MR UHARO.Who cares Mzee wa UHARO?
Macron alieleza wazi kuwa Agenda za America kwenye hii vita hazieleweki, in short, jamaa anawachezea viongozi wote kweli kweli, cheki Watu washaanza jitoa OPEC huko, mambo yanazidi kuwa sio mambo, na moja ya sababu zao ni kukosekana kwa usalama ndani ya jumuhiya kwa siku za hivi karibuni. Ila sijasikia Germany au France akitishia kujitoa NATO.Kama anazo hizo karata si amalize vita kila siku anamba kusaidiwa.
Bei ya mafuta imepanda baada ya mipango ya duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran kukwama tena.
Brent crude, kiwango cha kimataifa cha bei ya mafuta, kilipanda kwa zaidi ya 3% hadi zaidi ya $109 (£80) kwa pipa
1. Regime ni IRGC na bado ipo madarakani so sio kweli kuna Regime Change.Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
Hawana uwezo? Hypersonic missiles zimeweza kupenetrate Israel na kuleta damage. Actually interception rate ya Israel imeshuka hadi 70+% kutoka 90% wakati vita inaanza.Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
Hii inaonyesha ulivyo mtupu kwenye economics. Kwanza US inanunua zaidi kuliko inavyonunua hivyo vitu vikipanda bei China au Brazil basi automatically inaleta imported inflation US. Pia kama hujui viwanda vingi vya kampuni za US having US bali Asia hivyo ikitokea inflation huko Vietnam au China basi inaathiri faida za wamarekani na kuua uchumi.Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa
Wewe hata ueleweki unatetea nini😂😂Macron alieleza wazi kuwa Agenda za America kwenye hii vita hazieleweki, in short, jamaa anawachezea viongozi wote kweli kweli, cheki Watu washaanza jitoa OPEC huko, mambo yanazidi kuwa sio mambo, na moja ya sababu zao ni kukosekana kwa usalama ndani ya jumuhiya kwa siku za hivi karibuni. Ila sijasikia Germany au France akitishia kujitoa NATO.
Trump na Benjamin wanaamini katika kuharibu ndio ujenge, akili kama za hao hao waIran, Taliban, ISIS, Alkaida and so on, sisi nyasi tuwaache waendelee kucheze hii fair game mpaka hapo tamati tuone mambo yatakuwaje. Of course, kuisha hayataisha, huwezi safisha first class ya regime mzima tena ya hao wazee wa visasi utegemee mambo kubaki kuwa business as usual for life, payback is guaranteed, we just don't know when and how it's gonna be implemented. Japo kwa hakika itakuwa ya kuvizia kama lile tukio la Israel.
1. Upo sahihi kusa IRGC ndio regime, change ni process, mpaka sasa wamefanikiwa kwa silimia kubwa sana, kwanza kwa kueliminate first class yote, hii inaonyesha wazi kuwa wana intelijensia ya kuwafikia wowote watakao kaimu madaraka, rejea kusimamisha vita, maana yake walio sasa wanawekwa kwenye pending list, usiniuliwe watawezaje ilhali wameweza tayari tena kwa ufanisi wa hali ya juu.1. Regime ni IRGC na bado ipo madarakani so sio kweli kuna Regime Change.
Hawana uwezo? Hypersonic missiles zimeweza kupenetrate Israel na kuleta damage. Actually interception rate ya Israel imeshuka hadi 70+% kutoka 90% wakati vita inaanza.
Pia wana 400kg za uranium enough to make 13 nuclear warheads. So unaposema sio tishio la nuclear unamaana gani? Kama sio tishio kwanini US ina demand wachukue hizo enriched uranium?
Hii inaonyesha ulivyo mtupu kwenye economics. Kwanza US inanunua zaidi kuliko inavyonunua hivyo vitu vikipanda bei China au Brazil basi automatically inaleta imported inflation US. Pia kama hujui viwanda vingi vya kampuni za US having US bali Asia hivyo ikitokea inflation huko Vietnam au China basi inaathiri faida za wamarekani na kuua uchumi.
Economic convergence
Wewe kaaa kimya sera unaandika Sela.Leta hoja, sio vihoja, Trump anachukiwa na Dunia nzima kwa sela zake, ukisikia US kajitoa WHO wanufaika wake ni wazungu hao hao, Germany ikiwemo. Umoja wa kujihami wa NATO anawalazimisha wawe na equality kwenye michango yao, waathirika ni hao Germany pia, Hormuz kufungiwa wanaokosa uhakika wa meli zao za mafuta kupenya kwa ufanisi na hata kulazimisha Iran kuwa na mipango ya kuweka Tozo hata zao Germany zinakosa uhakika, yaani, kiufupi diplomasia ya Trump ndio mwiba unaochoma mpaka Germany kwa hiyo usishangazwe na hiyo milio.
Wamalize vita ya nini na wao ndio wameianzisha? Hao waliochokozwa ndio wanapaswa kumaliza mchezo kwa kumuangamiza adui, tena wala hayupo mbali maana umbali toka Tehran mpaka Tel Aviv ni sawa kabisa na DSM mpaka Lusaka, ni midege tu na maroketi, kwa style hii watamuweza USA FROM WAY TOO FAR kweli?. mbona hiyo ipo wazi.Wewe hata ueleweki unatetea nini😂😂
UAE kajitoa OPEC sababu ya kafirisika kwa kuikumbatia Marekani na Israel Dubai kwisha anataka kuuza mafuta mengi wapate pesa.
Trump nyumbani kanasa hajui atatokaje kwenye hii vita.
Nimekuuliza hujibu kama hizo karata wanazo Trump na Netanyahu si wamalize vita.
Narudia tena, leta hoja sio vihoja, hatujifunzi lugha hapa na sio jukwa la kiswahili, mada ipo straight forward. Nyie ndio wale hamzingatii mantiki mnazingatia kasoro ndogo ndogo kama msingi wa hoja, Kiswahili nilifeli bigtime, sio kipimo cha intelligence, kinabaki tu kuwa means of communication kama lugha nyinginezo, hujaelewa mazungumzo uliza, period.Wewe kaaa kimya sera unaandika Sela.
Kwani ukikaa kimya kama mimi utachekwa?
Kijographia na Kwa nguvu aliyo nayo kijeshi pia cause missile zake zilizotumika kuzopopoa base za USA na kupiga Nchi ya Israel kama zinavyotaka ni kitu ambacho kimeleta game changer na kuifanya Iran iogopeke na kuwalazimisha USA waombe ceasefire laiti kama Iran wasingekuwa vizuri in power of military Hilo lisingetokea , kwanini USA wameona Kuna haja ya kukaa mezani na Iran na kutafuta suluhu jibu ni Moja tu ni kwasababu Iran na wao wanauwezo mzuri wa kijeshi ambao unatoa tishio Kwa wapinzani wao hao , isingekuwa hivyo USA na washirika wake wangekuwa wanapiga Hormuz bila ya uoga wowote ule isingekuwa hivyo kambi zilizopo middle east zisinge chakazwa isingelikuwa hivyo balozi zilizopo middle east zisinge chakazwa baada ya USA na Israel kuona kuwa Iran wanaweza kusababisha madhara Kwao mpaka Kwa washirika wao na kutishia anguko lao ndio usa wakaona waombe ceasefire kinyume na hapo isingekuwa hivyoLabda kihivyo. Kwamba kijiografia Iran naye anaweza kusukuma kete zake, kulazimisha Jambo lake na likasikilizwa kutokana na eneo alilopo. Kwamba msipofanya atafunga eneo lake
Wananchi Hawa isupport serikali Yao my foot!? 😄😄🤣 Hivi mnatoaga wapi hizi Akili za kuku !?Iran ni super power?!?!?!.
Iran kwa miaka zaidi ya 40 imewekeza nguvu zake kwwnye masuala ya ulinzi na usalama...baasi.
Nyanja nyingine wako vby na ndio maana wananchi kibao wa Iran hawaisapoti serikali yao sema ni vile mbinyo ni mkali ndani ya nchi hawana pa kufurukutia.
Hata sasa hv toka vita vianze ile mwezi february hadi leo hakuna kabisa huduma ya internet...unadhani kwann wananchi wamekatiwa huduma hiyo??
Kama ni kweli wanaisapoti serikali yao pendwa!.
Asante msemaji WA trumpLengo la USA kwa Iran limetimia,
- Regime change: Kina hayatolla hawapo na sisi tena.
- Military destabilization: Hawana tena uwezo wa kuitishia Israel au majirani zake na nukes, labda vijiroketi tu ambayo vinaweza kuwa intercepted hata na qatar au Dubai, vipipenya labda viwili kati ya mamia.
- Business control: Mafuta hayatoki tena kwenda Europe, India, Africa na hasa China kwa flow kama ile ya zamani, Americans wameweka ukuta na lengo ni dunia ikose wakati wao wanaendelea kuwa wanufaika wa Venezuela na mafuta ya ndani pamoja na Canada. Sasa nyinyi endeleeni kuitaka America iwę na target zenu akati zake zipo intact, "Make America great again" haimtaji mjerumani wala muingereza na ndio maana vilio ni mpaka huko Hispania maana mfadhili wao mkuu wa zamani kawasusa, imagine mpaka mafuta kawabania kupata jamaa zake, hawaelewi waende kumsapoti Trump na vita take yenye agenda tata au wamsapoti muIran adui wao wa kitambo waliyempiga vikwazo miaka na miaka, yaani wamebaki wamechanganyikiwa, na Trump huwaita "weak" kwa kukosa maamuzi ya kishujaa.
Ana cards zipi? Hao Senate wenyewe wamemkatalia kuizinisha dollars zaidi ya bil 200 kwa ajili ya vita ya Iran.Angekuwa na hizo cards si angepata hizo USD bil 200.China anapitisha wewe ukiwa kama gateman sio? wewe unadhani vilio na lawama zote kwa nn ni kwa Trump inhalai mambo yako vibaya kwake, si wangekuwa wanachekelea na kuongeza nguvu Iran ili Trump afie mbali kabisa.
Tafuta taarifa kwenye sources mbalimbali verified, sio unaegemea kwa wanasiasa, hata huyo Challencor ni politician tu, kile anasema analenga favor ya status ya nchi yake mbele ya misimamo ya EU ambao wanalia maana Trump kawatema kiaina pale Ukrain, NATO kashuka msaada na anatishia kujitoa, huyo Chancelor anacheza na joto la wapiga kura wake na vitu ka hivyo, usiniamini mimi sijaomba hivyo, mi sio messiah mkombozi wa hii vita, ni Trump pekee ndio anazo cards za mchezo, maybe na Benjamin kiasi. Hao wengine wanabaki kuwa victims tu na wapiga zumari with zero action.
Wakiristo wa jf wanachekesha sana kihojaUsikimbie hoja, usomi na yanayoendelea middle east wapi na wapi, kama kwata limekushinda usinyee kambi, just step aside and move on. Safu ya uongozi wa Iran imekuwa terminated and it's just a matter of time to be replaced, yanayoendelea saizi ni maigizo ya vibaraka wa regime husika kukaza shingo, meanwhile hakuna wanachoweza kufanya in a long run. Time will tell kama kwa Assad wa Syria aliyeko ughaibun Russia akila bata kwenye corridor za Ikulu ya Putin.
Waislamu wa JF wanachekesha zaidi wamekalia kufuga Midevu na Majini badala ya kufuga Ng'ombe wa maziwa na kuku wa nayai!!!Wakiristo wa jf wanachekesha sana kihoja
Hahhaha sasa wewe punguani kweli upo Uyole unalazimisha kuwa Marekani kafanya rigime change Iran😂😂Wamalize vita ya nini na wao ndio wameianzisha? Hao waliochokozwa ndio wanapaswa kumaliza mchezo kwa kumuangamiza adui, tena wala hayupo mbali maana umbali toka Tehran mpaka Tel Aviv ni sawa kabisa na DSM mpaka Lusaka, ni midege tu na maroketi, kwa style hii watamuweza USA FROM WAY TOO FAR kweli?. mbona hiyo ipo wazi.
Kituko cha mwaka, wewe mtanzania choka mbaya mwenzangu unajihakikishia kuwa UAE imefirisika, like seriously, hizo sababu ni zako za mfukoni, binafsi naona moja ya malengo nyuma ya pazia ya Trump ni destabilization ya hizo organizations duniani, rejea uwepo wa wahasimu wake humo ikiwemo IRAN, South Africa and so. Tutasikia mengi kwa siku za usoni, mengi hayatatufurahisha ila ndio hivyo, basi tena.