuingia kwenye kanisa la wengine na kufanya uharibifu. Kama kuna tofauti imetokea miongoni mwa viongozi kwa viongozi, viongozi kwa waumini au waumini kwa waumini hakuna mshirika atakayefikia uamuzi wa kwenda kuingia kanisani kufanya uharibifu huo. Hata kama ni vibaka, ni kibaka gani huyo asiye na hofu na Mungu? Huyo kibaka au mwizi na jambazi amekulia wapi kiasi cha kukosa hata mafundisho ya watoto ya shule ya jumapili? Kwanza kanisa ni mahali patakatifu na ni nyumba ya kumuabudu Mungu. Hata wavuta bangi na walevi wanaheshimu nyumba za kuabudia
Kibaka na mwizi huwa wanaenda kuiba , humo ndani wamevunja tuu bila kuchukua chochote , means huyo mtu alikuwa na lengo lake tuu, ni kweli hakuna mkristo wala mpagani anayeweza fanya hv ,
Tuliombee TaifaHuu upuuzi umeanza tena?
Unapretend kutoa maneno ya busara na wakati huo huo kwa comment nyingine unadhihaki "roho mtakatifu alilala"?.Si undelee tu ma dhihaka zako kuliko kuwa vugu vuguNi kweli tendo hilo ni baya kufanyika mahali popote , na si vizuri kuanza kumshutumu mtu au watu wa dini nyengine , kwani yako matokeo mengi ya kihalifu ambayo hufanywa ndani ya makanisa yakiwahusisha waumini na viongozi wa kanisa .
Kama kuharibiwa watoto au hili tokeo la kijangili huko Katavi, walificha meno ya tembo kanisani
Jeshi la Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na Askari wa Tanapa wa Hifadhi ya wanyama ya Katavi wame wamemkamata mchungaji wa Kanisa la Moroviani Kata ya Usevya Tarafa ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele akiwa na mtu mmoja ambao wajina yao yamehifadhiwa wakiwa na meno ya tembo 11 yenye thamani ya shilingi milioni 90 wakiwa wameyahifadhi ndani ya Kanisa.
Hao ni chakula ya ma fadher huko parokiani.hata masista nao si kama tunavyodhani. Kuna sista moja hakuwa na huruma kwa watoto wa wanawake wenzake, huenda ikawa ni kwa sababu hawajui uchungu wa kuzaa. Huyu sista alikuwa mmoja wa masista waliokuwa wanafundisha masomo yao katika shule moja kongwe ya serikali iliyowahi kutoa tanzania one ya 7 miaka ya nyuma. Huyu sista alikuwa anatoa adhabu ya kulima nyasi kwa vidole, na kutokuingia darasani siku nzima unakosa masomo kama hutarudi jioni kumwagilia maua kwenye eneo la kitengo chake alichokuwa anakisimamia shuleni.
hili nalo linawezekana asilimia mia moja. Wale watumishi hawana maadili kama wanavyotuaminisha tuamini ni watumishi wa Mungu. Kuna paroko mmoja ilibidi nimvae mzimamzima baada ya kuanza kunikemea kiholela nilipoazimwa ngazi na mlinzi wa kanisa, wakati ngazi ilikuwa inatumika kwa wapangaji wao wa fremu. Ile nairudisha nikakutana na huyo paroko akaanza kunipakia maneno makali bila kujali kwa wadhifa wake hapaswi kutamka maneno yale kwa mshirika wake au kwa yeyote yule. Mimi si mkatoliki lakini nilizaliwa kwenye ukatoliki, hivyo naujua ukatoliki vizuri. Ilibidi nimpe somo huyo paroko bila kujali heshima yake. Mpaka sasa huyo paroko ana nidhamu kubwa na mimi na amekuwa rafiki yangu.
Unaonaekana una matatizo binafsi na ulitegemea msaada mkubwa kutoka Kanisani na huku upata kama ulivyotegemea.Hizi hasira ulizanazo tangu unaanza kuchangia hii mada juu ya Kanisa Katoliki si za kawaida.Hao ni chakula ya ma fadher huko parokiani.
Wanadinyana mpaka inafikia mahala mafadher wanawachoka wanaamua kusaka hitaji kwa waumini.
Ikiwa padre anapata uthubutu kumtongoza mke au binti wa mtu anashindwaje kumsogelea sista ambaye ndani parokiani usiku na mchana huku wakigida vileo??!
Naamini masista ndo wanaongoza kwa abortion duniani ndo maana wanakuwa wakali kwa watoto wa wenzao make wakwao wanawadump chooni.
Tabenacle yote chini!! Jamani hawa mbona wanatafuta balaa! Sidhani kama ni vibakaKanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba
Dhihaka unaziona kwangu Mimi tu ? Kwa Hao wagalatia wenzako huzioni?Unapretend kutoa maneno ya busara na wakati huo huo kwa comment nyingine unadhihaki "roho mtakatifu alilala"?.Si undelee tu ma dhihaka zako kuliko kuwa vugu vugu
Usiwe mjinga wewe. Wapi nimeandika kwamba nalichukia kanisa katoliki?Unaonaekana una matatizo binafsi na ulitegemea msaada mkubwa kutoka Kanisani na huku upata kama ulivyotegemea.Hizi hasira ulizanazo tangu unaanza kuchangia hii mada juu ya Kanisa Katoliki si za kawaida.Lakini ndiyo hivyo,Kanisa litaendelea kusimama imara na hakuna kitu utafanya kulitikisa.Sana sana utaishia kutoa makasiriko yako tu hapa.
Bora wao wameua kuwa moto au baridi.Nakuambia wewe unaejifanya vugu vugu.Dhihaka unaziona kwangu Mimi tu ? Kwa Hao wagalatia wenzako huzioni?
Enndelea kutoa makasiriko yako yote,lakini hutolitikisa Kanisa Katoliki.Kwani kuugua Ukimwi ni dhambi? Au hujui hata HIV inaambukizwaje,akili yako imejifungia kwenye mawazo ya ukimwi unaambukizwa kwa njia ya ngono tu.Hawa vijana wenye 25-30 waliozaliwa nao ukiwakuta wanaumwa bado utawasimanga.Akili mgando kabisa hizi.Usiwe mjinga wewe. Wapi nimeandika kwamba nalichukia kanisa katoliki?
Kwahiyo tunapoona maovu yanatendeka lazima tuyakemee na unafikiri tutayasemea wapi?
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna poroko wetu aliumwa ngoma mpaka akafa, kanisa lilimficha parokiani nyakati zake za mwishomwisho virus wanamtafuna na hii yote ni sababu ya kudandia waumini akaukwaa ugonjwa.
Hahaha wavaa kobazi wangefunga mitaaWakatoliki wapole Sanaa, ingekuwa nyumba ya ibada ya wale wengine mitaa ingefungwaa kwa maandamano
Asie sikia la mkuu huvunjika guu. Hizo ni Rasha Rasha ila mvua itakuwa ya mawe. Ombea Taifa maana huwitaji kurunzi kujuwa kwanini hayo yametokea. Ila wanasiri walionya na wale wenye high intelligence survey walionya pia ila walifunga macho. Waliosoma hiyo paper 📜 wanahesabu tu maonyo walio kutana nayo na sasa wamejifungia vyumbani wanasali Bwana huturehem Bwana huturehem hawatoki wala hawafungui mdomo.Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Hebu funguka zaidi Mkuu,hii post yako inanitia hofu zaidi.Asie sikia la mkuu huvunjika guu. Hizo ni Rasha Rasha ila mvua itakuwa ya mawe. Ombea Taifa maana huwitaji kurunzi kujuwa kwanini hayo yametokea. Ila wanasiri walionya na wale wenye high intelligence survey walionya pia.
Watu wana laanaKanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2530606View attachment 2530607View attachment 2530608View attachment 2530609View attachment 2530610View attachment 2530611View attachment 2530612
=====
Askofu Flavian Kassala
Wapendwa, nawatangazia kuwa jimbo katoliki Geita tumepatwa mkasa mkubwa ambapo mtu mmoja amevamia kanisa kuu na kuvunja mlango mkuu na kisha kuanza kuharibu vitu vitakatifu, vikiwemo Tabernakulo na Ekaristi. Ni kufuru ya matakatifu.
Kavunja misalaba na mavazi ya misa. Nawaombeni mtumie vyombo vyenu vya habari ktk redio na television muupashe habari umma kuwa kitendo cha kudhalilisha imani yetu kimefanyika na tunakikemea na kukilaumu kwani kukaa kimya ni kama kuonesha hatuthamini imani yetu. Kwa wenye redio au tv, atakayehitaji "Audio" ya baba askofu, nitamtumia ili airushe na tuunganishe nguvu ya vyombo vya habari vya kanisa kukemea udhalimu dhidi ya imani katoliki.
Matukio ya uharibifu wa kanisa kuu la kiaskofu jimbo la Geita usiku wa kuamkia Jumapili trh 26 February 2023. Tukio limeripotiwa saa nane usiku. Uharibifu na kufuru zilizotokea ni kubwa sana. Mhusika amekamatwa. Mungu azidi kutulinda.
View attachment 2530803