Kanisa la Waadventist Wasabato limchukulie hatua za kidhamu mshiriki wao Mafwele

Kanisa la Waadventist Wasabato limchukulie hatua za kidhamu mshiriki wao Mafwele

Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato.

Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu dhidi yako, basi naomba kanisa limhoji ndugu Mafwele na ashike Biblia mbele ya baraza la kanisa aape kama kweli hahusiki na tuhuma zinazotajwa dhidi yake.

Ikiwa anahusika basi kanisa limwondoe katika kitabu cha ushirika kama mwongozo unavyosema na kumpa muda wa kujirekebisha na akijirekebisha abatizwe tena na kuwa kiumbe kipya.

Aidha waumini wake wengine ndugu Lengai Ole Sabaya, Boniphace Jacob, Cyprian Musiba, Mzee Wassira, Dr. Ryoba na wengine wachukuliwe hatua kwa usawa kama alivyo chukuliwa hatua Lady Jaydee kipindi alivyo amua kujihusisha na muziki wa kidunia.

Kanisa la Waadventista Wasabato limepiga marufuku waumini wake kujihusisha na mambo ya siasa, watajwa hapo juu na wengine ambao sijawataja wamehusika mojakwamoja katika siasa.
Acha ujinga,kanisa na siasa wapi na wapi,au unafikiria makanisa yote yajiingiza kwenye siasa kama Mengine?
 
Ahahah. Ila dunia ni ngumu sana Mkuu kuna muda unalilia kaz unamwomna Mungu lakini anakupa kazi ambayo Boss anaenda kukutumia kumuasi Mungu.
Mkuu, Huyo "Mungu" wa kwanza uliyekuwa unamwomba na akakupa kazi ambayo Boss tena akaenda kukutumia kumwasi Mungu; inawezekana hakuwa Mungu kweli ila ni Yule mwovu na mawakala wake; au alikuwa ndiye Mungu kweli lakini akaruhusu ujaribiwe Imani yako. Simama katika imani yako kwani hizi kazi bhana sio; leo upo kazini kesho unafukuzwa, unastaafu kwa lazima au unapata ugonjwa usiotibika au una RIP kabisa. (Employment is not a guarantee for sustainable good life)
 
Acha ujinga,kanisa na siasa wapi na wapi,au unafikiria makanisa yote yajiingiza kwenye siasa kama Mengine?
Lakini mkuu; mbona ni watu hao hao walio makanisani ndo hao hao ni wanasiasa?. Ni vigumu kweka clear-cut Imani ya kikanisa(Dini) na Imani ya Kisiasa kwani vyote ni IMANI.
 
Kwa ushahidi upi walionao kama kanisa hadi wamchukulie hatua?

Lady jaydee alionekana hadharani akiimba miziki ya kidunia ushahidi wa wazi
Na Vanessa Mdee,
SDA wawache wanamuziki, muziki ni burudani
 
umempoteza akitokea wapi sasa wakati alishapotea na yupo upotevuni? huwa unavua samaki kwa kuingia katikati ya maji? au unakaa kwenye mtumwi au njen ndio urushe ndowana kuishawishi samaki ije uivue?
Kinachozungumziwa hapo ni umeweka "No connection/Disconnect" i.e. umejizimia mawasilianonaye badala ya kuona kwamba hali iliyopo hiyo ni "Loose connection" na inaweza kurekebishwa. Utatumia mbinu gani hapo ni Intuition yako.
 
Mungu mwenyewe anaitwa Mungu wa majeshi, soma bible ujue watu walivyokuwa wanashughulishwa na makamanda wa israel
 
Mkuu, Huyo "Mungu" wa kwanza uliyekuwa unamwomba na akakupa kazi ambayo Boss tena akaenda kukutumia kumwasi Mungu; inawezekana hakuwa Mungu kweli ila ni Yule mwovu na mawakala wake; au alikuwa ndiye Mungu kweli lakini akaruhusu ujaribiwe Imani yako. Simama katika imani yako kwani hizi kazi bhana sio; leo upo kazini kesho unafukuzwa, unastaafu kwa lazima au unapata ugonjwa usiotibika au una RIP kabisa. (Employment is not a guarantee for sustainable good life)
Ndo maana nasema Kua mwaminifu, Mtii Mungu, Zishike Sheria za nchi na Waheshimu watu basi.
Haya mambo ya kuamini katika Siasa na Dini yatakuchosha sana hasa ukiyachanganya.
 
Lakini mkuu; mbona ni watu hao hao walio makanisani ndo hao hao ni wanasiasa?. Ni vigumu kweka clear-cut Imani ya kikanisa(Dini) na Imani ya Kisiasa kwani vyote ni IMANI.
Sababu Ya huu Uzi kulitaja kanisa analosali huyo mtu ni
1.Kuwataarifu waumini wenzake Ili achafuke,kitu ambacho hakitawezekana
2.kulidhalilisha kanisa Hilo.
 
Ki vp mkuu?
Penye kusema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Maana itaendana kweli na ile kauli aliyosisitiza na kutuasa Yesu mwenyewe inayosema:
Lk 13:24; Yn 10:7,9Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. 14Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache..???
 
Hilo ndo kanisa la sasa linapuuza ukweli mwingi kwa kisingizio cha ushahidi usio na shaka mnapeana mimba hovyo humo kanisani na kwayani na bado mnasali na kuhudumu kwa kisingizio cha ushahidi wapuuzi kweli nyie.

Yule mwimnaji mpaka anakufa akizini na familia na kanisa likijua lakin hakuwahi hata kuulizwa, Kibunda baba.
Kama una msea Marco mwimbaji wa zabron singers kwaya yote ilikuwa ishapigwa chini na wasabato. Kwa maelezo ya wasabato wenyewe!!

Niliuliza kwann kwaya yenu ya zabaron Huwa haialikwi kwenye mikutano yenu wakasema ishapigwa chini kitabo
 
Sababu Ya huu Uzi kulitaja kanisa analosali huyo mtu ni
1.Kuwataarifu waumini wenzake Ili achafuke,kitu ambacho hakitawezekana
2.kulidhalilisha kanisa Hilo.
Mkuu; 1. Kumchafua mtu kwa kupitia kanisa(Waumini wenzake) sio sahihi kwani aliyoyatenda(Kama ni kweli) aliyatenda yy binafsi na sio kwa niaba ya kanisa.
Imeandkwa: Makwazo hayana budi kutokea lakini Ole wake yule asababishaye makwazo....(ref.Luka 17:1-4.) Je, itakuwaje kama ikaja kuthibitika sio kweli na hahusiki? Hao waliomchafua watauweka wapi uso wao? Itakuwa ni aibu kwao na wanaweza kupata presha bure kwa kudhani jamaa sas anaweza kulipa kisasi kwao.
2. Mtindo wa Kulidhalilisha kanisa kwa kutumia kigezo cha Matendo binafsi ya mtu mmoja sio sawa. Hapo inakuja hoja kwamba huyo mtuhumiwa ana nafasi gani ndani ya kanisa lake? Ikumbukwe kwamba yeye sio Kanisa na wala sio mmiliki wa kanisa hilo. Yeye ni muumini tu na ni sahemu ya Jumuiya ya wanakanisa mahalia na sio pote duniani wanakopatikana hao Waadventista. Kwa hiyo ni kufilisika kimawazo kulibebesha kanisa zima dhambi au kosa la mtu mmoja(kama lipo) kwa usemi ule eti samaki mmoja akioza, wameoza wote.
 
Hujanielewa, nimesema alikuwa muumini kama mimi na wewe haimanishi nimemvua unabii wake au nimeshusha vyeo, lahasha ila nilichosema Mama White sio authority, authority ni Yesu pekee.
Ndio alishauri tusijihusishe na siasa, ila ni kwasababu ya nature ya siasa na siasa kwasababu ya siasa itself, kwan what is siasa?? Mtu akisema siasa za ujamaa unaelewa nn? Mtu akisema siasa za kipebari unaelewa nn??

Ndo maana nikasema sio siasa zote chafu.
Hata Mimi nimesoma vitabu kadhaa kati ya vingi vya Ellen mara nyingi ameshauri kuacha ulaji wa nyama,soda sembe nk lakni sio kwamba ukila nidhambi la hasha sio dhambi huo alitoa ushauri yeye kama yeye tu.

Hata Ben Carson aliwahi kugombea urais marekani japo ni msabato sio kosa Wala dhambi
 
Yeah! Kumbe ukijitahidi unaweza kumbadilisha na akawa mtu mwema tena akakusaidia sana katika mishe zako kama vile Yesu alivyombadilisha Sauli i.e Paul ambaye baada ya upofu ule kutoweka, aligeuka kuwa ni Mtume shujaa na anatrend sana kwenye uenezaji wa neno la Mungu lakini kumbuka ndo huyohuyo Paul aliwaua wafuasi wengi sana wa Yesu na aliwasweka wengi magerezani, alichoma moto makanisa n.k. n.k. lakini mwisho alibadilika.
Alafu huyo chizi hapo juu anajiita Yesu anakuja. Labda wa zumaridi ndo anammaanisha
 
umempoteza akitokea wapi sasa wakati alishapotea na yupo upotevuni? huwa unavua samaki kwa kuingia katikati ya maji? au unakaa kwenye mtumwi au njen ndio urushe ndowana kuishawishi samaki ije uivue?
Huwa sifanyi mjadala na watu wenye mihemko kama wewe.

I agree to disagree.
Bye
 
Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato.

Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu dhidi yako, basi naomba kanisa limhoji ndugu Mafwele na ashike Biblia mbele ya baraza la kanisa aape kama kweli hahusiki na tuhuma zinazotajwa dhidi yake.

Ikiwa anahusika basi kanisa limwondoe katika kitabu cha ushirika kama mwongozo unavyosema na kumpa muda wa kujirekebisha na akijirekebisha abatizwe tena na kuwa kiumbe kipya.

Aidha waumini wake wengine ndugu Lengai Ole Sabaya, Boniphace Jacob, Cyprian Musiba, Mzee Wassira, Dr. Ryoba na wengine wachukuliwe hatua kwa usawa kama alivyo chukuliwa hatua Lady Jaydee kipindi alivyo amua kujihusisha na muziki wa kidunia.

Kanisa la Waadventista Wasabato limepiga marufuku waumini wake kujihusisha na mambo ya siasa, watajwa hapo juu na wengine ambao sijawataja wamehusika mojakwamoja katika siasa.
Wanasema ana cheo cha Uzee wa Kanisa 😇😄
 
Mkuu; alichosema Sativa ulikisoma au ulikielewa? By the way, kwa nini watu woooote hao wanakunyoshea kidole wewe na sio mtu mwingine???
Hilo bado halitoshi kumtia mtu hatiani.mtamhukumu machoni tu ila sio kisheria.

Huyo sativa kashatoa mpaka namba za binti wa mafwele watu wamtishie,ni uchungu alio nao ama mihemko??
 
Watu wanachangia tu ,lakini hakuna ukweli ,Mafwele anasali kanisa lipi la SDA ,wapi

Mafwele mwenyewe tu kupata hizo picha zake mbili imekuwa shida sana
 
Back
Top Bottom