Kanisa la Waadventist Wasabato limchukulie hatua za kidhamu mshiriki wao Mafwele

wasabato siku zote wanafiki sana, huwa wanajifanya washika amri ila ni watu wa ajabu sana.
 
Mkuu; Zingatia na uelewe kwamba Kila mtu ni Nabii kwa namna moja au nyingine na katika nyakati tofauti.
Jitahidi sana kutokuhukumu watu kwa kile unachoona au kusikia wanatenda au wametenda. Katika yote wayatendayo au waliyotenda lazima lipo jambo moja au zaidi lililo jema unaloweza kujifunza kutoka kwao - hata hao uliowataja hapo juu, sio 100% walikuwa ni waovu tokea kuzaliwa kwao au kwamba kila wafanyalo ni jambo ovu. Halafu tena usiwapangie nini wafanye ila ww wape tu ushauri na uwaache wafanye kile wanachodhani kwa mtizamo wao kuwa ndicho cha kufanya.
 
Hahaha
 
wasabato siku zote wanafiki sana, huwa wanajifanya washika amri ila ni watu wa ajabu sana.
Sanaa......unakumbuka jamaa anaitwa Ogutu alikuwa Dc wa Dodoma, Sabaya, Musiba.....wote hawa ni wasabato.

Sijui wanamwabudu Mungu yupi.
 
Sanaa......unakumbuka jamaa anaitwa Ogutu alikuwa Dc wa Dodoma, Sabaya, Musiba.....wote hawa ni wasabato.

Sijui wanamwabudu Mungu yupi.
bi elen white aliwadanganya akawatengenezea cult ya kishetani wakiamini wanaweza kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria, wameishia kutamka mdomoni ila hawawezi kushinda dhambi bila kuokoka. ni wafuasi wa Musa badala ya Yesu Kristo. ellen white mwenyewe alitoa unabii mwingi tu wa uongo, alikuwa nabii mwongo kuliko wote nadhani. miaka ile alishatabirigi dunia kuisha, ila mpaka leo ipo, na bado watu wanaendelea kumfuata.
 
Kwani ana Sali kanisa lipi la Sda hapo Daslma
 
Sawa endelea kuokotwa ukitosheka utapumzika, Watu wamepigwa tangu enzi za Dr Livingston na hakuna cha maana kanisa limefanya hushtuki?
Sio kweli bro. Kwa mfano mabo ya Elimu na Afya yaliyoanzishwa na makanisa ni watu walipigwa? hadi hapo hakuna na huoni cha maana kanisa limefanya?
Je, makanisa (hata Serikali) wanaposema usiue, usizini, usiibe n.k. ni kwamba tunaokotwa??
Mm nashtuka kwamba bado mpaka sasa wapo baadhi ya watu hawaoni kuna kitu cha maana kanisa limefanya.
 
Unaweza ukatuambia siasa maana yake ni nini? Kama mna ushahidi dhidi ya vitendo vya Mafwele kwanini msiwasilishe ili afikishwe mahakamani?
Punguza unyumbu wa kufuatisha kila kinacho zungumzwa bila kufanya upembuzi yakinifu.
 
na mapolisi wasabato ni wengi mno, usabato si upo mwingi kwa wakurya na wajaluo huko na wajita. wengi mno. na tabia zao sasa.
 
Hata kama huyu mtajwa angeua live na ikajulikana wazi na kila mtu bado kanisa lisinge mtumpa mdhambi maana hata Yesu hakuwatupa wadhambi.
Kanisani ndio sehemu pekee ya kukimbilia kwa mtu yeyote ambaye dhambi imemchosha na hivyo kanisa linawapokea kwa mikono miwili huku likiwaonyesha upendo wa Yesu.
Ni ajabu kuona makanisa ya Leo mdhambi anatengwa na kunyanyapaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…