Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Akija na hoja aje na maelezo ya kutosha.Duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akija na hoja aje na maelezo ya kutosha.Duh!
Yeasu akija bila kibali cha Serkali hawa maafande ndo watamtia kizuizini round hii.na mapolisi wasabato ni wengi mno, usabato si upo mwingi kwa wakurya na wajaluo huko na wajita. wengi mno. na tabia zao sasa.
Lisemwalo lipoKwa ushahidi upi walionao kama kanisa hadi wamchukulie hatua?
Lady jaydee alionekana hadharani akiimba miziki ya kidunia ushahidi wa wazi
ni kweli, single mothers na wazinzi ndio mnavyojifariji. basi hata huko church muwe mnaenda basi, na mmaanishe. kwa kifupi, Biblia inasema hakuna shirika kati ya nuru na giza, tokeni mkatengwe nao.Hata kama huyu mtajwa angeua live na ikajulikana wazi na kila mtu bado kanisa lisinge mtumpa mdhambi maana hata Yesu hakuwatupa wadhambi.
Kanisani ndio sehemu pekee ya kukimbilia kwa mtu yeyote ambaye dhambi imemchosha na hivyo kanisa linawapokea kwa mikono miwili huku likiwaonyesha upendo wa Yesu.
Ni ajabu kuona makanisa ya Leo mdhambi anatengwa na kunyanyapaliwa
nani atakaeanzisha hilo timwili? Atakuwa hajipendiNi wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato.
Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu dhidi yako, basi naomba kanisa limhoji ndugu Mafwele na ashike Biblia mbele ya baraza la kanisa aape kama kweli hahusiki na tuhuma zinazotajwa dhidi yake.
Ikiwa anahusika basi kanisa limwondoe katika kitabu cha ushirika kama mwongozo unavyosema na kumpa muda wa kujirekebisha na akijirekebisha abatizwe tena na kuwa kiumbe kipya.
Aidha waumini wake wengine ndugu Lengai Ole Sabaya, Boniphace Jacob, Cyprian Musiba, Mzee Wassira, Dr. Ryoba na wengine wachukuliwe hatua kwa usawa kama alivyo chukuliwa hatua Lady Jaydee kipindi alivyo amua kujihusisha na muziki wa kidunia.
Kanisa la Waadventista Wasabato limepiga marufuku waumini wake kujihusisha na mambo ya siasa, watajwa hapo juu na wengine ambao sijawataja wamehusika mojakwamoja katika siasa.
Nanukuu: "Ni ajabu kuona makanisa ya Leo mdhambi anatengwa na kunyanyapaliwa"Hata kama huyu mtajwa angeua live na ikajulikana wazi na kila mtu bado kanisa lisinge mtumpa mdhambi maana hata Yesu hakuwatupa wadhambi.
Kanisani ndio sehemu pekee ya kukimbilia kwa mtu yeyote ambaye dhambi imemchosha na hivyo kanisa linawapokea kwa mikono miwili huku likiwaonyesha upendo wa Yesu.
Ni ajabu kuona makanisa ya Leo mdhambi anatengwa na kunyanyapaliwa
kwa taarifa yako, Yesu aliwahubiria, ila hakuambatana nao, aliwaponya na kuwasamehe dhambi, ila hakuwajumuisha kwenye thenashara. Hata zakayo alimwendea na kumpelekea habari njema tu, ila hakuungana naye kwenye maisha yake ya uthurumati. wafuasi wa shetani na wafuasi walioamua kumfuata Mungu haviwezi kukaa pamoja hata siku moja. na Biblia ndivyo inavyosema.Nanukuu: "Ni ajabu kuona makanisa ya Leo mdhambi anatengwa na kunyanyapaliwa"
Hii 👆 👆 👆 ni hoja nzito sana na imewashinda wengi mno kuielewa. Hivi ndivo alivyofanya Yesu katika juhudi zake za kuifundiha Jamii lakini hakueleweka hadi ikapelekea yeye kushtakiwa hata kudhulumiwa uhai kwa kuuawa kwa adhabu ya aibu kubwa pale msalabani. Hoja zao zilikuwa anakula na wenye dhambi na watoza ushuru, anashirikiana na makahaba na rafiki wa walevi na watendao maovu, anahamasiha watu wasilipe kodi kwa Kaizar n.k. n.k.
Hivi leo zipo kelele kubwa sana na mtu anaonekana ni kama hazimtoshi pale akiawaambiwa watu kwamba hakuna sababu ya kimsingi kuwanyanyapaa au kuwatenga mashoga ila hao mashoga waeleweshwe, wafundishwe na washauriwe kwamba wanachofanya sio sawa -wabadilike na kuenenda kwenye njia iliyo sahihi yani waishi maisha ya uadilifu lakini ni Jamii hiyo hiyo inapiga kelele kwamba walioathirika na VVU au wenye magonjwa sugu ya zinaa wasinyanyapaliwe. Kanisa hapo limewapiga bao kwani linawakumbatia wote bila ubaguzi.
sitapga kura tenaNaweza pata nukuu? Kwataarifa yako roho ya unabii inakataza mpaka bima za maisha na kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi. Imeonya juu ya kujihusisha na siasa, na mama White anasema endapo wewe utapiga kura na huyo uliyempigia akawa corrupt basi utakuwa umeshiriki uovu huo.
Unajua walichopata wale jamaa walienda kumshitaki yule mwanamke Kwa YESU juu ya uzinifu?🤫Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato.
Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu dhidi yako, basi naomba kanisa limhoji ndugu Mafwele na ashike Biblia mbele ya baraza la kanisa aape kama kweli hahusiki na tuhuma zinazotajwa dhidi yake.
Ikiwa anahusika basi kanisa limwondoe katika kitabu cha ushirika kama mwongozo unavyosema na kumpa muda wa kujirekebisha na akijirekebisha abatizwe tena na kuwa kiumbe kipya.
Aidha waumini wake wengine ndugu Lengai Ole Sabaya, Boniphace Jacob, Cyprian Musiba, Mzee Wassira, Dr. Ryoba na wengine wachukuliwe hatua kwa usawa kama alivyo chukuliwa hatua Lady Jaydee kipindi alivyo amua kujihusisha na muziki wa kidunia.
Kanisa la Waadventista Wasabato limepiga marufuku waumini wake kujihusisha na mambo ya siasa, watajwa hapo juu na wengine ambao sijawataja wamehusika mojakwamoja katika siasa.
Mdhambi ukimtenga umempoteza kabisaaaNanukuu: "Ni ajabu kuona makanisa ya Leo mdhambi anatengwa na kunyanyapaliwa"
Hii 👆 👆 👆 ni hoja nzito sana na imewashinda wengi mno kuielewa. Hivi ndivo alivyofanya Yesu katika juhudi zake za kuifundiha Jamii lakini hakueleweka hadi ikapelekea yeye kushtakiwa hata kudhulumiwa uhai kwa kuuawa kwa adhabu ya aibu kubwa pale msalabani. Hoja zao zilikuwa anakula na wenye dhambi na watoza ushuru, anashirikiana na makahaba na rafiki wa walevi na watendao maovu, anahamasiha watu wasilipe kodi kwa Kaizar n.k. n.k.
Hivi leo zipo kelele kubwa sana na mtu anaonekana ni kama hazimtoshi pale akiawaambiwa watu kwamba hakuna sababu ya kimsingi kuwanyanyapaa au kuwatenga mashoga ila hao mashoga waeleweshwe, wafundishwe na washauriwe kwamba wanachofanya sio sawa -wabadilike na kuenenda kwenye njia iliyo sahihi yani waishi maisha ya uadilifu lakini ni Jamii hiyo hiyo inapiga kelele kwamba walioathirika na VVU au wenye magonjwa sugu ya zinaa wasinyanyapaliwe. Kanisa hapo limewapiga bao kwani linawakumbatia wote bila ubaguzi.
ni kwa sababu na wao hawakuwa wafuasi wa Yesu, walikuwa wafuasi wa dini wanafiki kama wewe tu na Yesu hakuambatana na yule mwanamke, alimsamehe dhambi na kumwambia asitende dhambi tena. kasome mistari vizuri.Unajua walichopata wale jamaa walienda kumshitaki yule mwanamke Kwa YESU juu ya uzinifu?🤫
umempoteza akitokea wapi sasa wakati alishapotea na yupo upotevuni? huwa unavua samaki kwa kuingia katikati ya maji? au unakaa kwenye mtumwi au njen ndio urushe ndowana kuishawishi samaki ije uivue?Mdhambi ukimtenga umempoteza kabisaaa
Acha uongo wewe. SDA haijakataza watu kufanya siasa. Rais Hichilema hadi leo ni mzee wa kanisa.Ellen G. White amekataa waumini kufanya siasa, amesema kazi pekee waliyonayo ni kueneza ujumbe wa malaika watatu.
Hahahaa. Kwani wale wa kule bustani ya mizeituni hawakuwa maafande?Yeasu akija bila kibali cha Serkali hawa maafande ndo watamtia kizuizini round hii.
Asije tu akajichanganya akavuruga michongo ya watu kama kule Rumi na Uyahudini, Mafwele ataagizwa amshughulikie.Hahahaa. Kwani wale wa kule bustani ya mizeituni hawakuwa maafande?
Atahitaji vp kibali cha Serikali ilhali hayuko kwenye nchi wala chini ya Serikali yoyote? Atakuja ghafla bin vuu (ref. Math. 24:27).
Yeah! Kumbe ukijitahidi unaweza kumbadilisha na akawa mtu mwema tena akakusaidia sana katika mishe zako kama vile Yesu alivyombadilisha Sauli i.e Paul ambaye baada ya upofu ule kutoweka, aligeuka kuwa ni Mtume shujaa na anatrend sana kwenye uenezaji wa neno la Mungu lakini kumbuka ndo huyohuyo Paul aliwaua wafuasi wengi sana wa Yesu na aliwasweka wengi magerezani, alichoma moto makanisa n.k. n.k. lakini mwisho alibadilika.Mdhambi ukimtenga umempoteza kabisaaa
Usimwonee Mafwele wa watu kwani hatokuwepo-salio litakuwa limeisha.Asije tu akajichanganya akavuruga michongo ya watu kama kule Rumi na Uyahudini, Mafwele ataagizwa amshughulikie.
Ahahah. Ila dunia ni ngumu sana Mkuu kuna muda unalilia kaz unamwomna Mungu lakini anakupa kazi ambayo Boss anaenda kukutumia kumuasi Mungu.Usimwonee Mafwele wa watu kwani hatokuwepo-salio litakuwa limeisha.