Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

Kajamaa kameongea UFALA hadi nimekashangaa.
 
Tufanye tu viongoi wa Iran wangeamua kwenda kujificha ambapo wanaficha makombora yao huko chini ya ardhi nani angewalenga?
Iran wana missiles city 27, hakuna hata moja ambayo imeharibiwa, na nimemsikiliza George Galloway akimuuliza Professor Marandi ambae naamini anachosema kwa sababau kabla ya vita kila alilosema huyo prof wa Iran ndicho kilichotokea.

Marandi alisema Iran ikishambuliwa watalenga kambi zote za US gulf states na kufunga mlango bahari wa Hormuz, na sikuamini sana, ila baada ya hapo jamaa wakafanya hivyo.

Hivi sasa amesema ikitokea battle ya pili, halafu US & Israel wakalenga vyanzo vya nishati basi UAE na wenzake watu wajiandae kuhama, nchi itabaki haina watu , maana hawatoweza ku survive pasipo umeme wakitumia AC.

Kuwait joto huwa linafika hadi 50C , UAE ndipo kuna joto kama unapikwa hasa maeneo ya jangwani, Bahrain hadi Saudia huko joto linachezea 45C hadi 50C wakati wa summer.


Kibaya zaidi Iran watapiga na desalination machines/plant , hapo ndipo watamalizwa kabisa.

Ndio maana hii vita imekuwa ngumu sana kwa US na Israel... Vikipigwa vyanzo vya nishati gulf states hakuna mtu ataishi.
 
 
Halafu kuna ng'ombe inakwambia Iran dhaifu na Iran sio tishio na regime change imefanyika.
 
Unaandika porojo kibaaoo zisizo na mashiko.
Regime change ni uondoaji wa mfumo mzima wa utawala na sera za utawala husika. Hao viongozi waliouliwa wamepatikanika viongozi wenye sera na mifumo ya utawala sawa na hao marehemu tena wakiwa mahafidhina zaidi. Utasemaje regime change imefanyika!? BRO UMESOMA SHULE GANI AISEEE!??
 
Halafu kuna ng'ombe inakwambia Iran dhaifu na Iran sio tishio na regime change imefanyika.
Hawa tuliwasikia hapa kwenye 12 days war kwamba uranium ya Iran imeharibiwa ikiwa kwenye vinu vya nuclear, tulipambana sana hapa kuwaelewesha kwamba kama hivyo vinu vilipigwa basi ingetokea leakage ambapo watu wangehama kukwepa madhara, lakini wapi jamaa ubishi.

Sasa wanasikia US na Israel wakilia kwamba Iran isalimishe urani , walikuwa hawajafahamu Trump ni muongo, ila sasa wamemfahamu. Maana aliwadanganya kwenye 12 days war itawachukua Iran miaka kadhaa kuendelea na project ya nuclear.. hata mwaka hujaisha wamerudi...

Humu kuna ubishi wa kijinga..
 
Kwa maana yake alipotoka Biden wa republican akaingia Trump ni regime change..
 
We jamaa una utindi wa ubongo sio bure.
Hao kina Araghchi kutokufa kwao wala sio kwasababu ya maelekezo ya USA . Punguza ufala kidogo. Iran ipo kwenye decentralized Mosaic doctraine nchi ikiongozwa na jeshi kimamlaka kamili. Hata huyo Araghchi anasikiliza jeshi. Kutokuuawa kwa Abbas ni kwasababu US waliona watakosa mtu wa kujadiliana naye maana watabaki hardliners tupu. Matokeo yake huyo huyo Arghchi anapokea amri toka kwa jeshi la mapinduzi. REGIME CHANGE HAKUNA .

USA imeshapoteza nguvu ya kidiplomasia duniani. Spain,UK na Germany zimemfokea Trump kama mtoto ikiwemo na Ufaransa. Mataifa kibao UN yame vote upande wa Iran badala ya USA na Israel. Kuna mataifa ya Ulaya yanafikiria kurudisha uhusiano na Iran mara baada ya Hispania kufungua balozi yake upya Tehran.
Nina mashaka na shule uliyosoma.
 
Kenge kweli wewe unayekimbia majini kisa manyunyu ya mvua, tangilia lini marekani akakimbilia dunia? Dunia ndio hukumbilia marekani, hao washirika wake ni wategemezi zaidi ya wasaidizi, Trump anakata utegemezi, mbona mna macho na hamuoni?
USA utegemezi upi anaukata!? USA akiikata NATO si ndio anakua kibogoyo kabisa!? Hivi unajua hata NATO iliundwa kwa motives zipi!?
 
Katika wakati ambao Israel ilikua inaenda kufutika ni sasa. Usisahau kuwa wanadiplomasia wa Israel walianza kutafuta wapatanishi Kremlin ili kuishawishi Iran iache vita.
Israel ilikua inaenda kuwa totally dismantled. Kiryat Shmona peke yake Mayor wao alifoka kuwa kaya ELFU KUMI zimeteketea. Jiulize kaya elfu kumi ni hasara kiasi gani. Na maeneo mengine yaligeuka kuwa inhabitable. Yani kuijenga hiyo Israel itachukua muda sana. Na raia wengi wamekimbia nchi ya Israel.
 
Possession of nukes ndio mkakati pekee wa kuweza kuishi bila kunyanyaswa na taifa kama Marekani hapa duniani. That country is a very stupid bully!
 
Huyu jamaa kichwani kuna iko tatizo sio bure. Anafaa kumuona daktari wa akili.
 
UHARO mtupu!!
 
Hio bei ya mafuta kupanda ni kwa sababu ya Iran, kitendo cha kuzuia Hormuz huyo tayari ni super power, Iran ni super power wa nne US, China, Russia na Iran, kubali ukatae.

Superpower anakuwaga mmoja tuu Mkuu. Hao wengine wanahangaika kugombea kiti.

Iran bado Sana mkuu.
Iran aliwahi kuwa superpower Miaka hiyo kabla ya kuibuka Dola la rumi..

Kusema ati ni superpower ni kujaribu kuchekesha watu.
 

Superpower hawezi kuuliwa viongozi wake tena zaidi ya 40.
Kama ingekuwa ni vita ya moja kwa moja Iran ndani ya Siku 2 ingekuwa imeshakwisha.

Lakini ni vile vita vya Siku hizi wanapigana kishalobaro. Unapigwa huku mnazungumza.

Kwa Vita za zamani hii kesi ilikuwa imeisha kitambo.

Huyo Trump na Netanyau wanazurura Kila Siku. Kila Siku lakini hakuna chochote kinachotokea kwao.

Ukitaka ujue maana ya superpower wamuue Trump au Netanyau then utajua Superpower inamaana gani.
 
Huyu Merz, baada ya viongozi wa Iran kuuliwa alienda Marekani kujipendekeza kwa Trump. Nakumbuka alisema Iran itakuwa kama Syria, alikuwa hajui nguvu za Iran, baada ya vita kajua Iran ni super power.
Huyo ni msai pande zote yupo.

Wazungu ni wanafiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…