Waambie serikalini waanzishe makanisa yao, yatayowapa fursa ya kusimama kwenye mimbali ka kuzingumza wanachotakaKanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Uzziah alipata matatizo makubwa sana kisa kujifanya kwenda kwenye madhabahu isiyomhusu. Yaani mwanasiasa anayeuwa watu then akae kuongea na waumini ambao ndugu zao wameuawa haingii akilini. Ni muhimu kutenda haki.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Kama umeandika kupata engagement, it is well and goodKanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Anzisha kanisa lako liwe pango la wanasiasa waongo waongo. TEC tumechoka na huo.upuuziKanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Mbona watu hupanda kupeleka sadaka, kubatiza, kupeleka shukrani, kusoma neno siku ya ndoa, wasaini vyeti vya ndoa na wapigapicha pia wakati mwingine hupanda?Utaratibu wa kanisa unatambulishwa kwa jina lako unasimama unawapungia mkono waimini, kama si kiongozi hauruhusiwi kupanda kwenye jukwaa la mapadri au wachungaji.
Kanisani nani amekuambia ni sehemu ya mamlaka za kidunia kutoa matamko yao na mipasho?Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Wanasisa ndiyo waruhusiwe kuchanganya dini na siasa? Wanasiasa ndiyo waruhusiwe kuyageuza madhabahu kuwa uwanja wa kampeni zao na kampeni za hao wanaowatuma?Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Mnasema tusichanganye dini na siasa,sasa kosa lao n nnWanatapatapa kama wamepigwa rungu ya kichwa sahivi kila jumapili taarabu kibao
Hawajawahi kuvutwa kwenye michango kwa kutumia mitutu ya bunduki, kutafuta kwao sifa na umaarufu ndivyo ambavyo huwapeleka kwenye michango ili waonekane. Michango huwa inaenda smoothly bila hizo takataka(wanasiasa) kuwepo.Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Kagame kagusa kina Mwamposa wa Rwanda na sio kina Kitimaaulizwe Mh. Kagame anawezaje kugusa hayo makanisa.
Hakuna kanisa linakuwa na "halambee".Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
ULichokisema upo sahihi, dini haipaswi kupingana na mamlaka, wanatakiwa kutii mamlaka, na ndio maana wameanza na hiliKikawaida huwezi kutenganisha dini na siasa/serikali kwakua dini ilianzishwa kwa lengo la kulainisha/walainishaji ili watawala watawale kirahisi. Agents of colonialism walikuwepo kitengo cha dini hivyo kusema unawakataza wasiseme ni kama unajitekenya na kucheka mwenyewe maana imeandikwa na hao waandishi wa bible kua heshimu mamlaka ilioko juu sasa kupingana na mafundisho mufundishayo ni maigizo. Na dini husajiliwa na wanasiasa. Maana tofuti zao ni kua wanasiasa huaidi maisha bora duniani na wanadini huaidi maisha bora mbinguni xo wote ni wazee wa ahadi tu.
Hapo watamshughulikia tu! ni suala la muda.
Wanasiasa ambao ni waiba kura, watekaji, waiba fedha za umma, wazinzi, wafiraji, waongo, wamwagaji wa damu za watu, waabudu sanamu, ndio hao wanaoingia kwenye nyumba za ibada.Huwezi kutishwa na kinyago ulichokichonga mwenyewe. Kama naweza kukusajiri naweza kukufuta pia. Serikali haina mpaka wa kuingia na kusema popote ambapo Kuna raia wake. Kama kanisani Kuna wabakaji na wakwepa kodi itawafuata huko huko wanakopatikana. Nyerere aliwahi kutaifisha mali za makanisa walimfanya nini?
Sio mamlaka ya kidunia na wanachukua sadaka ? Si yangejengwa mbinguni haya mahekalu. Wewe angalia Rome Empire alafu uniambie sio mamlaka ya kidunia?Kanisani nani amekuambia ni sehemu ya mamlaka za kidunia kutoa matamko yao na mipasho?
Mama yako ni lini na mara ngapi ameenda kanisani RC!!??Hii ni vita ya kidini sasa..
Wakatoliki hapa mnakosea sana.
Hii ni vita Dhidi ya Mama.
Huna akiliMama yako ni lini na mara ngapi ameenda kanisani RC!!??
Kwenye ile miimili ya 7 kidunia. Pope yuko pale juu alafu baada ya hapo wanakuja wanasiasa huku chini ndio utakuta viongozi wa dini (walainishaji:- utasikia tumeongea na viongozi wa dini wamesema tusiandamane tusije tukamwaga damu) na wadhibiti (dola/jeshi).ULichokisema upo sahihi, dini haipaswi kupingana na mamlaka, wanatakiwa kutii mamlaka, na ndio maana wameanza na hili
.. wameambiwa wasichanganye/ wasifanye siasa kwenye nyumba za ibada hivyo basi wametii hiyo amri kwa kuwaweka katazo la wanasiasa kuongea kwenye nyumba za ibada. Hawajakatazwa kushiriki ibada.
Kanisani tunaenda kumuabudu Mungu, kinachohitajika pale ni ibada sio vitu vingine mkuu, mgeni atambulishe apunge mkono tumpokee, kama mgeni huyo ni Kuhani tutatamani kusikia chochote, kama sio Kuhani baada ya ibada akaione ofisi kama atakuwa na jamboSio mamlaka ya kidunia na wanachukua sadaka ? Si yangejengwa mbinguni haya mahekalu. Wewe angalia Rome Empire alafu uniambie sio mamlaka ya kidunia?
Ni lini na ni mara ngapi mama yako ameenda kanisani RC!!!??Huna akili