Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

Ili yakikushinda huko urudi kutulilia na kutupa laana tuliokushauri uoe
 
Oa huyo
 
LISHANGAZI
 
what about other factors mentioned above?
main question ilikuwa ni umri, factors zingine ni qualitative, na pia hatujui za kwake, so aende tu aka test mitambo na kufanya matengenezo nyufa zinapojitokeza
 
kwa mantiki yako n kwamba ukifika huo umri, automatically mishe zinatiki yaan biashara znakubali, unapata ajira nzuri n. k kwa sababu tu ya umri?
Mishe kutiki ni kitu kingine na kumudu majukumu ni ishu nyingine kwasababu majukumu yanakuja bila kujali mishe zimetiki au hazijati sidhani kama unaweza amua usile Kisa mishe hajizatiki
 
kaka, kwa ufupi ni kwamba wewe Una mpenda huyo mwanamke na hata tukikushauri usimweke ndani bado utamchukua tu.

nikuombe utumie akili yako na pia usijaribu kufikiria kumuoa kwasababu ni mpambamaji au una mhurumia au labda umeshauriwa.

Kama hujisikii kumuoa mwache aende...hata hivyo ni mpambamaji...na mwisho kabisa usikubali kuwa pressurised na mwanamke ili umuoe...tafadhali usithubutu maana pressure ni ya kwake sio yako. Irrational decision yenye utafanya based on her pressure itakutafuta mpaka makalio

mbona wewoooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa akili hizi mbovu, bora uachane na hiyo manzi.
 
main question ilikuwa ni umri, factors zingine ni qualitative, na pia hatujui za kwake, so aende tu aka test mitambo na kufanya matengenezo nyufa zinapojitokeza
sjaelewa aende akatest mitambo wapi?
 
Maisha ni zaidi ya tendo na sura; chukulia mfano, umepata ajali na ukashindwa kutembea, ni nani atakuwa tayari kukusafisha kama mtoto mdogo pale kitandani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…