Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Jimbo kuu Geita.Huyo padri yupo mkoa gani na parokia ipi?
Baada ya maovu yake kuzidi alihamishwa toka parokia ya Mwangika anaitwa Chagula.
Mlevi, mzinzi na nyang'nyi la ardhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimbo kuu Geita.Huyo padri yupo mkoa gani na parokia ipi?
Matusi ya nini?Najitahidi kufikiria kutokana na alichosema mchangia mada.Kwamba watu wakisilimishwa lazima wakakomoe huko walikokuaUna maswali yakijinga sana,unaweza kukuta eti na wewe una familia na wanakutegemea uwaongoze! Hasara kubwa sana.
Jikaze tu ingekua la maana huyo alievunjwa mguu hapo angejitetea kabla ili asidhalilike kiasi cha kugalagala wakati kashakua ni yesuJifunze kuvumilia dhana na maoni ya wenzio.Tofauti na hapo tusi linadhihirisha kitu ndani yenu ambacho ni asili yenu na wewe unakipinga kwa maneno matamu.
Umefurahi eeeeeeeh!Jikaze tu ingekua la maana huyo alievunjwa mguu hapo angejitetea kabla ili asidhalilike kiasi cha kugalagala wakati kashakua ni yesu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Matusi yako wapi? Kwahiyo wewe ukiambiwa jambo basi unalibeba tu kama lilivyo bila kushirikisha kichwa chako?Matusi ya nini?Najitahidi kufikiria kutokana na alichosema mchangia mada.Kwamba watu wakisilimishwa lazima wakakomoe huko walikokua
Mkuu mapadre wengi hawana maadili. Kuna mmoja alikuwa parokia ya Mhonda alipoka mke wa mtu na akazaa nae watoto mapacha.hili nalo linawezekana asilimia mia moja. Wale watumishi hawana maadili kama wanavyotuaminisha tuamini ni watumishi wa Mungu. Kuna paroko mmoja ilibidi nimvae mzimamzima baada ya kuanza kunikemea kiholela nilipoazimwa ngazi na mlinzi wa kanisa, wakati ngazi ilikuwa inatumika kwa wapangaji wao wa fremu. Ile nairudisha nikakutana na huyo paroko akaanza kunipakia maneno makali bila kujali kwa wadhifa wake hapaswi kutamka maneno yale kwa mshirika wake au kwa yeyote yule. Mimi si mkatoliki lakini nilizaliwa kwenye ukatoliki, hivyo naujua ukatoliki vizuri. Ilibidi nimpe somo huyo paroko bila kujali heshima yake. Mpaka sasa huyo paroko ana nidhamu kubwa na mimi na amekuwa rafiki yangu.
Tukioanisha hasira/jazba na dini yenu mnakasirikaHasira Za kutapeliwa hizo bado wanakuwa na vumba la kanisa , inachukuwa muda kulitowa
Huko kungekuwa hakuna hasira mapadri wangeuawa kanisani?Tukioanisha hasira/jazba na dini yenu mnakasirika
Tukioanisha hasira/jazba na dini yenu mnakasirika
hata masista nao si kama tunavyodhani. Kuna sista moja hakuwa na huruma kwa watoto wa wanawake wenzake, huenda ikawa ni kwa sababu hawajui uchungu wa kuzaa. Huyu sista alikuwa mmoja wa masista waliokuwa wanafundisha masomo yao katika shule moja kongwe ya serikali iliyowahi kutoa tanzania one ya 7 miaka ya nyuma.Mkuu mapadre wengi hawana maadili. Kuna mmoja alikuwa parokia ya Mhonda alipoka mke wa mtu na akazaa nae watoto mapacha.
Kanisa likapotezea kwa kumhamisha, jamaa akahama na yule mke wa mtu na wale watoto mpaka hii leo watakuwa chuo au wameajiriwa mahala.
Hawo vibaka hawajuwi kama mle ndani hamna mali zaidi ya Bibilia na Sacraments.
🤣🤣🤣🤣wamevunja na mguu wa yesu.
nilijua tu hutakosekana kwenye uzi huuPovu linakutoka kweli yani emu kunywa maji kidogo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
duh! We na yule jamaa yako nilijua tu hamtakosekana kwenye uzi huuRoho Mtakatifu alilala?