Walichelewa sana kufanya maamuzi hayo, matokeo mazoea! Hata mikutano ya chama/serikali salamu iwe moja tu.....Jamhuri ya Muugano wa Tanzania...Kazi iendelee... Haya mambo ya Tumsifu Yesu Kristo; Bwana Yesu Asifiwe; Mwanakondoo Ameshinda; Asalaam Alaykhum... tuyaache makanisani au misikitini.
subiri zamu yako. Wote ni mashahidi namna benki ya mkombozi ilivyoshiriki kwenye ufisadi wa escrow, majamaa yamenyuti eti yanajifanya yana uchungu sana Tanzania.Mtu akiwa na akili finyu, hawezi hata kudadavua kile kilicho mbele yake.
View attachment 3397969
Hii nchi kila mtu atachanganyakiwa Kwa wakati wake ni suala la muda tuJamani!
Si wameambiwa wasichanganye dini na siasa? Kuzuia siasa kanisani tena wamekosea?
🤣🤣 Wote ni wazee wa nini !?Kikawaida huwezi kutenganisha dini na siasa/serikali kwakua dini ilianzishwa kwa lengo la kulainisha/walainishaji ili watawala watawale kirahisi. Agents of colonialism walikuwepo kitengo cha dini hivyo kusema unawakataza wasiseme ni kama unajitekenya na kucheka mwenyewe maana imeandikwa na hao waandishi wa bible kua heshimu mamlaka ilioko juu sasa kupingana na mafundisho mufundishayo ni maigizo. Na dini husajiliwa na wanasiasa. Maana tofuti zao ni kua wanasiasa huaidi maisha bora duniani na wanadini huaidi maisha bora mbinguni xo wote ni wazee wa ahadi tu.
Hapo watamshughulikia tu! ni suala la muda.
Hawawezi kuifuta RC cuz Ina ushawishi mkubwa ktk jamii kuifuta lazima itasabababisha machafuko ya amani nchini you should understand hilo kwanzaDu umefika mbali, hakuna taasisi ambayo serikali haiwezi kuifuta kama sababu za wazi za kuifuta zipo. Sema tu RC hakuna wahuni wengi, lakini kama ubakaji na ulawiti utakuwa dhahiri au kuthibitika kuwa ni maficho ya mercenaries utaona kivumbi chake. Kule Ukraine wamefuta Orthodox churches.
Gugu lisiloliwa linapaswa kung'olewa shambani na mizizi yake lingali changa kabisa. Kukataza serikali kuingia kanisani kuongea na raia wake ni gugu baya shambani haliwezi kuachwa limee kama mengine, kiongozi wa dini kumdhihaki rais ni gugu lennye sumu shambani.Unayo maslahi gani huko kanisani; mbona unalialia namna hii kama kuna kitu kitu umenyimwa huko kanisani; hadi kutoa vitisho vya "kuumia"?
Hivi nyinyi watu kweli bado mnazo akili vichwani mwenu?
Ndoto za alinacha hizo, RC itabakia kwakuwa ina watu wema wengi na wenye akili, hekima na busara na sio kwasabu ina watu wengi. Kwani hakuna nchi duniani ambazo hakuna RC au uisalamu? Unadhani Magufuli alipowaita wale jamaa wa RC kuwa wanawashwawashwa na walaka wao aliupata wapi huo ujasiri?Hawawezi kuifuta RC cuz Ina ushawishi mkubwa ktk jamii kuifuta lazima itasabababisha machafuko ya amani nchini you should understand hilo kwanza
Bad enough mpaka huko serikalini Kuna waumini wengi wa RC wanaweza kutumika kuiangusha serikali iliyopo madarakani'' wewe Jamaa inatakiwa utambue kwamba hakuna jambo baya hapa Duniani kama Imani endapo likitumika vibaya athari zake ni nzito sana
Sio lazima ukapige kura, lakini watakaopiga kura watamchagua Rais wa nchi nzima akiwemo wewe na wenginewengine hata wenye wenge.Nchi ina takribani wakatoliki milioni 25, tutalipa hizo Kodi kama tunavyojenga makanisa yetu na baada ya hapo CCM itabidi kuimport wasafwa kutoka Malawi kufidia gape kwenye masanduku ya kura
Kanisa ni taasisi ya kifedha kamazilivyotaasisi nyingine zinazorudisha kwa jamii kiasi kidogo (token) sana kwa jamii. Mfano, Kanisa la RC linafanya biashara na linakusanya kodi nyingi sana kwa mfumo wa sadaka na matoleo. Mwishooo kabisa wa fedha hizo zinatumwa na kuhifadhiwa Vatican; ni pesa nyingingi sana. Kiasi kidogo cha fedha hizo ndicho kinachotumika kuwatoboa macho na masikio watu kwa kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Kiasi kikubwa cha fedha hizi kinatumika kwenye utawala na katika mission kubwa na kali sana kama vile za kijasusi, kuingilia michakato ya uchaguzi, mapinduzi ya viongozi, kuingilia na kubadilisha sera za mataifa mbalimbali, kusimika viongozi wenye maslahi kwa RC, kuondoa viongozi, nk.Wewe unachanganya mambo! Unatetea kitu gani hasa??Watu wanautaratibu wao, kanisa mbona limekua na mchango mkubwa ba lina mahusiano mazuri na serikali, hujui kuna mashirika ya kikanisa na kipapa yanatia huduma nyingi kwa jamii, hujui mashule, vyuo, mahospitali, zahanati n.k.Hayo yite huoni unaona ushirikiano wa kanisa na serikali ni pale viongozi wake wanapoenda kuongea madhabahunu.Umechanganyikiwa??
Unzidi kujionyesha utuu wa akili. Hao waumini wanaishi kanisani?Gugu lisiloliwa linapaswa kung'olewa shambani na mizizi yake lingali changa kabisa. Kukataza serikali kuingia kanisani kuongea na raia wake ni gugu baya shambani haliwezi kuachwa limee kama mengine, kiongozi wa dini kumdhihaki rais ni gugu lennye sumu shambani.
Yaani huyo gugumaji si amekataza mtu wa serikali kwenda kanisani na kuwaambia waumini vaeni barakoa ili msife kwa covid 19, asiseme lolote lile zaidi ya yeye kusali. Huu si ndiyo upuuzi wenyewe ninaoupiga vita? Neno la serikali halina mipaka hapa nchini na lile la mungu halina mipaka huko mbinguni. Serikali itasema ya duniani tu na dini ziseme ya mbinguni tu.Unzidi kujionyesha utuu wa akili. Hao waumini wanaishi kanisani?
Kumbe hata huna akili kabisa? Ndiyo maana unadhani serikali ni Samia na Genge lake; kwa sababu hujui maana ya serikali ni nini!
Sina haja ya kuendelea na wewe.
Mada yenyewe hii ni mbovu toka mwanzo.
Unaniotezea muda. Huna ninaloona naweza kulijadili na mtu kama wewe. Umenielewa?Yaani huyo gugumaji si amekataza mtu wa serikali kwenda kanisani na kuwaambia waumini vaeni barakoa ili msife kwa covid 19, asiseme lolote lile zaidi ya yeye kusali. Huu si ndiyo upuuzi wenyewe ninaoupiga vita? Neno la serikali halina mipaka hapa nchini na lile la mungu halina mipaka huko mbinguni. Serikali itasema ya duniani tu na dini ziseme ya mbinguni tu.
Wanasiasa ndo huwa wanapenda hiyo mialiko ili kupata cheap popularityVizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Kwani tumekataa, mjue tu hizo kura 25 milioni hazipoSio lazima ukapige kura, lakini watakaopiga kura watamchagua Rais wa nchi nzima akiwemo wewe na wenginewengine hata wenye wenge.
Huu ni uongo tena wa kiwango cha kimataifa, kitaifa Kanisa Katoliki Lina siku Moja tu ya mchango ambao pesa zinaenda Kusaidia shughuli za kipapa Vatican na siku hiyo unakuwaga kwa utaratibu mwisho wa mwezi JuniKanisa la RC linafanya biashara na linakusanya kodi nyingi sana kwa mfumo wa sadaka na matoleo. Mwishooo kabisa wa fedha hizo zinatumwa na kuhifadhiwa Vatican
Huu Sasa sio UONGO wa kimataifa bali ni uongo ambao ni interplanetary yaani umehama sayari nyingine kabisa; Kanisa lifanye Mapinduzi na mashirika ya kijasusi kama CIA, Mossad na MI 6 yafanye nini?Kiasi kikubwa cha fedha hizi kinatumika kwenye utawala na katika mission kubwa na kali sana kama vile za kijasusi, kuingilia michakato ya uchaguzi, mapinduzi ya viongozi, kuingilia na kubadilisha sera za mataifa mbalimbali, kusimika viongozi wenye maslahi kwa RC, kuondoa viongozi, nk.
Nani anakupotezea muda mtu kama wewe? Nani kakutuma usome na kuchangia mada?Unaniotezea muda. Huna ninaloona naweza kulijadili na mtu kama wewe. Umenielewa?
Nimesoma na kuona ni uchafu/takataka; ndiyo maana nikatumia haki yangu kuyasema hayo.Nani anakupotezea muda mtu kama wewe? Nani kakutuma usome na kuchangia mada?
Wacha watafute majibu wenyewe, ni walemavu kwa kutegemea notes. Hivi inakuaje unaandika notes badala ya research in University. Hii imekaaje ni ulemavu. Unasoma sayansi hadi A level alafu huwezi kufunga hata kidonda ni aibu while way back kila kaya kuna mtabibu/ au next block kuna mkunga inspite of hawajui hata kuandika jina lao kwa lugha yeyote.🤣🤣 Wote ni wazee wa nini !?
Ungemalizia kuwa na wanatumia Ujinga wa watu kujinufaisha au kunufaisha Taasisi zao
Inastaajibisha Kwa kweliWacha watafute majibu wenyewe, ni walemavu kwa kutegemea notes. Hivi inakuaje unaandika notes badala ya research in University. Hii imekaaje ni ulemavu. Unasoma sayansi hadi A level alafu huwezi kufunga hata kidonda ni aibu while way back kila kaya kuna mtabibu